CCM inawatakia Ramadhani njema, kila la kheri!

Kwa hiyo wafanya biashara wanaishinda nguvu serikali?
Sija kuelewa labda ungetoa maagizo kwa waziri!

Lakini siyo mbaya nami nawatakia waislam mfungo mwema wakuendeleza mema mnayo yatenda kila siku. Huwe mfungo wa ukweli siyo wa kuigiza!
 
Ingekuwa haki kama ungeanza na ridhiwani kikwete,ashushe bei ya mafuta kwenye vituo vyake vya lake oil kama rejesho la pesa wanazokwiba yeye na babake kwa watanzania
 
Kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi, naomba kuwatakia Ramadhani Njema wale wote watakaoshiriki ibada hii muhimu!

Nasihi wafanya biashara wote nchini kutopandisha bei ya vitu muhimu hasa vyakula ili kuwezesha wanaofunga kukamilisha hili kwa amani na furaha!

Serikali ihakikishe inasimamia na kudhibiti wanaotaka kuchuma faida kubwa za duniani kwa kupandisha bei ya vyakula badala ya kutumia mwezi huu kuvuna baraka za mwenyezi Mungu kwa kutenda haki!

Wana CCM tuongoze kwa kuwa mfano bora kwa kutenda haki kwenye biashara zetu! Kwakuwa CCM ndio chama tawala, basi sisi tukiongoza kwa kutenda haki nchi yetu itapata baraka kubwa zinazotokana na mwezi huu mtukufu!

NAWATAKIA RAMADHANI NJEMA!

Nape Moses Nnauye
Katibu wa CCM Itikadi na Uenezi Taifa

tunashukuru nape. tuna ujumbe miwili ipeleke halmashauri kuu
1)KWANINI MNAIKUMBATIA SANA BAKWATA AMBAYO MNAJUA INARUDISHA NYUMA MAENDELEO YA WAISLAM
2)MWAMBIE WAZIRI MCHIMBI. ASITUMIE ASKARI KUWAPIGA WAISLAM HATA WALE WANAOSOMA DUA MISKITINI ZANZIBAR
 
Bwana Nape,
Nadhani unaweza kuwa kiongozi mzuri, lakini uhaharibiwa na huko uliko. Jana nimekusikia ukikanusha na kutetea chama chako CCM kuhusu tuhuma za Mabere Marando. Kwa mtu makini asingelikanusha bila kuwa na uhakika kama anachokisema Marando ni sahihi. Umechukua unazi wako na CCM. Suppose ushahidi usio na mashaka unatolewa kuhusiana na aliyoyasema, jamii ya wasomi/waelewa/wachambuzi wa mambo watakuweka kundi lipi/wapi. suppose unakuwa Rais kesho utakurupuka kutoa kauli bila ushahidi hivyo!! If it were me I will request Marando to provide evidence rather than rushing to acussations against Marando. Nakutakia kazi njema.
kaka haya ndio madhara ya akili ndogo kuongoza akili kubwa,,, nape hajui alitendalo mkuu
 
Kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi, naomba kuwatakia Ramadhani Njema wale wote watakaoshiriki ibada hii muhimu!

Nasihi wafanya biashara wote nchini kutopandisha bei ya vitu muhimu hasa vyakula ili kuwezesha wanaofunga kukamilisha hili kwa amani na furaha!

Serikali ihakikishe inasimamia na kudhibiti wanaotaka kuchuma faida kubwa za duniani kwa kupandisha bei ya vyakula badala ya kutumia mwezi huu kuvuna baraka za mwenyezi Mungu kwa kutenda haki!

Wana CCM tuongoze kwa kuwa mfano bora kwa kutenda haki kwenye biashara zetu! Kwakuwa CCM ndio chama tawala, basi sisi tukiongoza kwa kutenda haki nchi yetu itapata baraka kubwa zinazotokana na mwezi huu mtukufu!

NAWATAKIA RAMADHANI NJEMA!

Nape Moses Nnauye
Katibu wa CCM Itikadi na Uenezi Taifa

Katibu; Bei ya bidhaa sokoni inategemea zaidi sheria za soko lenyewe ambazo ni Demand and supply; the only mitigating factors ni umakini, umahiri na ubunifu wa watungaji na watekelezaji wa sera za uchumi na ufuatiliaji wa mwelekeo wa uchumi wa dunia ili kufanya marekebisho yanayostahili katika kusimamia uchumi wa nchi; mfumuko wa bei uliopo nchini kwa sasa ni matokeo ya mapungufu katika sera, dhamira, utashi wa kisiasa, uwezo wa kitaaluma na vipaumbele vilivyokaa ndivyo sivyo! chama lege lege kuzaa serikali legelege na dhaifu; ushahidi mkubwa ni pale unapomsikia kiongozi mkuu wa nchi anasema "haelewi kwa nini Tanzania ni nchi tajiri kiasi hiki kwa raslimali na bado wananchi wake ni masikini wa kutupwa"; wengi tunabaki midomo wazi, asipoelewa mkuu wa nchi nani ataelewa tena!
Japo nakubali salamu zako ni jambo la kawaida kwa viongozi wa kisiasa na kidini katika matukio kama haya ya mwezi mtukufu lakini kwa upande wako ni gesture ya cheap populism! kwa sababu hazina impact kwenye halisi ya soko.
You can do better Nape kwa ku-reengineer malengo, na mbinu za utekelezaji wa sera za chama chako na usimamiaji wa utendaji kazi wa serikali yako. That said Ramadhan njema na kwa pia japo ya kwako itakuwa bila mikwaruzo kwa sababu inflation haikugusi. you dont feel it. Shame be upon you!
 
sasa hii ndo nini?

Ngoja niteke kweye huu uzi naweza kupigwa BAN maana hii Rangi ya kijani kichefuchefu
 
Kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi, naomba kuwatakia Ramadhani Njema wale wote watakaoshiriki ibada hii muhimu!

Nasihi wafanya biashara wote nchini kutopandisha bei ya vitu muhimu hasa vyakula ili kuwezesha wanaofunga kukamilisha hili kwa amani na furaha!

Serikali ihakikishe inasimamia na kudhibiti wanaotaka kuchuma faida kubwa za duniani kwa kupandisha bei ya vyakula badala ya kutumia mwezi huu kuvuna baraka za mwenyezi Mungu kwa kutenda haki!

Wana CCM tuongoze kwa kuwa mfano bora kwa kutenda haki kwenye biashara zetu! Kwakuwa CCM ndio chama tawala, basi sisi tukiongoza kwa kutenda haki nchi yetu itapata baraka kubwa zinazotokana na mwezi huu mtukufu!

NAWATAKIA RAMADHANI NJEMA!

Nape Moses Nnauye
Katibu wa CCM Itikadi na Uenezi Taifa

"Msiwe wepesi kukasirika kwa maana HASIRA HUKAA KIFUANI MWA MPUMBAVU (Mithali 7:9)" Ila Nape kwa hili nakasirika acha nikubali kuwa Mpumbavu kwa muda mfupi...
Mara kadhaa Nape umekuwa "Ukiiagiza Serikali" kufanya kitu fulani.. Unaiagiza Serikali ya Kikwete ambaye ndiye Bosi wako,Mwenyekiti wa Chama kinachosemewa na wewe.
Kama ulisoma Political Science au hata Public Relations nakuapia ulifeli kuliko wote darasani. Unapoiagiza Serikali unataka kujiagiza mwenyewe. Unaongea mwenyewe. Unajituma mwenyewe! Unajitia vidole machoni mwenyewe. Nape hivi kuwadanganya Watanzania mnajua gharama yake.. Gharama yake itakuwa kubwa kuliko mnavyodhani.
Mara nyingi umekuwa ukidhani kuwa wewe ni msemaji wa Ikulu. Unajisahau au ni kwamba nafasi ulizopewa hazikutoshi? Nape Nape! Si kwamba Watanzania hawakuoni au kukusikia..

Aah..
 
Kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi, naomba kuwatakia Ramadhani Njema wale wote watakaoshiriki ibada hii muhimu!

Nasihi wafanya biashara wote nchini kutopandisha bei ya vitu muhimu hasa vyakula ili kuwezesha wanaofunga kukamilisha hili kwa amani na furaha!

Serikali ihakikishe inasimamia na kudhibiti wanaotaka kuchuma faida kubwa za duniani kwa kupandisha bei ya vyakula badala ya kutumia mwezi huu kuvuna baraka za mwenyezi Mungu kwa kutenda haki!

Wana CCM tuongoze kwa kuwa mfano bora kwa kutenda haki kwenye biashara zetu! Kwakuwa CCM ndio chama tawala, basi sisi tukiongoza kwa kutenda haki nchi yetu itapata baraka kubwa zinazotokana na mwezi huu mtukufu!

NAWATAKIA RAMADHANI NJEMA!

Nape Moses Nnauye
Katibu wa CCM Itikadi na Uenezi Taifa
angalia red, siku nyingine sema ccm kinawatakia ( chama cha mapinduzi kinawatakia) SIO CHAMA CHA MAPINDUZI INAWATAKIA ramadhani njema , kama ulivyoandika !!

my take ; rudi darasani jifunze kiswahili vizuri, ni aibu kwa katibu mwenezi kutojua kuandika kiswahili vizuri. kama kiswahili ni hivyo itakuaje siku ukiandika kwa lugha za kigeni.??
 
Ungeanza kwanza na hao ndugu zako wanaotutesa watanzania kwa kutumia kodi zetu kujilimbikizia mali na hasa ridhiwan kuna siku atatapika hizo mali zetu.
 
Kama umetumia aikili yako yote uliyopewa na Mungu na ukakaa mbele ya kompyuta ukaona hili bandiko ndiyo sahihi kuliweka hapa, consider yourself as good as an extant being!
 
Kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi, naomba kuwatakia Ramadhani Njema wale wote watakaoshiriki ibada hii muhimu!

Nasihi wafanya biashara wote nchini kutopandisha bei ya vitu muhimu hasa vyakula ili kuwezesha wanaofunga kukamilisha hili kwa amani na furaha!

Serikali ihakikishe inasimamia na kudhibiti wanaotaka kuchuma faida kubwa za duniani kwa kupandisha bei ya vyakula badala ya kutumia mwezi huu kuvuna baraka za mwenyezi Mungu kwa kutenda haki!

Wana CCM tuongoze kwa kuwa mfano bora kwa kutenda haki kwenye biashara zetu! Kwakuwa CCM ndio chama tawala, basi sisi tukiongoza kwa kutenda haki nchi yetu itapata baraka kubwa zinazotokana na mwezi huu mtukufu!

NAWATAKIA RAMADHANI NJEMA!

Nape Moses Nnauye
Katibu wa CCM Itikadi na Uenezi Taifa

Hivi wewe ulilelewa na wazazi wote wawili ktk makuzi yako tangu kuzaliwa?
 
Ccm tendeni haki sio kwenye bei za vitu tu bali nyanja zote!
Mwambie baba ritz aliyekupa hicho cheo cha u mc ukituambia sisi haisaidii maana una bunduki halafu unaagiza watu wenye mikono mitupu wakimwona simba wamwue
 
Serikali ya chama gani na wewe ni katibu mwenezi wa chama gani? Nilitegemea utawaambia huko huko!

Huyu kilaza kweli ni vuvuzela kwani hajui hata maana ya SOKO HURIA!! Serikali haiwezi kuingilia kupanga bei ya vitu visivyokuwa vyake; soma uelewe wajibu wa serikali inayoongzwa na sera za kibepari!! Huko India ulikopelekwa kufichwa inaelekea uliimba tu hukuelimishwa.!!
 
Kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi, naomba kuwatakia Ramadhani Njema wale wote watakaoshiriki ibada hii muhimu!

Nasihi wafanya biashara wote nchini kutopandisha bei ya vitu muhimu hasa vyakula.....

In case wamekaidi na wakaamua kupandisha (of course they will...), CCM na serikali yenu mtawafanyaje?
 
Nape hii yako binafsi sio ya CCM mkuu, tofautisha ya chama naya mwanachama binafsi.
 
Kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi, naomba kuwatakia Ramadhani Njema wale wote watakaoshiriki ibada hii muhimu!

Nasihi wafanya biashara wote nchini kutopandisha bei ya vitu muhimu hasa vyakula ili kuwezesha wanaofunga kukamilisha hili kwa amani na furaha!

Serikali ihakikishe inasimamia na kudhibiti wanaotaka kuchuma faida kubwa za duniani kwa kupandisha bei ya vyakula badala ya kutumia mwezi huu kuvuna baraka za mwenyezi Mungu kwa kutenda haki!

Wana CCM tuongoze kwa kuwa mfano bora kwa kutenda haki kwenye biashara zetu! Kwakuwa CCM ndio chama tawala, basi sisi tukiongoza kwa kutenda haki nchi yetu itapata baraka kubwa zinazotokana na mwezi huu mtukufu!

NAWATAKIA RAMADHANI NJEMA!

Nape Moses Nnauye
Katibu wa CCM Itikadi na Uenezi Taifa
Umetumia ile machine yenu ya spoofing kuanzisha thread hii?
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom