CCM inatisha kwa vipaji

Chama kipya cha JK ni UPDP cha ustaadh Yammy Nassoro Dovutwa.
 
Tuanze kuhesabu wenye vipaji waliopo ccm hakika mtaamin maneno yangu ni funika mbaya!
 
Ahhh mambo mengine sio hata ya kusema
Ungenyamaza kimya tuu bila kutoa sifa za ajabu ambazo zitakufanya uonekane kituko
 
CCM hivyo vipaji vyenu ndo vimeizamisha nchi hii wabunge wenu wanasinzia hovyo tu..ndo vipaji vyenyewe hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…