hotel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 332
- 323
Mh Kibajaji upo mkuu naona kimya sana.BAVICHA watapinga

DunderheadCCM iko nchi nzima lakini Chadema iko maeneo ya mijini tu tena katika baadhi ya mikoa.
CCM inamiliki majengo ya ofisi katika kila Tawi lakini Chadema wanamiliki jengo la makao makuu na majengo machache sana mikoani hasa Njombe.
CCM ina wabunge nchi nzima lakini Chadema ina mbunge mmoja tu kule Nkasi Rukwa.
CCM ina vitega uchumi kila kona ya nchi lakini Chadema wanamiliki gazeti la Tanzania Daima tu.
Je,tofauti ya miaka 15 ndio Chadema imeachwa mbali hivi na CCM?!!
Maendeleo hayana vyama!
Msalimie Urio!Dunderhead
1930TAA✓1954TANU✓1977CCM✓2022 bado ndio kinajaribu kutambaa!CCM iko nchi nzima lakini Chadema iko maeneo ya mijini tu tena katika baadhi ya mikoa.
CCM inamiliki majengo ya ofisi katika kila Tawi lakini Chadema wanamiliki jengo la makao makuu na majengo machache sana mikoani hasa Njombe.
CCM ina wabunge nchi nzima lakini Chadema ina mbunge mmoja tu kule Nkasi Rukwa.
CCM ina vitega uchumi kila kona ya nchi lakini Chadema wanamiliki gazeti la Tanzania Daima tu.
Je,tofauti ya miaka 15 ndio Chadema imeachwa mbali hivi na CCM?!!
Maendeleo hayana vyama!
Inabadirisha majina kama mitandao ya simu kukwepa kodi!inawezekana huijui ccm ilikotoka, yaani ccm ina miaka45?!?!! ccm ina miaka 60 kama tu ya uhuru wa nchi hii inabadilishaga majina tu pia ukumbuke nchi hii imekaa kwenye mfumo wa chama dume wa chama kimoja tangu uhuru mpaka miaka ya 80 hivyo watz wote walikuwa wanachama wa ccm OG,hizo mali za ccm unajua zilivyopatikana?!?
Amba ni dashi ijoUngekuwa uko huku Usambaani, basi ningekuita DASHI! Yaani jitu jinga kupitiliza.
Ila ndiyo hivyo tena. Wacha tu nipotezee.
Msalimie mgosi Makamba!Amba ni dashi ijo
CCM ni zao la TANU & ASP.CCM iko nchi nzima lakini Chadema iko maeneo ya mijini tu tena katika baadhi ya mikoa.
CCM inamiliki majengo ya ofisi katika kila Tawi lakini Chadema wanamiliki jengo la makao makuu na majengo machache sana mikoani hasa Njombe.
CCM ina wabunge nchi nzima lakini Chadema ina mbunge mmoja tu kule Nkasi Rukwa.
CCM ina vitega uchumi kila kona ya nchi lakini Chadema wanamiliki gazeti la Tanzania Daima tu.
Je, tofauti ya miaka 15 ndio Chadema imeachwa mbali hivi na CCM?!!
Maendeleo hayana vyama!
Sawa tukusaidie nini? KWA habari hii?CCM iko nchi nzima lakini Chadema iko maeneo ya mijini tu tena katika baadhi ya mikoa.
CCM inamiliki majengo ya ofisi katika kila Tawi lakini Chadema wanamiliki jengo la makao makuu na majengo machache sana mikoani hasa Njombe.
CCM ina wabunge nchi nzima lakini Chadema ina mbunge mmoja tu kule Nkasi Rukwa.
CCM ina vitega uchumi kila kona ya nchi lakini Chadema wanamiliki gazeti la Tanzania Daima tu.
Je, tofauti ya miaka 15 ndio Chadema imeachwa mbali hivi na CCM?!!
Maendeleo hayana vyama!
Toka lini ccm iliacha uwizi wa kumiliki majengo wa watanzania kwa kuyataifisha,viwanja vyote wametaifisha ambavyo vimejengwa na fedha za watanzaniaCCM iko nchi nzima lakini Chadema iko maeneo ya mijini tu tena katika baadhi ya mikoa.
CCM inamiliki majengo ya ofisi katika kila Tawi lakini Chadema wanamiliki jengo la makao makuu na majengo machache sana mikoani hasa Njombe.
CCM ina wabunge nchi nzima lakini Chadema ina mbunge mmoja tu kule Nkasi Rukwa.
CCM ina vitega uchumi kila kona ya nchi lakini Chadema wanamiliki gazeti la Tanzania Daima tu.
Je, tofauti ya miaka 15 ndio Chadema imeachwa mbali hivi na CCM?!!
Maendeleo hayana vyama!
CCM ni zao la Tanu ambacho mwaka 1965 kilihodhi mfumo wa chama kimoja. Kilitengeneza utaratibu wa lazima kupitia serikali yake,Hakuna aliyepata ajira serikalini Kama siyo mwanachama wa Tanu. Aidha 5/2/2/1977 Tanu ilijibadilisha Jina na kuitwa CCM . Hivyo siyo kweli Ina miaka 45 No, ni Jina jipya la CCM. Kila unachokiona kuanzia viwanja,masoko na hata yanayoitwa ya ccm,Hakuna kitu Kama hicho,ni mali ya watanzania wote. Mahali ambapo mameneja wa makampuni na mashirika yote yaliyokuwa ya umma ilikuwa ni lazima awe kada wa ccm, hivyo kufanya sehemu ya mapato ya makampuni/mashirika kutumika kwa kazi za Tanu/CCM. Mali za CCM labda kuanzia 1993. Nje ya hapo, CCM haina kitu.CCM iko nchi nzima lakini Chadema iko maeneo ya mijini tu tena katika baadhi ya mikoa.
CCM inamiliki majengo ya ofisi katika kila Tawi lakini Chadema wanamiliki jengo la makao makuu na majengo machache sana mikoani hasa Njombe.
CCM ina wabunge nchi nzima lakini Chadema ina mbunge mmoja tu kule Nkasi Rukwa.
CCM ina vitega uchumi kila kona ya nchi lakini Chadema wanamiliki gazeti la Tanzania Daima tu.
Je, tofauti ya miaka 15 ndio Chadema imeachwa mbali hivi na CCM?!!
Maendeleo hayana vyama!
Hesabu zako nimezipenda! Ni sawa na kusema mtoto wa Bakhresa anamiaka 45, na wewe mwenzangu una miaka 45 lakini uwekezaji wenu ni tofauti.CCM iko nchi nzima lakini Chadema iko maeneo ya mijini tu tena katika baadhi ya mikoa.
CCM inamiliki majengo ya ofisi katika kila Tawi lakini Chadema wanamiliki jengo la makao makuu na majengo machache sana mikoani hasa Njombe.
CCM ina wabunge nchi nzima lakini Chadema ina mbunge mmoja tu kule Nkasi Rukwa.
CCM ina vitega uchumi kila kona ya nchi lakini Chadema wanamiliki gazeti la Tanzania Daima tu.
Je, tofauti ya miaka 15 ndio Chadema imeachwa mbali hivi na CCM?!!
Maendeleo hayana vyama!
Nakuunga mkono. Mfano ni jengo la ccm Kilimanjaro. Hili jengo lilijengwa kwa michango ya lazima ya wananchi. Ilikuwa lazima kwa sababu pesa zilikatwa directly walipouza kahawa, bila kujali ni mwanachama wa ccm au la. Wakati huo mimi nilikuwa bado mwanafunzi primary/secondary, baba yangu alipouza kahawa alikatwa pesa kwaajili hiyo, na hakuwa mwanachama ccm. Tulipoanzisha mfumo wa vyama vingi, ambapo kila mtu alikuwa huru kuchagua kujiunga na chama kingine, ccm wakajinyakulia hilo jumba ambapo kimsingi ni mali ya umma.Ccm n majambazi yaliyojimilisha mali za wananchi wa tz ..eg viwanja na majengo yaliyojengwa before multi party yalibatizwa majina na kuitwa mali za ccm japo nako wale kajamba nani wa ccm hawanufaiki na kitu chochote
Ni kama "Mo" na Wewe Bwashee. Mmoja kaanza na urithi wa mababu mwingine anaanza na "shoka na jembe" mbugani.CCM iko nchi nzima lakini Chadema iko maeneo ya mijini tu tena katika baadhi ya mikoa.