CCM inatimiza miaka 45 na CHADEMA inatimiza miaka 30 lakini zimetofautiana sana kiuwekezaji wa Siasa na Mali

CCM iko nchi nzima lakini Chadema iko maeneo ya mijini tu tena katika baadhi ya mikoa.

CCM inamiliki majengo ya ofisi katika kila Tawi lakini Chadema wanamiliki jengo la makao makuu na majengo machache sana mikoani hasa Njombe.

CCM ina wabunge nchi nzima lakini Chadema ina mbunge mmoja tu kule Nkasi Rukwa.

CCM ina vitega uchumi kila kona ya nchi lakini Chadema wanamiliki gazeti la Tanzania Daima tu.

Je, tofauti ya miaka 15 ndio Chadema imeachwa mbali hivi na CCM?!!

Maendeleo hayana vyama!
Kaka apo kwenye malii ebu kasome notes zako upya.
 
Back
Top Bottom