Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 3,006
- 7,340
Chama Cha MafisadiNakusogezea hii habari toka kwa Mange kimambi kama iivyo
(This is nothing but uhujumu uchumi, ufisadi, uonevu, rushwa, udhulumat etc. CCM inatuma barua hizi za kuomba pesa za uchaguzi kwa makampuni binafsi, hivi kuna kampuni itakayodhubutu kutokutoa michango? Hivi kuna kampuni itayo dhubutu kukataa kutoa michango kwa CCM?? Alafu wakishawapora wafanyabiashara pesa kama hivi then wanacheka upinzani kuchangisha wananchi kwenye tone tone.)
View attachment 3338644
Ni kawaida sana.Nakusogezea hii habari toka kwa Mange kimambi kama iivyo
(This is nothing but uhujumu uchumi, ufisadi, uonevu, rushwa, udhulumat etc. CCM inatuma barua hizi za kuomba pesa za uchaguzi kwa makampuni binafsi, hivi kuna kampuni itakayodhubutu kutokutoa michango? Hivi kuna kampuni itayo dhubutu kukataa kutoa michango kwa CCM?? Alafu wakishawapora wafanyabiashara pesa kama hivi then wanacheka upinzani kuchangisha wananchi kwenye tone tone.)
View attachment 3338644
Nakusogezea hii habari toka kwa Mange kimambi kama iivyo
(This is nothing but uhujumu uchumi, ufisadi, uonevu, rushwa, udhulumat etc. CCM inatuma barua hizi za kuomba pesa za uchaguzi kwa makampuni binafsi, hivi kuna kampuni itakayodhubutu kutokutoa michango? Hivi kuna kampuni itayo dhubutu kukataa kutoa michango kwa CCM?? Alafu wakishawapora wafanyabiashara pesa kama hivi then wanacheka upinzani kuchangisha wananchi kwenye tone tone.)
View attachment 3338644
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£.Watadai ni FAKE.
Anyway, hiyo pesa kuna watu watsipiga juu kwa juu. Mother tsyari ana mafungu ya kufa mtu kutoka kwa Wajomba.
Ole wako sasa usipeleke!! Utapata tabu sana.NB: michango iwasilishwe kabla ya may 20.
Aisee kama lazima π€£π
Ole wa kampuni isiyochangiaAhaa πππ Tone tone ya sisiemu ni ya kijambazi
Sio ombiNB: michango iwasilishwe kabla ya may 20.
Aisee kama lazima π€£π
Na kipigo cha mbwa kokoOle wako sasa usipeleke!! Utapata tabu sana.
Ndio iwe SIRI?Kuchangia kampeni ni vitu vya kawaida kabisa.
Hata Upinzani si unaona kuna tone tone
Hii ni michango au mikopo?Nakusogezea hii habari toka kwa Mange kimambi kama iivyo
(This is nothing but uhujumu uchumi, ufisadi, uonevu, rushwa, udhulumat etc. CCM inatuma barua hizi za kuomba pesa za uchaguzi kwa makampuni binafsi, hivi kuna kampuni itakayodhubutu kutokutoa michango? Hivi kuna kampuni itayo dhubutu kukataa kutoa michango kwa CCM?? Alafu wakishawapora wafanyabiashara pesa kama hivi then wanacheka upinzani kuchangisha wananchi kwenye tone tone.)
View attachment 3338644
Utapata tabu kuliko neno tabu lenyewe π€£πOle wako sasa usipeleke!! Utapata tabu sana.