CCM inakubali kuendeshwa kihuni

July Iko dakika za jioni kabisa
 
Tafuta kitabu kinaitwa MUSHKIL KUSHA kitakusaidia katika shughuli zako za unajimu
 
Ccm ni ya wahuni kitambo.tokea walipoacha kufundisha makada wao chuo cha kivukoni ndipo ccm original ilipozikwa rasmi.hii ni ccm mpya wahuni wamejazana huko.
 
Mkuu britanicca pole sana, unanikumbusha nyakati za JPM alikuwepo The Boss, jamaa alikuwa bitter na utawala wa jiwe, kila siku alikuwa anaandika kama wewe japo sidhani kama alikuwa insider. Wakafanikiwa kumalizana na jiwe.
 
Kwa sababu CCM wamejaa wahuni tu sasa sio tena chama cha wakulima na wafanyakazi bali wahuni na majambazi..
 

One step at a time....
 
Kumbe ulikuwa unamtegemea Polepole kukamilisha swala la July,wewe bure kabisa🤣🤣🤣
 
Unawaamini vijana wa BAALI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…