CCM inakubali kuendeshwa kihuni

Hamna chochote cha kumfanya wala cha kuwafanya, hapa tungojee tena 2030 huko labda wakati utakuwa unewadia.
 
Mkuu kama huyo uliye mtaja katumwa na Boss wake kwenda kusimamia, ?

unafikiri ni rahisi kwenda kusimamia TU kazi za chama bila access ?
 
Yaani baada ya maramli yako yooooooote umeishia kulaumu na kukata tamaaaaaaaa!???
Kweli CCM babalao kama alivyoimba Diamond Plutnumz!!!
 
Mkuu July ndio imeisha hivyo
 
Hafrey kesho ataongea kutokea Kibaha kwa Matia ya mamtoni
 
🤔🤔💭
 
Mchezo umeisha, subirini 2030,na kwenyewe mtapigwa mno
 
Mchezo umeisha, subirini 2030,na kwenyewe mtapigwa mno
 
Wasipokikomboa wanaccm wenyewe basi nchi yetu imeshakuwa pango la wanyang'anyi
 
Mkuu unayumba sana sikuhizi.
Mkutano mkuu ni 4 Aug.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…