britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 18,053
- 46,924
Ila ilikuaje akapona SA au alienda Dubai? Kete nyingine mtamwamsha Magu amuweke Sabaya, DAB ni Sabaya kwenye muonekano mwingine ingawa Sabaya alivuka mstari kidogoMambo ya ajabu kabosa yanaendelea. Yaani Bashite na yeye amegeuka kuwa Godfather ndani ya CCM kiasi cha kutuma na kusimamia majina ya watu wake mbalimbali kupitishwa ikiwemo Kigamboni, Kawe, Nyamagana na kwingineko...serious kabisa hawa wazee wamezidiwa na Bashite na mfumo unaangalia na kukubali kumkabidhi power hiyo
ngoja tuone Polepole plz Kamilisha suala letu la July 2025
Britanicca!!
Polepole yuko peke yake, Samia yuko na Kikwete, majeshi yote, atawezaje kuwashinda wahuni?Mambo ya ajabu kabosa yanaendelea. Yaani Bashite na yeye amegeuka kuwa Godfather ndani ya CCM kiasi cha kutuma na kusimamia majina ya watu wake mbalimbali kupitishwa ikiwemo Kigamboni, Kawe, Nyamagana na kwingineko...serious kabisa hawa wazee wamezidiwa na Bashite na mfumo unaangalia na kukubali kumkabidhi power hiyo
ngoja tuone Polepole plz Kamilisha suala letu la July 2025
Britanicca!!
Ni porojo tu hapa ..mara dark days mara sijui brother maelekezo ..mara sjui nini bla blah kibao tu ..kila mtu atafute Chaka la kupiga aisaidie familia yake...Acha porojo,
Julai ndo inaishia hiyo,
Na hamna kitu kimetokea,
Uchelewi kutwambia tusubirie august
Ramli zitawaua!Mambo ya ajabu kabosa yanaendelea. Yaani Bashite na yeye amegeuka kuwa Godfather ndani ya CCM kiasi cha kutuma na kusimamia majina ya watu wake mbalimbali kupitishwa ikiwemo Kigamboni, Kawe, Nyamagana na kwingineko...serious kabisa hawa wazee wamezidiwa na Bashite na mfumo unaangalia na kukubali kumkabidhi power hiyo
ngoja tuone Polepole plz Kamilisha suala letu la July 2025
Britanicca!!
Mkuu ww kwasasa umegeuka kuwa mpiga ramli tu.Mambo ya ajabu kabosa yanaendelea. Yaani Bashite na yeye amegeuka kuwa Godfather ndani ya CCM kiasi cha kutuma na kusimamia majina ya watu wake mbalimbali kupitishwa ikiwemo Kigamboni, Kawe, Nyamagana na kwingineko...serious kabisa hawa wazee wamezidiwa na Bashite na mfumo unaangalia na kukubali kumkabidhi power hiyo
ngoja tuone Polepole plz Kamilisha suala letu la July 2025
Britanicca!!
Bora akawe nganga wa kienyejiUtabiri uchwara wa kubahatisha.