CCM Inajiandaa kukabidhi nchi kwa CHADEMA-Lwaitama

CCM Inajiandaa kukabidhi nchi kwa CHADEMA-Lwaitama

Greenwhich

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
1,337
Reaction score
968
Mhadhiri mwandamizi mstaafu wa chuo kikuu cha DSM Dr Azaveli Lwaitama amesema vitendo vya kinyama vinavyofanywa sasa na Jeshi la polisi dhidi ya CHADEMA vinaashiria kukaribia kuingia Ikulu kwa chama hicho.

Dr Lwaitama amelaani vitendo vya kinyama vilivyofanywa na polisi vya kupiga watu kikatili,kupiga risasi za moto na kupora mali za raia.

Dr Lwaitama kasema CCM sasa imeshindwa siasa za majukwaani na badala yake wameamua kutumia jeshi la polisi kujihami dhidi ya CHADEMA.

Dr Lwaitama amesema kiashirio tosha kwamba CCM sasa imefikia ukingoni ni matokeo ya uchaguzi wa udiwani wa kata 22 uliopita ambapo ingawa CCM ilipata viti 16 na Chadema 6 Lakini kura za Jumla zinaonyesha Chadema imeizidi CCM ambapo CCM imejikusanyia kura 17968 na CHADEMA kura 18431.Vyama vingine ikiwemo CUF vilipata Jumla ya kura chini ya 1000.

Dr Lwaitama amesema kama ingekuwa ni uchaguzi wa Urais basi CHADEMA ingekuwa imeshinda.Pia amesema haya yote yamefanyika huku maelfu ya vijana wafuasi wa Chadema wakiwa bado hawajaandikishwa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura kwa hujuma ya CCM na ushirika wa Tume ya Uchaguzi.

Source:MAWIO UK 2
 
Ni kweli kabisa na Nape hawezi kulisemea hilo. Anabaki tu Kata 16 tu.
 
Sijaelewa hiyo hesabu ya kura. Yaani kura zote hizo halafu wamepata kata 6?
 
Hizo ndio tathmni za kisomi sio mtu anasema tu tumeshinda kata 16.Cha kushangaza ccm wamekuwa vipofu hadi maproffesa wao wanashangilia baada ya kusikitika.Sikio la kufa.....
 
Ni kweli kabisa na Nape hawezi kulisemea hilo. Anabaki tu Kata 16 tu.

Mtaua watu huko MAGAMBANI jamani. Yaani wanaona URAISI wanaukosa hivi hivi!! Ili mradi hata Tanga (Muheza) imetoa ushindani wa hali ya juu, licha ya kutendewe vitendo visivyo vya KIDEMOKRASIA! Nina amini 2015 MAGAMBA ni mweleka tu!
 
Wanawashika kweli ccm
 

Attachments

  • Chademao.jpg
    Chademao.jpg
    79.6 KB · Views: 501
Mungu tu asikie maona yako Lwaitama. Mauaji haya yakomeshwe. We are worried stiff. Crossing fingers till 2015
 
Sijaelewa hiyo hesabu ya kura. Yaani kura zote hizo halafu wamepata kata 6?

Hebu hesabu kwa uchache kura hizi hapa wee KILAZA:
ISEKE-SINGIDA
CCM 791
CDM 831

NYAMPULUKANO-SENGEREMA
CCM1088
CDM 1483

DONGOBESH-MANYARA
CCM 974
CDM 1558

BASHNET-MBULU
CCM 1130
CDM 2008

IYELA-MBEYA
CCM 1163
CDM 1918

IFAKARA-KILOMBERO
CCM 3723
CDM 4353

MINEPA-ULANGA
CCM 1164
CDM 1004

STESHENI-NACHINGWEA
CCM 806
CDM 353

NGANGANGE-KILOLO
CCM 600
CDM 223

GENGE-MUHEZA
CCM 347
CDM 326

TINGENI-MUHEZA
CCM 363
CDM 244

MANCHILA-SERENGETI
CCM 672
CDM 623

MASANZE-KILOSA
CCM 833
CDM 623

RUNZEWE MASHARIKI-SENGEREMA
CCM 604
CDM 570

JUMLA KUU KATA 14
CCM 14258
CDM 16117

Nani ameshinda kata nyingi na nani ana kura nyingi??
 
Mtaua watu huko MAGAMBANI jamani. Yaani wanaona URAISI wanaukosa hivi hivi!! Ili mradi hata Tanga (Muheza) imetoa ushindani wa hali ya juu, licha ya kutendewe vitendo visivyo vya KIDEMOKRASIA! Nina amini 2015 MAGAMBA ni mweleka tu!

Ni kweli hakika Matokeo ya Tanga yaliacha wengi mdomo wazi.Sehemu ambayo ni ngome kuu ya CCM Lakini Chadema inapitwa kwa kura 21 tu.
 
Hebu hesabu kwa uchache kura hizi hapa wee KILAZA:
ISEKE-SINGIDA
CCM 791
CDM 831

NYAMPULUKANO-SENGEREMA
CCM1088
CDM 1483

DONGOBESH-MANYARA
CCM 974
CDM 1558

BASHNET-MBULU
CCM 1130
CDM 2008

IYELA-MBEYA
CCM 1163
CDM 1918

IFAKARA-KILOMBERO
CCM 3723
CDM 4353

MINEPA-ULANGA
CCM 1164
CDM 1004

STESHENI-NACHINGWEA
CCM 806
CDM 353

NGANGANGE-KILOLO
CCM 600
CDM 223

GENGE-MUHEZA
CCM 347
CDM 326

TINGENI-MUHEZA
CCM 363
CDM 244

MANCHILA-SERENGETI
CCM 672
CDM 623

MASANZE-KILOSA
CCM 833
CDM 623

RUNZEWE MASHARIKI-SENGEREMA
CCM 604
CDM 570

JUMLA KUU KATA 14
CCM 14258
CDM 16117

Nani ameshinda kata nyingi na nani ana kura nyingi??

Asante sana kwa ushahidi huu uliompatia.
 
Ccm inaweza kuhutubia watu 1000 na inauwezo wa kutatua kero zao kwa asilimia 70 lkn cdm inaweza kuhutubia watu 5000 lkn inauwezo wa kutatua kero zao kwa asilimia 3 tuu. Ukubwa wa kamasi sy wingi wa kamasi hata mjae vp ktk mikutano ya cdm lkn.hawana uwezo wa kutatua kero zao..
 
Back
Top Bottom