CCM Inajiandaa kukabidhi nchi kwa CHADEMA-Lwaitama

CCM Inajiandaa kukabidhi nchi kwa CHADEMA-Lwaitama

Kuna kitu ambacho nilianza kukihisi kabla na sasa naanza kuona kinajidhihirisha. Chadema ni wabinafsi sana,kila unapokuta mada ya inayozungumzia utwaaji wa madaraka utasikia chadema inajiandaa kuchukua nchi ilhali chadema wako ndani ya ukawa na ukawa bado hawajakubaliana nani atapeperusha bendera kwa niaba ya wenzao. Na kwa mwendo huu inavyoonesha endapo mgombea urais wa ukawa atatokana na chama kingine tofauti na chadema,HAKIKA UKAWA ITASAMBARATIKA


Sijui umekula maharage ya wap weww?
 
Huyu mzee tangu aanze kunywa viroba ana zeeka haraka yaani tumpe nchi dj wa bilicans ?
 
Back
Top Bottom