Ccm inaweza kuhutubia watu 1000 na inauwezo wa kutatua kero zao kwa asilimia 70 lkn cdm inaweza kuhutubia watu 5000 lkn inauwezo wa kutatua kero zao kwa asilimia 3 tuu. Ukubwa wa kamasi sy wingi wa kamasi hata mjae vp ktk mikutano ya cdm lkn.hawana uwezo wa kutatua kero zao..
Kwani CDM anakusanya kodi au anaongoza serikali? Nina mashaka na upeo wa uelewa wako kuhusu uendeshaji wa serikali. Ulishampa nchi CDM akashindwa kutatua kero za wananchi? CCM ndio imeunda serikali lakini uwezo wa kutatua shida za wananchi ni chini ya 40%.