ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 15,898
- 36,398
Hizi ni fedha nyingi aisee
Kwani makao mkuu ya CCM pale Dodoma Kuna tatizo Gani?
Pesa hizo CCM imepata wapi?
Hizi ada za uanachana ndo zimefika billion 34
Ukarabati uwanja wa Mkapa mmetoa billions 31
Watanzania hawana madawati, hospital hazina madawa, vijana hawana ajira
Pesa yote unaenda kujenga sehemu ya kukutana machawa kula kiyoyozi