CCM INAHITAJI SIASA ZA KIHARAKATI

CCM INAHITAJI SIASA ZA KIHARAKATI

Kigongoi kwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2018
Posts
574
Reaction score
684
Nimefuatilia mjadala wa kada mmoja wa chama Cha upinzani na kugundua kwamba anajaribu kujenga mazingira ya kuaminiwa na wananchi, ukaribu wake kwa viongozi wa CCM,nia ya kumtetea mwenyekiti wake na hofu ya wanaharakati kuingilia mambo ya chama chao.
Ukifuatilia vizuri ni kwamba ana hoja za msingi lakini kuna maeneo ambayo kasahau au ameelewa vibaya.
Suala la kumtetea Tundu Lissu asihukumiwe kunyongwa au kufungwa amelikosea kwa sababu Lissu sio mtu wa konakona,yeye nyeusi sio nyeupe na wala nyeupe sio nyeusi;liwalo kwake na liwe.
Kwa maana nyingine hataki kupiga magoti kwa kitu ambacho anaona sio haki
Suala la wanaharakati kuwa karibu na chama chake linawezekana kwa uongozi huu uliopo kwa sasa;kwa sababu kwa njia za kawaida kabisa CCM hawana mpango wa kufanya siasa za kistaarabu na hata hayo yanayoitwa maridhiano ni mambo ya uongo;kibaya zaidi CCM wameamua kuviingiza vyombo vya dola kwenye siasa kwa sababu siasa ya hoja imewashinda na wamefanya hivyo kwa ili viweze kuendelea kupata afueni kupitia vyombo vya dola.
Kwa mantik hiyo;siasa za kiharakati kwa CCM ndizo zinazostahili kwa sasa
 
Na CCM nayo ikiamua kufanya hivyo hivyo nini kitatokea.

ndani ya mitaa ya Mogadishu - Somalia.
 
ok. :1Head:
 
Na CCM nayo ikiamua kufanya hivyo hivyo nini kitatokea.

ndani ya mitaa ya Mogadishu - Somalia.
Mbona ilianza zamani kufanya na haija acha? Unazungumziaje utekaji? Unazungumziaje matokeo ya uchaguzi kutopingwa mahakamani? Unazungumziaje tume huru na katiba? Hizo sio harakati?
 
Na CCM nayo ikiamua kufanya hivyo hivyo nini kitatokea.

ndani ya mitaa ya Mogadishu - Somalia.
Hamna kitu CCM haijafanya, imemaliza haina jipya, ndo maana wanashutumiwa serikali yao kupoteza watu, na hawana hata ujasiri wa kukataa
 
Nimefuatilia mjadala wa kada mmoja wa chama Cha upinzani na kugundua kwamba anajaribu kujenga mazingira ya kuaminiwa na wananchi, ukaribu wake kwa viongozi wa CCM,nia ya kumtetea mwenyekiti wake na hofu ya wanaharakati kuingilia mambo ya chama chao.
Ukifuatilia vizuri ni kwamba ana hoja za msingi lakini kuna maeneo ambayo kasahau au ameelewa vibaya.
Suala la kumtetea Tundu Lissu asihukumiwe kunyongwa au kufungwa amelikosea kwa sababu Lissu sio mtu wa konakona,yeye nyeusi sio nyeupe na wala nyeupe sio nyeusi;liwalo kwake na liwe.
Kwa maana nyingine hataki kupiga magoti kwa kitu ambacho anaona sio haki
Suala la wanaharakati kuwa karibu na chama chake linawezekana kwa uongozi huu uliopo kwa sasa;kwa sababu kwa njia za kawaida kabisa CCM hawana mpango wa kufanya siasa za kistaarabu na hata hayo yanayoitwa maridhiano ni mambo ya uongo;kibaya zaidi CCM wameamua kuviingiza vyombo vya dola kwenye siasa kwa sababu siasa ya hoja imewashinda na wamefanya hivyo kwa ili viweze kuendelea kupata afueni kupitia vyombo vya dola.
Kwa mantik hiyo;siasa za kiharakati kwa CCM ndizo zinazostahili kwa sasa
Nakuunga mkono kwa 100%.CCM kwa kutumia mabavu ya vyombo vya dola kuukandamiza upinzani. Sasa hivi mpango wa CCM ni kutumia ofisi ya msajili wa vyama kuifuta Chadema, ila wasichofahamu ni kwamba Chadema siyo chama cha siasa tu bali imekuwa ni imani na imejengwa kwenye mioyo na akili za watanzania wengi waliochoshwa na udhalimu wa CCM. Wajue kuwa kuifuta Chadema ni kufungua mlango kwa vikundi visivyo rasmi ambavyo vitaendesha harakati za kuindoa CCM madarakani kwa njia yoyote ile itakayowafaa, na kundi hili linaundwa na vijana wasomi na wasio wasomi ambao wamakatishwa tamaa na utawala dhalimu wa CCM. Mkataa pema pabaya panamuita. CCM imekataa demokrasia ya vyama vingi hivyo ijiandae kwa wanaharakati kutoka kila kona ya nchi hii. CCM wanapokataa njia za kistaarabu za kupata viongozi maana yake inakaribisha njia mbadala ambayo ni vurugu. Kile kilichotokea 29.10.2025 ni a tip of an iceberg. Hatutaki tufike huko lakini wahafidhina wa CCM ambao wanaogopa kuwajibishwa kwa maovu yao endapo CCM itaondolewa madarakani ndiyo wanaipeleka nchi kwenye tafrani hizo.
 
Back
Top Bottom