Candid Scope JF-Expert Member Nov 8, 2010 11,890 6,898 Oct 11, 2011 #1 Kuna kazi nzito ya kuelimisha vijana kutotumika kwa utaratibu huu kwa manufaa ya vizito wanaolinda na kutetea nafasi zao.
Kuna kazi nzito ya kuelimisha vijana kutotumika kwa utaratibu huu kwa manufaa ya vizito wanaolinda na kutetea nafasi zao.
Ndallo JF-Expert Member Oct 1, 2010 7,619 4,292 Oct 11, 2011 #6 Njaa mwanaharamu! baada ya hapo wameandaliwa wali na nyama za Nyumbu pamoja na posho za shilingi 10000
Njaa mwanaharamu! baada ya hapo wameandaliwa wali na nyama za Nyumbu pamoja na posho za shilingi 10000