CCM ina wenyewe..

CCM ina wenyewe..

Kwani hapa alikuwa anajituma au alikuwa anatumwa na mfumo? Huo mfumo uliokuwa unamtuma unafikiri hakujipanga likitokea la kutokea. Kwani maoni yake kuhusu Mzee Kinana yamerushwa na umeya sikia mitandaoni? Unafikiri hawa wakina Happi na wa aina yake wako wamekaa tu kama maburoila?
Kama ukipata muda naomba unisaidie kujijibu
 
Nimepiga kijiwe kimoja nimekuta jamaa wanafyonza balaaa...afu kwa mbali kuna ule wimbo wa Mabaga fresh unapigwa !!

CCM ina wenyewe !! Sukumba Gang ni kama Mabaga - Muda wa kutaabika ushawadia.

Hahahaha
 
"Kwahiyo sasa hivi tunalamba asali watoto wanasoma tunalamba asali, tunapata maji tunalamba asali, umeme tunapata, tunalamba asali, niliposema tutalamba asali sikukosea. Wenzangu hamlambii? Hamlambi asalii?" - Mzee Makamba

https://t.co/HjdvMUEewV
 
What a coming back!
IMG-20220401-WA0447.jpg
 
 
Wale ng'ombe wasio na mikia bado wapo?
Jiwe Akisema Wakirejea Machungani Wenzao Watajua Hawana Mkia


Muda Umefika Kuanza Kuwatema

Nyani Katema Bungo Halafu Siyo Msimu Wa Maembe
Waliofika Bei Matumbo Moto
 
Ccm ni ile ileee... Ohhh ni ile ileee
Kitengo ni kile kileeee ooh ni kilekileee
Fikra ni zi zilee zileee ooh ni zilee zileee
Chawa ni walee walee ooh ni walee walee
Fitina ni zilee zileee ooh ni zilee zileee
Majungu ni yalee yaeee ooh ni yalee yalee
Kubutua ni kulee kuleee ooh ni kulee kulee..
Sura ni zilee zilee ooh ni zilee zileee
Mbinu ni zilee zileee ooh ni zileezileee

Mapandikizi hayajastawi ukame umeyauwa
Wakuja wamefurushwa..hawana chao tena
Washamba wametawanywa hawasikiki tena
Wajuaji jua linawawakia wengine wamekuwa ndezi, wengine wako jehanum hata kabla ya kifo
Wakubebwa mbeleko imechanika
Wakulialia hamuna leso tena
Waunga juhudi wakakate tu pua waunge wajihi

Kumkoma nyani jiladi.. Kuna baadhi wanaogopa hata vivuli vyao... wahuni sio watu japo wana roho.. wanakuchinjia baharini huku wanakutupia boya la kujiokoa...!

Chama kimerudisha hatamu... ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKIGODA!

ITIKA! ZINGUMU....!!!!

Wakuu kila siku iendayo kwa Mungu ndo inazidi kuwaonyesha kuwa hao CCM Ni baba lao kwenye Siasa. Vyama vya upinzani hucheza Ngoma yao. Hamna Pa kusimamia. Sasa Hivi Badala ya kufanya yenu na kumsahau JPM, nyie bado mnapambana na marehemu, hamjamove on. Then mnajiita Wapinzani .

Achaneni na habari zao. Jipangeni mjue mnachotaka. Mpaka 2025 mtajikuta mashambulizi yenu yalikuwa kwa marehemu mkasahau kujenga chama chenu. Haya maneno Mara Sukuma Gang, Mara bashiru yanawapotezea Dira na mnajikuta wanaccn bila kujua huku mna digital kadi ya CHadema. Mwisho wa siku mnakuja kusema mmeibiwa kura. Kumbe ujinga wenu wa kukadhana na matukio ya nyumba ya jirani na kusahau kusafisha ya kwenu.

Kipimo chenu kiwe ndani yenu. Anzeni kuandika sifa za chama na watu mnaohisi wana sifa za uongozi. Fanyeni kazi. Anzisheni hata vikundi vya maendeleo. Jiwekeni kwa wananchi bila kubeza yanayoendelea.

Then 2024 mnaanza kuonyesha nini Bora kwenu. Narudia acheni kuwapa attention CCM kwa kuwaandika andika kwa nia ya kupambana na Marehemu. Deep down mnateseka sana. You can not give what you do not have.
 
Jiwe Akisema Wakirejea Machungani Wenzao Watajua Hawana Mkia


Muda Umefika Kuanza Kuwatema

Nyani Katema Bungo Halafu Siyo Msimu Wa Maembe
Waliofika Bei Matumbo Moto
Nyani Katema Bungo Halafu Siyo Msimu Wa Maembe
IMG-20220402-WA0037.jpg
 
Mpira ndio kwanza unarudi kwa kipa....

Nadhani wachezaji wajiandae kupangwa upya
 
 
Back
Top Bottom