Ally Happ anasemaje,bado wastaafu wanawashwa?
Inafika mahali unafikiri itabidi wengine tuanze "permanently" kuvaa helmet, sunglass nyeusi kabisa na sweater bullet proof!Ali Hapi alisema atamzabua makofi huyu mzee na wenzake.
Mkuu unaishi wapi? Nyarandu kesharejea mbona kitambo tu!Hapa bado Nyarandu,Sospeter ili kikosi kikamilike
Jiwe huko kuzimu be like ai wishi ai could be izraili mtoa roho.
😂😂🏃🏃
Kweli dunia inaenda kas sana kwenye mhimili wake ....shda wanadamu huzan mambo yaliyopita kamwe hayawenzi kujirudia ...hili ni somo zur sana kwetu speak less and more listening 🎧🎧🎧
Ng'ombe walio katwa mkia wajiandaeCcm ni ile ileee... Ohhh ni ile ileee
Kitengo ni kile kileeee ooh ni kilekileee
Fikra ni zi zilee zileee ooh ni zilee zileee
Chawa ni walee walee ooh ni walee walee
Fitina ni zilee zileee ooh ni zilee zileee
Majungu ni yalee yaeee ooh ni yalee yalee
Kubutua ni kulee kuleee ooh ni kulee kulee..
Sura ni zilee zilee ooh ni zilee zileee
Mbinu ni zilee zileee ooh ni zileezileee
Mapandikizi hayajastawi ukame umeyauwa
Wakuja wamefurushwa..hawana chao tena
Washamba wametawanywa hawasikiki tena
Wajuaji jua linawawakia wengine wamekuwa ndezi, wengine wako jehanum hata kabla ya kifo
Wakubebwa mbeleko imechanika
Wakulialia hamuna leso tena
Waunga juhudi wakakate tu pua waunge wajihi
Kumkoma nyani jiladi.. Kuna baadhi wanaogopa hata vivuli vyao... wahuni sio watu japo wana roho.. wanakuchinjia baharini huku wanakutupia boya la kujiokoa...!
Chama kimerudisha hatamu... ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKIGODA!
ITIKA! ZINGUMU....!!!!
Ni muda wao wa kuondoka ndani ya CCMTumewaonya sana lakini hamkusikia, haya endelea kutikisa mattacle sasa kama wakati wa mwendakuzimu.
Watu walidhani dikteta atatawala mpka 2040Kweli dunia inaenda kas sana kwenye mhimili wake ....shda wanadamu huzan mambo yaliyopita kamwe hayawenzi kujirudia ...hili ni somo zur sana kwetu speak less and more listening 🎧🎧🎧
Sasa chadema wakikosa hoja awamu hii basi hakitainuka tenaUpe muda wakati...!
Yatima huyuUnaumia ukiwa wapi ndugu? we ni ccm mpya au ccm ya zamani?