CCM ina wenyewe..

CCM ina wenyewe..

Unaumia ukiwa wapi ndugu? we ni ccm mpya au ccm ya zamani?
Ccm mpya na ya zamani imeteka mawazo yote ya gaidi ya katiba mpya!

Ccm mpya na ya zamani, 2025 wataungana kuwapelekea moto machadema kwenye box la kura!

Ccm hii 2025 itakuwa na kazi myepesi sana maana inaungwa mkono toka kila pande., hata wale wa upande wa gaidi wanaunga mkono ccm hii ili kumkomoa marehemu!

Tuwanyoa bila maji hawa timu gaidi

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Mafisadi mmerudi mjini
Kumbe unakubali kwamba Magu alitimua mafisadi? Sasa mnachoshangilia nini?

Hata hivyo hao unaosema wataleta hoja hawana uwezo maana aliondoka nao Slaa wote. Hawa waliobaki ni kundi la wahuni tu

Ukweli ni kwamba Fisadi aliwafukuza mafisadi wenziwe mjini.

Magufuli alikuwa fisadi tu kama hawa.
Alikuwa fisadi wa madaraka
Fisadi wa upendeleo ukanda
Mporaji fedha za mafisadi wenzake.
 
Ccm mpya na ya zamani imeteka mawazo yote ya gaidi ya katiba mpya!

Ccm mpya na ya zamani, 2025 wataungana kuwapelekea moto machadema kwenye box la kura!

Ccm hii 2025 itakuwa na kazi myepesi sana maana inaungwa mkono toka kila pande., hata wale wa upande wa gaidi wanaunga mkono ccm hii ili kumkomoa marehemu!

Tuwanyoa bila maji hawa timu gaidi

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Jamaa una stress mpaka basi😀😀😀.

Pole mkuu ndivyo maisha yalivyo
 
Hahaaaaaaaaaaaaaaaaa wauweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, wauweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, wauweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kwa sauti ya ndada Cosovo,R.I.P
 
Membe karudishwa ataungana na washamba wa chato kuwapelekea moto machadema 2025!

Tunayasubiri kwa hamu..

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
JamiiForums-27910971.jpg
 
Tanga (Shamba) ==> Nyika (Mbuga)

Wa Shamba wahakikishe wanokomea Nyikanai, Shambani kama vijakazi wa Uyahudi ya Kale.
 
Bibi wa Taifa😁😁😁
 
Ya Ngoswe Mwachieni Ngoswe......

Huku kufurahia yanayoendelea ndani ya chama cha watesi kunashangaza mno mnooooo

Wapinzani mnajisahau sana
sisiem ni ile ile mbona mihemko mingi hivi

Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime wakipatana chukua kapu ukavune

Simamieni moja huku kushangilia sijui kukebehi yanayotokea upande wa pili huu muda mtaujutia baadae

Endelezeni kupaaza sauti Juu ya #katibampya mengine yaacheni yapite....

Ni ushauri tu...
 
Sawa Dada Pakawa asante kwa ushauri
 
Nimepiga kijiwe kimoja nimekuta jamaa wanafyonza balaaa...afu kwa mbali kuna ule wimbo wa Mabaga fresh unapigwa !!

CCM ina wenyewe !! Sukumba Gang ni kama Mabaga - Muda wa kutaabika ushawadia.

Back
Top Bottom