Naomba kuona picha zenu za jana mlizopiga kwa dronesUkiachana na kutofanyika lile kafara la kukimbiza moto mwaka huu.....ukiachana na makada muhimu kutoonekana kwenye harakati hizi za kampeni ...kuna mambo bado yanafikirisha sana... Je hii ni coincidence ama ni matokeo ya wapanga mipango duni?
Mwanzoni mwa mwezi huu ccm katika kujiandaa na kampeni ilikuja na wazo la kukodi wasanii ili waisaidie kwenye kampeni zake...Jumla ya wasanii wapatao 200 wakakodisha kwa malipo yasiyojulilana...lakini ninini kilitokea!?
Kile kilichopaswa kuwa tukio kubwa la ukaribisho wa wasanii 200 kwenye jukwaa la kampeni la ccm ..kilikuja kufunikwa na tukio la mshereheshaji mmoja kupishana lugha na mmojawapo wa wasanii waalikwa...kilichotokea baada ya hapo ni utoto na upuuzi mtupu...na hili ndio likawa tukio lililochukua sura ya tamasha na kufunika kabisa tukio asili
Mipango ilikuwa mingi...likaja tukio la viongozi wa dini kufanya kilichoitwa kongamano la amani kwa udhamini wa cccm...hapo viongozi husika husika wakaingizwa kwenye mtego wa kusifu na kuabudu mema mengi yaliyofanywa awamu ya tano chini ya amiri jeshi mkuu..
Hili tukio nalo impact yake ikawa so negative...badala ya jamii kujadili muktadha wa mrejesho wa matarajio ya tukio ...mjadala ukawa viongozi wa dini kuwa na upande waziwazi kwenye maswala ya kisiasa badala ya kuwa neutral kwakuwa ni viongozi wa watu wa itikadi zote hivyo kuonesha upande ni sawa na ama kuwabagua waumini au kuwachanganya
Wasanii na viongozi wa dini hawapaswi kamwe kujichanganya na mambo ya kisiasa kwakuwa wanahudumia jamii yenye itikadi zote...huku ni kujiharibia maisha hasa kwa wasanii ambao baadhi yao wameharibu nyimbo zao nzuri kwa tukio la malipo kiduchu huku wakijipunguzia mashabiki na wapenzi
Matukio mawili kwenye uzinduzi wa kampeni pale Dodoma nayo yakafunika tena uzinduzi wenyewe..jamii ikahamishiwa tena kwenye matukio yatokanayo bila kupangwa na kuacha tukio muhimu la kupanga lililoandaliwa kwa gharama kubwa
Matukio ya Diamond kuzuiwa kufika jukwaa kuu na makonda kuzuiwa kukaa jukwaa la viongozi wa ccm ndio yamechukua nafasi ya mijadala kwenye tukio la ufunguzi....kumbuka makonda ndio mlezi wa Diamond
Ni kimavi gani hiki!? Ni gundu la wapi hili? Je litakoma ama ndio mwanzo wa muendelezo wa matukio yasiyopangwa wala kutarajiwa kutokea kwenye majukwaa ya kampeni ya ccm? Matukio ambayo ndio yatachukua nafasi ya mijadala....na kufunika matukio muhimu ya kutangaza sera na kuvutia wananchi wawachague....
Huwa nina shindwa kuelewa hawa vijana wa CCM ni binaadamu wenye akili huru ama kuna dawa wanalishwa ili wawe kama walivyo 🤔Fikra zao ni finyu mpaka wanatia huruma
👊👊Yaani watu wànajadili fainali murua ya Asernal na Liverpool kuliko uzinduzi uliogharimu zaidi ya mil.700?
Watu wanadili hotuba yenye matumaini kwa;
Watumishi
Wakulima
Wanafunzi
Wavuvi
Vijana
Wanawake
Wazee na
Taifa
Iliyotolewa viwanja vya Tanganyika Packers Jana.
Tena wanoijadili wengi ni wale walioshiriki kuandaa "Green Fiester" pale uwanja wa Jamhuri Dodoma.
Wengine wanasema angalau kasema ya maana kuliko juzi Mbagala, hawajui wanayemjadili NI YEYE.
Wengine wanasema ametoa wapi hayo wakati Ilani yao haijazinduliwa, hawajui wanayemjadili NI YEYE.
Wengine wanasema atatoa wapi hela ya Bima ya Afya kwa wote, Machinga kutotoa 20k baada ya kuboreshewa mazingira ya biashara, Watumishi wanaodaiwa na HESLB kukatwa 3% badala ya 15% na itakuwa kwa wale wenye ajira zinazoeleweka tu, wamesahau hapa wanayemjadili NI YEYE.
Wanasema kwa nini juzi kaongea mengine na Jana kaongeza mengine, wamezoea kusikia yule mtu mwenye wimbo mmoja wa Flaiova, Mandege, Standaji Geji kila siku, wanasahau maneno haya yanayempaisha NI YEYE.
Unataka picha au unataka sera?Naomba kuona picha zenu za jana mlizopiga kwa drones
Tune nyomi?
SISI SIO WAJINGANaomba kuona picha zenu za jana mlizopiga kwa drones
Tune nyomi?
wewe nawe acha kusumbua watu, hamia CCMUkiachana na kutofanyika lile kafara la kukimbiza moto mwaka huu.....ukiachana na makada muhimu kutoonekana kwenye harakati hizi za kampeni ...kuna mambo bado yanafikirisha sana... Je hii ni coincidence ama ni matokeo ya wapanga mipango duni?
Mwanzoni mwa mwezi huu ccm katika kujiandaa na kampeni ilikuja na wazo la kukodi wasanii ili waisaidie kwenye kampeni zake...Jumla ya wasanii wapatao 200 wakakodisha kwa malipo yasiyojulilana...lakini ninini kilitokea!?
Kile kilichopaswa kuwa tukio kubwa la ukaribisho wa wasanii 200 kwenye jukwaa la kampeni la ccm ..kilikuja kufunikwa na tukio la mshereheshaji mmoja kupishana lugha na mmojawapo wa wasanii waalikwa...kilichotokea baada ya hapo ni utoto na upuuzi mtupu...na hili ndio likawa tukio lililochukua sura ya tamasha na kufunika kabisa tukio asili
Mipango ilikuwa mingi...likaja tukio la viongozi wa dini kufanya kilichoitwa kongamano la amani kwa udhamini wa cccm...hapo viongozi husika husika wakaingizwa kwenye mtego wa kusifu na kuabudu mema mengi yaliyofanywa awamu ya tano chini ya amiri jeshi mkuu..
Hili tukio nalo impact yake ikawa so negative...badala ya jamii kujadili muktadha wa mrejesho wa matarajio ya tukio ...mjadala ukawa viongozi wa dini kuwa na upande waziwazi kwenye maswala ya kisiasa badala ya kuwa neutral kwakuwa ni viongozi wa watu wa itikadi zote hivyo kuonesha upande ni sawa na ama kuwabagua waumini au kuwachanganya
Wasanii na viongozi wa dini hawapaswi kamwe kujichanganya na mambo ya kisiasa kwakuwa wanahudumia jamii yenye itikadi zote...huku ni kujiharibia maisha hasa kwa wasanii ambao baadhi yao wameharibu nyimbo zao nzuri kwa tukio la malipo kiduchu huku wakijipunguzia mashabiki na wapenzi
Matukio mawili kwenye uzinduzi wa kampeni pale Dodoma nayo yakafunika tena uzinduzi wenyewe..jamii ikahamishiwa tena kwenye matukio yatokanayo bila kupangwa na kuacha tukio muhimu la kupanga lililoandaliwa kwa gharama kubwa
Matukio ya Diamond kuzuiwa kufika jukwaa kuu na makonda kuzuiwa kukaa jukwaa la viongozi wa ccm ndio yamechukua nafasi ya mijadala kwenye tukio la ufunguzi....kumbuka makonda ndio mlezi wa Diamond
Ni kimavi gani hiki!? Ni gundu la wapi hili? Je litakoma ama ndio mwanzo wa muendelezo wa matukio yasiyopangwa wala kutarajiwa kutokea kwenye majukwaa ya kampeni ya ccm? Matukio ambayo ndio yatachukua nafasi ya mijadala....na kufunika matukio muhimu ya kutangaza sera na kuvutia wananchi wawachague....
Kwani sera hizo za lisu ni ngeni hapa duniani?Unataka picha au unataka sera?
Vipi mbona unatoka tena nje ya mada? Na kuzungumzia past tense? Kwanini mnapenda kuishi nyuma ya wakati!?Kwani sera hizo za lisu ni ngeni hapa duniani?
Hata obamaalisema akipewa nchi ndani ya siku mia moja atafunga gerza la gwantanamo, lakini mpaka sasa lipo.
Akasema atawashugulikia wapalestina wapate ardhi yao iliyoporwa na waisraeli na wapalestina wakalipuka kwa shangwe,
Lakini mpaka sasa wanasubili utekelezaji wa obama, sasa itakuwa lisu ambaye ahjui hata huko serikalini kuna nini, hata ilani yenu tu haipo.
Mataahira ya Lumumba hayana aibu! Dodoma kuna minazi?Tukutane october, wacheni longolongo!View attachment 1552613
Mshamba huyoNaona mnaishi jana wakati dunia inawaza kesho..unajua hapo ni wapi na hiyo picha ni ya mwaka gani?
Haya sera gani unadhani kasema ina ukweli?Vipi mbona unatoka tena nje ya mada? Na kuzungumzia past tense? Kwanini mnapenda kuishi nyuma ya wakati!?