Ni mtazamo pia lakini uliokwepa kabisa kujadili kilichomo kwenye mada kuu...inawezekana hukuona umuhimu wa kukijadili au uliamua kuhamisha goli...Kiukweli ni wazi Chadema ndio haijajipanga vizuri kuanzia namna ya kuadress será na ilani ya chama mpaka mapokezi iyapatao ktk uzinduzi wao.
Mpaka sasa haijulikani SERÁ na ILANI ni zipi baada ya Lissu kutumia muda mwingi ktk uzinduzi kumwaga lawama kwa Serikali, kulialia jukwaani kwa fouls walizofanyiwa wabunge, kufukuza media, kutafuta sympathy kwa kuonesha makovu nk
Ukiangalia upande wa CCM ni wazi wamejipanga vyema sana, Mgombea JPM amepanda jukwaani ameanza kueleza mengi yaliyofanywa na Serikali yake ( ujenzi wa vituo vingi vya Afya, miundo mbinu ya barabara, reli, anga nk, nidhamu makazini, kutukinga na janga la corona, kuweka mifumo mizuri ya ukusanyaji kodi na kuwa msimamizi mzuri wa kodi za wananchi, kupungua kwa gharama za nishati ya umeme, kudhibiti ufisadi na matumizi mabovu ya kodi zetu na mengine mengi)
na pía akimaliza hayo huanza kuelezea nn atakifanya kwa miaka mingine mitano
Yaani CCM wana mtiririko mzuri unaoleta ladha ktk presentations zao majukwaani
Si ndo neema yenyewe upande wa pili?Ukiachana na kutofanyika lile kafara la kukimbiza moto mwaka huu.....ukiachana na makada muhimu kutoonekana kwenye harakati hizi za kampeni ...kuna mambo bado yanafikirisha sana... Je hii ni coincidence ama ni matokeo ya wapanga mipango duni?
Mwanzoni mwa mwezi huu ccm katika kujiandaa na kampeni ilikuja na wazo la kukodi wasanii ili waisaidie kwenye kampeni zake...Jumla ya wasanii wapatao 200 wakakodisha kwa malipo yasiyojulilana...lakini ninini kilitokea!?
Kile kilichopaswa kuwa tukio kubwa la ukaribisho wa wasanii 200 kwenye jukwaa la kampeni la ccm ..kilikuja kufunikwa na tukio la mshereheshaji mmoja kupishana lugha na mmojawapo wa wasanii waalikwa...kilichotokea baada ya hapo ni utoto na upuuzi mtupu...na hili ndio likawa tukio lililochukua sura ya tamasha na kufunika kabisa tukio asili
Mipango ilikuwa mingi...likaja tukio la viongozi wa dini kufanya kilichoitwa kongamano la amani kwa udhamini wa cccm...hapo viongozi husika husika wakaingizwa kwenye mtego wa kusifu na kuabudu mema mengi yaliyofanywa awamu ya tano chini ya amiri jeshi mkuu..
Hili tukio nalo impact yake ikawa so negative...badala ya jamii kujadili muktadha wa mrejesho wa matarajio ya tukio ...mjadala ukawa viongozi wa dini kuwa na upande waziwazi kwenye maswala ya kisiasa badala ya kuwa neutral kwakuwa ni viongozi wa watu wa itikadi zote hivyo kuonesha upande ni sawa na ama kuwabagua waumini au kuwachanganya
Wasanii na viongozi wa dini hawapaswi kamwe kujichanganya na mambo ya kisiasa kwakuwa wanahudumia jamii yenye itikadi zote...huku ni kujiharibia maisha hasa kwa wasanii ambao baadhi yao wameharibu nyimbo zao nzuri kwa tukio la malipo kiduchu huku wakijipunguzia mashabiki na wapenzi
Matukio mawili kwenye uzinduzi wa kampeni pale Dodoma nayo yakafunika tena uzinduzi wenyewe..jamii ikahamishiwa tena kwenye matukio yatokanayo bila kupangwa na kuacha tukio muhimu la kupanga lililoandaliwa kwa gharama kubwa
Matukio ya Diamond kuzuiwa kufika jukwaa kuu na makonda kuzuiwa kukaa jukwaa la viongozi wa ccm ndio yamechukua nafasi ya mijadala kwenye tukio la ufunguzi....kumbuka makonda ndio mlezi wa Diamond
Ni kimavi gani hiki!? Ni gundu la wapi hili? Je litakoma ama ndio mwanzo wa muendelezo wa matukio yasiyopangwa wala kutarajiwa kutokea kwenye majukwaa ya kampeni ya ccm? Matukio ambayo ndio yatachukua nafasi ya mijadala....na kufunika matukio muhimu ya kutangaza sera na kuvutia wananchi wawachague....
Hayo majengo yapo Dodoma ya jana kweli?Tukutane october, wacheni longolongo!View attachment 1552613
Iaana inawatafunaUkiachana na kutofanyika lile kafara la kukimbiza moto mwaka huu.....ukiachana na makada muhimu kutoonekana kwenye harakati hizi za kampeni ...kuna mambo bado yanafikirisha sana... Je hii ni coincidence ama ni matokeo ya wapanga mipango duni?
Mwanzoni mwa mwezi huu ccm katika kujiandaa na kampeni ilikuja na wazo la kukodi wasanii ili waisaidie kwenye kampeni zake...Jumla ya wasanii wapatao 200 wakakodisha kwa malipo yasiyojulilana...lakini ninini kilitokea!?
Kile kilichopaswa kuwa tukio kubwa la ukaribisho wa wasanii 200 kwenye jukwaa la kampeni la ccm ..kilikuja kufunikwa na tukio la mshereheshaji mmoja kupishana lugha na mmojawapo wa wasanii waalikwa...kilichotokea baada ya hapo ni utoto na upuuzi mtupu...na hili ndio likawa tukio lililochukua sura ya tamasha na kufunika kabisa tukio asili
Mipango ilikuwa mingi...likaja tukio la viongozi wa dini kufanya kilichoitwa kongamano la amani kwa udhamini wa cccm...hapo viongozi husika husika wakaingizwa kwenye mtego wa kusifu na kuabudu mema mengi yaliyofanywa awamu ya tano chini ya amiri jeshi mkuu..
Hili tukio nalo impact yake ikawa so negative...badala ya jamii kujadili muktadha wa mrejesho wa matarajio ya tukio ...mjadala ukawa viongozi wa dini kuwa na upande waziwazi kwenye maswala ya kisiasa badala ya kuwa neutral kwakuwa ni viongozi wa watu wa itikadi zote hivyo kuonesha upande ni sawa na ama kuwabagua waumini au kuwachanganya
Wasanii na viongozi wa dini hawapaswi kamwe kujichanganya na mambo ya kisiasa kwakuwa wanahudumia jamii yenye itikadi zote...huku ni kujiharibia maisha hasa kwa wasanii ambao baadhi yao wameharibu nyimbo zao nzuri kwa tukio la malipo kiduchu huku wakijipunguzia mashabiki na wapenzi
Matukio mawili kwenye uzinduzi wa kampeni pale Dodoma nayo yakafunika tena uzinduzi wenyewe..jamii ikahamishiwa tena kwenye matukio yatokanayo bila kupangwa na kuacha tukio muhimu la kupanga lililoandaliwa kwa gharama kubwa
Matukio ya Diamond kuzuiwa kufika jukwaa kuu na makonda kuzuiwa kukaa jukwaa la viongozi wa ccm ndio yamechukua nafasi ya mijadala kwenye tukio la ufunguzi....kumbuka makonda ndio mlezi wa Diamond
Ni kimavi gani hiki!? Ni gundu la wapi hili? Je litakoma ama ndio mwanzo wa muendelezo wa matukio yasiyopangwa wala kutarajiwa kutokea kwenye majukwaa ya kampeni ya ccm? Matukio ambayo ndio yatachukua nafasi ya mijadala....na kufunika matukio muhimu ya kutangaza sera na kuvutia wananchi wawachague....
Achana na Sera za chadema hapa tunajadili matukio ua hovyo kwenye mikutano ya CCM.Kiukweli ni wazi Chadema ndio haijajipanga vizuri kuanzia namna ya kuadress será na ilani ya chama mpaka mapokezi iyapatao ktk uzinduzi wao.
Mpaka sasa haijulikani SERÁ na ILANI ni zipi baada ya Lissu kutumia muda mwingi ktk uzinduzi kumwaga lawama kwa Serikali, kulialia jukwaani kwa fouls walizofanyiwa wabunge, kufukuza media, kutafuta sympathy kwa kuonesha makovu nk
Ukiangalia upande wa CCM ni wazi wamejipanga vyema sana, Mgombea JPM amepanda jukwaani ameanza kueleza mengi yaliyofanywa na Serikali yake ( ujenzi wa vituo vingi vya Afya, miundo mbinu ya barabara, reli, anga nk, nidhamu makazini, namna nzuri ya kudhibiti public panic ktk janga la corona tofauti na nyie Chadema mliokuwa mnataka tujifungie ndani tufe na njaa, kuweka mifumo mizuri ya ukusanyaji kodi na kuwa msimamizi mzuri wa kodi za wananchi, kupungua kwa gharama za nishati ya umeme, kudhibiti ufisadi na matumizi mabovu ya kodi zetu na mengine mengi)
na pía akimaliza hayo huanza kuelezea nn atakifanya kwa miaka mingine mitano
Yaani CCM wana mtiririko mzuri unaoleta ladha ktk presentations zao majukwaani
Mmmh, hapana.Ni kweli kabisa lakini ni mtazamo uliojaa uhalisia mtupu
Ccm bila uongo hawawezi. Infact Mbagala tumevunja recordPicha hii ilikuwa uwanja wa jangwani Sisi wenyeji wa DAR tunayajua maeneo yote ya jiji
Mkuu, haya mambo yako juu sana ya upeo kwa wavivu wa kufikiri na wasio na "macho" yenye kuona.Ukiachana na kutofanyika lile kafara la kukimbiza moto mwaka huu.....ukiachana na makada muhimu kutoonekana kwenye harakati hizi za kampeni ...kuna mambo bado yanafikirisha sana... Je hii ni coincidence ama ni matokeo ya wapanga mipango duni?
Mwanzoni mwa mwezi huu ccm katika kujiandaa na kampeni ilikuja na wazo la kukodi wasanii ili waisaidie kwenye kampeni zake...Jumla ya wasanii wapatao 200 wakakodisha kwa malipo yasiyojulilana...lakini ninini kilitokea!?
Kile kilichopaswa kuwa tukio kubwa la ukaribisho wa wasanii 200 kwenye jukwaa la kampeni la ccm ..kilikuja kufunikwa na tukio la mshereheshaji mmoja kupishana lugha na mmojawapo wa wasanii waalikwa...kilichotokea baada ya hapo ni utoto na upuuzi mtupu...na hili ndio likawa tukio lililochukua sura ya tamasha na kufunika kabisa tukio asili
Mipango ilikuwa mingi...likaja tukio la viongozi wa dini kufanya kilichoitwa kongamano la amani kwa udhamini wa cccm...hapo viongozi husika husika wakaingizwa kwenye mtego wa kusifu na kuabudu mema mengi yaliyofanywa awamu ya tano chini ya amiri jeshi mkuu..
Hili tukio nalo impact yake ikawa so negative...badala ya jamii kujadili muktadha wa mrejesho wa matarajio ya tukio ...mjadala ukawa viongozi wa dini kuwa na upande waziwazi kwenye maswala ya kisiasa badala ya kuwa neutral kwakuwa ni viongozi wa watu wa itikadi zote hivyo kuonesha upande ni sawa na ama kuwabagua waumini au kuwachanganya
Wasanii na viongozi wa dini hawapaswi kamwe kujichanganya na mambo ya kisiasa kwakuwa wanahudumia jamii yenye itikadi zote...huku ni kujiharibia maisha hasa kwa wasanii ambao baadhi yao wameharibu nyimbo zao nzuri kwa tukio la malipo kiduchu huku wakijipunguzia mashabiki na wapenzi
Matukio mawili kwenye uzinduzi wa kampeni pale Dodoma nayo yakafunika tena uzinduzi wenyewe..jamii ikahamishiwa tena kwenye matukio yatokanayo bila kupangwa na kuacha tukio muhimu la kupanga lililoandaliwa kwa gharama kubwa
Matukio ya Diamond kuzuiwa kufika jukwaa kuu na makonda kuzuiwa kukaa jukwaa la viongozi wa ccm ndio yamechukua nafasi ya mijadala kwenye tukio la ufunguzi....kumbuka makonda ndio mlezi wa Diamond
Ni kimavi gani hiki!? Ni gundu la wapi hili? Je litakoma ama ndio mwanzo wa muendelezo wa matukio yasiyopangwa wala kutarajiwa kutokea kwenye majukwaa ya kampeni ya ccm? Matukio ambayo ndio yatachukua nafasi ya mijadala....na kufunika matukio muhimu ya kutangaza sera na kuvutia wananchi wawachague....
Mkuu, haya mambo yako juu sana ya upeo kwa wavivu wa kufikiri na wasio na "macho" yenye kuona.Ukiachana na kutofanyika lile kafara la kukimbiza moto mwaka huu.....ukiachana na makada muhimu kutoonekana kwenye harakati hizi za kampeni ...kuna mambo bado yanafikirisha sana... Je hii ni coincidence ama ni matokeo ya wapanga mipango duni?
Mwanzoni mwa mwezi huu ccm katika kujiandaa na kampeni ilikuja na wazo la kukodi wasanii ili waisaidie kwenye kampeni zake...Jumla ya wasanii wapatao 200 wakakodisha kwa malipo yasiyojulilana...lakini ninini kilitokea!?
Kile kilichopaswa kuwa tukio kubwa la ukaribisho wa wasanii 200 kwenye jukwaa la kampeni la ccm ..kilikuja kufunikwa na tukio la mshereheshaji mmoja kupishana lugha na mmojawapo wa wasanii waalikwa...kilichotokea baada ya hapo ni utoto na upuuzi mtupu...na hili ndio likawa tukio lililochukua sura ya tamasha na kufunika kabisa tukio asili
Mipango ilikuwa mingi...likaja tukio la viongozi wa dini kufanya kilichoitwa kongamano la amani kwa udhamini wa cccm...hapo viongozi husika husika wakaingizwa kwenye mtego wa kusifu na kuabudu mema mengi yaliyofanywa awamu ya tano chini ya amiri jeshi mkuu..
Hili tukio nalo impact yake ikawa so negative...badala ya jamii kujadili muktadha wa mrejesho wa matarajio ya tukio ...mjadala ukawa viongozi wa dini kuwa na upande waziwazi kwenye maswala ya kisiasa badala ya kuwa neutral kwakuwa ni viongozi wa watu wa itikadi zote hivyo kuonesha upande ni sawa na ama kuwabagua waumini au kuwachanganya
Wasanii na viongozi wa dini hawapaswi kamwe kujichanganya na mambo ya kisiasa kwakuwa wanahudumia jamii yenye itikadi zote...huku ni kujiharibia maisha hasa kwa wasanii ambao baadhi yao wameharibu nyimbo zao nzuri kwa tukio la malipo kiduchu huku wakijipunguzia mashabiki na wapenzi
Matukio mawili kwenye uzinduzi wa kampeni pale Dodoma nayo yakafunika tena uzinduzi wenyewe..jamii ikahamishiwa tena kwenye matukio yatokanayo bila kupangwa na kuacha tukio muhimu la kupanga lililoandaliwa kwa gharama kubwa
Matukio ya Diamond kuzuiwa kufika jukwaa kuu na makonda kuzuiwa kukaa jukwaa la viongozi wa ccm ndio yamechukua nafasi ya mijadala kwenye tukio la ufunguzi....kumbuka makonda ndio mlezi wa Diamond
Ni kimavi gani hiki!? Ni gundu la wapi hili? Je litakoma ama ndio mwanzo wa muendelezo wa matukio yasiyopangwa wala kutarajiwa kutokea kwenye majukwaa ya kampeni ya ccm? Matukio ambayo ndio yatachukua nafasi ya mijadala....na kufunika matukio muhimu ya kutangaza sera na kuvutia wananchi wawachague....
Nani aliye wa chomoa fuse kichwani ninyi vijana wa Lumumba mtu mwenye akili timamu hawezi jifurahisha kwa picha ya uwongo jinga kabisa wewe!Tukutane october, wacheni longolongo!View attachment 1552613
SISI SIO WAJINGATukutane october, wacheni longolongo!View attachment 1552613
Tukio lile ni Tangazo mujarabu kabisa wa kujulisha umma kuwa TBC ni CCM!![emoji38] [emoji38] mkasahau baada ya uzinduzi wa juzi mada iligeukaikawa TBCCM wafukuzwa kwenyemkutani.
Mtu ana miaka zaidi ya 5 hajawahi toka wilaya moja kwenda nyingine au hajawahi fika mjini leo umekuja usafiri wa bure kwanin asiende kuona taa za dodoma, na wengi wanakuja kwa akiri hiyo.Wanaoshiriki kampeni za chadema ni watu wahusika wa eneo hilo,hawaendi vijiji vya jirani kubeba watu kwa malori,mkutano wa chadema hauna waigizaji ni mkutano wa kigumu na wagumu