Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Kilipofikia chama pendwa kwa sasa!
Sina hakika kama umeelewa nilichoandika.Tulia sawa ili dawa ikuingie vyema maungonihttps://www.instagram.com/p/CEfBoPqA5GX/?igshid=1pjcq0mz2hm8
Ahahahahahahah! Uko vizuri!Nimeelewa bana
Na bado hadi meko afie jukwaniUkiachana na kutofanyika lile kafara la kukimbiza moto mwaka huu ukiachana na makada muhimu kutoonekana kwenye harakati hizi za kampeni kuna mambo bado yanafikirisha sana. Je, hii ni coincidence ama ni matokeo ya wapanga mipango duni?
Mwanzoni mwa mwezi huu ccm katika kujiandaa na kampeni ilikuja na wazo la kukodi wasanii ili waisaidie kwenye kampeni zake. Jumla ya wasanii wapatao 200 wakakodisha kwa malipo yasiyojulilana lakini ninini kilitokea!?
Kile kilichopaswa kuwa tukio kubwa la ukaribisho wa wasanii 200 kwenye jukwaa la kampeni la CCM kilikuja kufunikwa na tukio la mshereheshaji mmoja kupishana lugha na mmojawapo wa wasanii waalikwa kilichotokea baada ya hapo ni utoto na upuuzi mtupu na hili ndio likawa tukio lililochukua sura ya tamasha na kufunika kabisa tukio asili
Mipango ilikuwa mingi likaja tukio la viongozi wa dini kufanya kilichoitwa kongamano la amani kwa udhamini wa CCM hapo viongozi husika husika wakaingizwa kwenye mtego wa kusifu na kuabudu mema mengi yaliyofanywa awamu ya tano chini ya amiri jeshi mkuu..
Hili tukio nalo impact yake ikawa so negative...badala ya jamii kujadili muktadha wa mrejesho wa matarajio ya tukio ...mjadala ukawa viongozi wa dini kuwa na upande waziwazi kwenye maswala ya kisiasa badala ya kuwa neutral kwakuwa ni viongozi wa watu wa itikadi zote hivyo kuonesha upande ni sawa na ama kuwabagua waumini au kuwachanganya
Wasanii na viongozi wa dini hawapaswi kamwe kujichanganya na mambo ya kisiasa kwakuwa wanahudumia jamii yenye itikadi zote...huku ni kujiharibia maisha hasa kwa wasanii ambao baadhi yao wameharibu nyimbo zao nzuri kwa tukio la malipo kiduchu huku wakijipunguzia mashabiki na wapenzi
Matukio mawili kwenye uzinduzi wa kampeni pale Dodoma nayo yakafunika tena uzinduzi wenyewe..jamii ikahamishiwa tena kwenye matukio yatokanayo bila kupangwa na kuacha tukio muhimu la kupanga lililoandaliwa kwa gharama kubwa
Matukio ya Diamond kuzuiwa kufika jukwaa kuu na makonda kuzuiwa kukaa jukwaa la viongozi wa ccm ndio yamechukua nafasi ya mijadala kwenye tukio la ufunguzi....kumbuka makonda ndio mlezi wa Diamond
Ni kimavi gani hiki!? Ni gundu la wapi hili? Je litakoma ama ndio mwanzo wa muendelezo wa matukio yasiyopangwa wala kutarajiwa kutokea kwenye majukwaa ya kampeni ya ccm? Matukio ambayo ndio yatachukua nafasi ya mijadala....na kufunika matukio muhimu ya kutangaza sera na kuvutia wananchi wawachague....
Huna uwezo wa kuandika kitu kikaelewekaSina hakika kama umeelewa nilichoandika.
Sina hakika kama umepitia kile ulichoandika hapa kinalingana na kusudio lililokuwa kichwani mwako. Kuanzia haya ya kwanza hadi ya mwisho msomaji anajiuliza unashutumu, unalaumu au unatoa angalizo kwa waandaji wa ufunguzi wa kampeni za CCM.Ukiachana na kutofanyika lile kafara la kukimbiza moto mwaka huu ukiachana na makada muhimu kutoonekana kwenye harakati hizi za kampeni kuna mambo bado yanafikirisha sana. Je, hii ni coincidence ama ni matokeo ya wapanga mipango duni?
Mwanzoni mwa mwezi huu ccm katika kujiandaa na kampeni ilikuja na wazo la kukodi wasanii ili waisaidie kwenye kampeni zake. Jumla ya wasanii wapatao 200 wakakodisha kwa malipo yasiyojulilana lakini ninini kilitokea!?
Kile kilichopaswa kuwa tukio kubwa la ukaribisho wa wasanii 200 kwenye jukwaa la kampeni la CCM kilikuja kufunikwa na tukio la mshereheshaji mmoja kupishana lugha na mmojawapo wa wasanii waalikwa kilichotokea baada ya hapo ni utoto na upuuzi mtupu na hili ndio likawa tukio lililochukua sura ya tamasha na kufunika kabisa tukio asili
Mipango ilikuwa mingi likaja tukio la viongozi wa dini kufanya kilichoitwa kongamano la amani kwa udhamini wa CCM hapo viongozi husika husika wakaingizwa kwenye mtego wa kusifu na kuabudu mema mengi yaliyofanywa awamu ya tano chini ya amiri jeshi mkuu..
Hili tukio nalo impact yake ikawa so negative...badala ya jamii kujadili muktadha wa mrejesho wa matarajio ya tukio ...mjadala ukawa viongozi wa dini kuwa na upande waziwazi kwenye maswala ya kisiasa badala ya kuwa neutral kwakuwa ni viongozi wa watu wa itikadi zote hivyo kuonesha upande ni sawa na ama kuwabagua waumini au kuwachanganya
Wasanii na viongozi wa dini hawapaswi kamwe kujichanganya na mambo ya kisiasa kwakuwa wanahudumia jamii yenye itikadi zote...huku ni kujiharibia maisha hasa kwa wasanii ambao baadhi yao wameharibu nyimbo zao nzuri kwa tukio la malipo kiduchu huku wakijipunguzia mashabiki na wapenzi
Matukio mawili kwenye uzinduzi wa kampeni pale Dodoma nayo yakafunika tena uzinduzi wenyewe..jamii ikahamishiwa tena kwenye matukio yatokanayo bila kupangwa na kuacha tukio muhimu la kupanga lililoandaliwa kwa gharama kubwa
Matukio ya Diamond kuzuiwa kufika jukwaa kuu na makonda kuzuiwa kukaa jukwaa la viongozi wa ccm ndio yamechukua nafasi ya mijadala kwenye tukio la ufunguzi....kumbuka makonda ndio mlezi wa Diamond
Ni kimavi gani hiki!? Ni gundu la wapi hili? Je litakoma ama ndio mwanzo wa muendelezo wa matukio yasiyopangwa wala kutarajiwa kutokea kwenye majukwaa ya kampeni ya ccm? Matukio ambayo ndio yatachukua nafasi ya mijadala....na kufunika matukio muhimu ya kutangaza sera na kuvutia wananchi wawachague....
Siandiki kitu kikaeleweka ila wewe una komenti kwenye kitu ambacho hakieleweki! Dogo uko vizuri! Ahahahahahahahh!Huna uwezo wa kuandika kitu kikaeleweka
Hivyo vipau mbele kila mwaka kupitia Irani zenu mnakuwa nazo kwa zaidi ya miaka 60 lkn matokeo yake ni kutuzidishia umasikini wa kutupwaSina hakika kama umepitia kile ulichoandika hapa kinalingana na kusudio lililokuwa kichwani mwako. Kuanzia haya ya kwanza hadi ya mwisho msomaji anajiuliza unashutumu, unalaumu au unatoa angalizo kwa waandaji wa ufunguzi wa kampeni za CCM.
Kwa maelezo yaliyomo kwenye bandiko lako ni dhahiri wewe ulikuwa mmoja wa walioandaa shughuli hiyo lakini imefanyika tofauti. Kwamba uzinduzi ulifunikwa na mambo yasiyo ya msingi.
Kwa kuwa mimi nilifuatilia shughuli yote, naungana na yaliyohabarishwa kwenye magazeti ya leo kama inavyoonekana kwenye viambatanisho hapa chiniView attachment 1553504View attachment 1553505
Sindano zitakuponyeshaSiandiki kitu kikaeleweka ila wewe una komenti kwenye kitu ambacho hakieleweki! Dogo uko vizuri! Ahahahahahahahh!
Ukiachana na kutofanyika lile kafara la kukimbiza moto mwaka huu ukiachana na makada muhimu kutoonekana kwenye harakati hizi za kampeni kuna mambo bado yanafikirisha sana. Je, hii ni coincidence ama ni matokeo ya wapanga mipango duni?
Mwanzoni mwa mwezi huu ccm katika kujiandaa na kampeni ilikuja na wazo la kukodi wasanii ili waisaidie kwenye kampeni zake. Jumla ya wasanii wapatao 200 wakakodisha kwa malipo yasiyojulilana lakini ninini kilitokea!?
Kile kilichopaswa kuwa tukio kubwa la ukaribisho wa wasanii 200 kwenye jukwaa la kampeni la CCM kilikuja kufunikwa na tukio la mshereheshaji mmoja kupishana lugha na mmojawapo wa wasanii waalikwa kilichotokea baada ya hapo ni utoto na upuuzi mtupu na hili ndio likawa tukio lililochukua sura ya tamasha na kufunika kabisa tukio asili
Mipango ilikuwa mingi likaja tukio la viongozi wa dini kufanya kilichoitwa kongamano la amani kwa udhamini wa CCM hapo viongozi husika husika wakaingizwa kwenye mtego wa kusifu na kuabudu mema mengi yaliyofanywa awamu ya tano chini ya amiri jeshi mkuu..
Hili tukio nalo impact yake ikawa so negative...badala ya jamii kujadili muktadha wa mrejesho wa matarajio ya tukio ...mjadala ukawa viongozi wa dini kuwa na upande waziwazi kwenye maswala ya kisiasa badala ya kuwa neutral kwakuwa ni viongozi wa watu wa itikadi zote hivyo kuonesha upande ni sawa na ama kuwabagua waumini au kuwachanganya
Wasanii na viongozi wa dini hawapaswi kamwe kujichanganya na mambo ya kisiasa kwakuwa wanahudumia jamii yenye itikadi zote...huku ni kujiharibia maisha hasa kwa wasanii ambao baadhi yao wameharibu nyimbo zao nzuri kwa tukio la malipo kiduchu huku wakijipunguzia mashabiki na wapenzi
Matukio mawili kwenye uzinduzi wa kampeni pale Dodoma nayo yakafunika tena uzinduzi wenyewe..jamii ikahamishiwa tena kwenye matukio yatokanayo bila kupangwa na kuacha tukio muhimu la kupanga lililoandaliwa kwa gharama kubwa
Matukio ya Diamond kuzuiwa kufika jukwaa kuu na makonda kuzuiwa kukaa jukwaa la viongozi wa ccm ndio yamechukua nafasi ya mijadala kwenye tukio la ufunguzi....kumbuka makonda ndio mlezi wa Diamond
Ni kimavi gani hiki!? Ni gundu la wapi hili? Je litakoma ama ndio mwanzo wa muendelezo wa matukio yasiyopangwa wala kutarajiwa kutokea kwenye majukwaa ya kampeni ya ccm? Matukio ambayo ndio yatachukua nafasi ya mijadala....na kufunika matukio muhimu ya kutangaza sera na kuvutia wananchi wawachague....
Siwezi kukujibu kwa kuwa hujakanusha kwa takwimu bali kwa hisia zilizojaa uwoga wa kuogopa ukweli. Mwenye macho haambiwi tazama wala mwenye masikio asikie.Hivyo vipau mbele kila mwaka kupitia Irani zenu mnakuwa nazo kwa zaidi ya miaka 60 lkn matokeo yake ni kutuzidishia umasikini wa kutupwa
Wacha ujinga wewe, cdm ipo kuwatetea na kuwafanya Watanzania waishi kulingana na mahitaji yao, wawe na sauti kwenye nchi yao.Siwezi kukujibu kwa kuwa hujakanusha kwa takwimu bali kwa hisia zilizojaa uwoga wa kuogopa ukweli. Mwenye macho haambiwi tazama wala mwenye masikio asikie.
CHADEMA, chama ambacho viongozi wake, pamoja na kupokea mabilioni ya ruzuku kuliko vyama vingine vya upinzani, hawana uhalali wa kutetewa wala kutoa lawama kwa chama tawala, wakati hata ofisi moja hawa kujenga. Viongozi hao hawastahili kamwe kuaminiwa kuongoza nchi hii.
Viongozi wa CHADEMA wanaamini kuwa kauli mbiu yao ya haki na uhuru, na ahadi lukuki zenye harufu ya kufitinisha Serikali na wananchi, ni mtaji wa kushawishi wapiga kura. Watambue kuwa WaTz wa jana siyo wa leo wa kulishwa matango pori ya kisiasa. Mkono mtupu haulambwi.
Ili viongozi wa CHADEMA waweze kuweka ushindani wenye tija, yabidi wabadili mtazamo wao kuhusu tafsiri ya maendeleo. Nadharia yao ya maendeleo ya watu, hakika haieleweki hata kwa viongozi wenyewe. Km leo John Mrema, mgombea ubunge wa Segerea, kwenye kampeni huko, amesikika akiahidi uboreshaji wa miuondo mbinu na huduma za jamii, ambavyo kwa tafsiri ya CHADEMA ni maendeleo ya vitu. Na bahati mbaya anatofautiana na M/Kiti wa chama na mgombea Urais ambao kipaumbele ni Katiba itakayotoa "haki bila wajibu" na "uhuru usio na mipaka" kisichowezekana hata kwa wanyama porini.
Wasikilizeni.
Uliyoyaanisha ndiyo msingi wa utu na kiongozi wa kisiasa lazima ayaishi kwa kauli na vitendo, vinginevyo ni ulaghai na unafiki, mwanzo mwisho.Wacha ujinga wewe, cdm ipo kuwatetea na kuwafanya Watanzania waishi kulingana na mahitaji yao, wawe na sauti kwenye nchi yao.
Wapate mahitaji yao kulingana na uhitaji wao, wapate huduma za jamii bila usumbufu kama mnavyo fanya sasa.
Wapate elimu bora, Afya bora, barabara safi, wakulima wauze mazao yao kadri ya mahitaji yao na walipwe kwa wakati, wananchi wapate ulinzi wa mali zao na usalama wao pia.
Kuheshimu katiba ambayo ndiyo msingi mkuu kwenye utawala wa nchi yeyote hapa duniani, asitokee mtu ajawa juu ya sheria kama mnavyo fanya nyinyi sasa.
Utawala wenu hayo yote kwenu ni kitendawili, mnachojali ni 10% tu.Uliyoyaanisha ndiyo msingi wa utu na kiongozi wa kisiasa lazima ayaishi kwa kauli na vitendo, vinginevyo ni ulaghai na unafiki, mwanzo mwisho.
Mkuu Mmawia, ndani ya moyo wako unajua kabisa madai yako hayo ni ya uwongo ila yakufurahisha jukwaa hili. "Una macho" na "una masikio", huhitaji msaada.Utawala wenu hayo yote kwenu ni kitendawili, mnachojali ni 10% tu.
Elimu ni bora elimu tu maana mnajua kuwa mkiwapatia elimu bora wananchi wataelimika na kutambua haki zake hivyo kudai haki zake na kuktataa kutumikishwa kama mtumwa nchini mwake.
Huna haki ya kunilisha unacho kiamini. Mimi naamini hivyo na watanzania wengi wanajua hilo maana pembe la ng'ombe halifichiki.Mkuu Mmawia, ndani ya moyo wako unajua kabisa madai yako hayo ni ya uwongo ila yakufurahisha jukwaa hili. "Una macho" na "una masikio", huhitaji msaada.
Sawa kabisa.Huna haki ya kunilisha unacho kiamini. Mimi naamini hivyo na watanzania wengi wanajua hilo maana pembe la ng'ombe halifichiki.
Hakuna mlicho kifanya kwenye hayo niliyo yasema hapo maana mwenye macho yake anaona.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kilipofikia chama pendwa kwa sasa!View attachment 1553435
Hata mimi naamini hujaelewa nilichoandika....nimesema matukio yasiyotegemewa yamefunika muktadha mkuu...yaani hayo matukio yametrend mitandaoni zaidi kuliko jambo husikaSina hakika kama umepitia kile ulichoandika hapa kinalingana na kusudio lililokuwa kichwani mwako. Kuanzia haya ya kwanza hadi ya mwisho msomaji anajiuliza unashutumu, unalaumu au unatoa angalizo kwa waandaji wa ufunguzi wa kampeni za CCM.