The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Yaani serikali ikuambie kila inachofanya wewe kama nani hasa?CDM badilikeni acheni Uanaharakati....!
FANYENI SIASA, tambueni mahitaji halisi ya mlala hoi na jinsi gani ya kusolve..!
2025 ni Kama Kumsukuma Mlevi ...!
Iwe kwa Katiba mpya au hii hii...iwe Kwa Tume mpya au hii hii ...
Muuza mihogo ukimwambia andamana Dai KATIBA Mpya haielewi.
Lakini ukimwambia bei ya mafuta Kukaangia mihogo itashuka ukinichagua ujue umempata..!
Mtu wa Kawaida Ukimwambia 'tozo la miamala' hatuambiwi tena Zimekusanywa shin ngapi ? Na Zinaenda Wapi? Anaelewa. Amkeni Amkeni!
Lile Genge la 'Wahuni' limesusiwa Chama. Mnataka nini tena?
Wana maumivu makali, hawajui kama walipigwa na kitu chenye ncha but, bapa au Kali!?kwani Sukuma hang mnasemaje
Nani akupe hayo majimbo?Naiwaza chadema ya Dr. Slaa ingekuwepo leo hii walikuwa wanabeba majimbo 75%
Ila Hawa wahuni wamerudi baada ya kuua upinzani, kumuua Mkapa, Jiwe, nk...
Mi sio nyumbu wa fisiemu kiongoziWewe Ni Mungu hadi ujue kesho?. Nani alijua Kinana atakuwa Makamu Mwenyekiti kutoka kupewa adhabu?. Leo Membe kasamehewa. Waliomtukana Magufuli kwenye simu ndio mawaziri leo. Usijipe nafasi ya umungu.
Mojawapo ni ya wajinga kama weweKuna familia ambazo inabidi tukubaliane kama Taifa zipigwe marufuku kugombea nafasi yoyote ile ya uongozi maana tumeshaona namna walivyo na uchu wa madaraka na kutaka kujibinafsishia hii nchi kama mali binafsi.
Wanajisumbua tuAcha propaganda. Wewe unadhani wanaodai katiba mpya na Tume huru Wana maana gani?
Ni kweli..wao hawatumii sera badala yake wamekuwa wadandia matukio.Nakubaliana na wewe kwamba walioifanya CCM kwenda ICU ndiyo wameeudi Chini ya upole wa mama SSH.
Ccm inaenda kuwa dhaifu lakini si dhaifu kufikia udhaifu wa upinzani.
Wapinzani bado hawajaweza kushawishi wapiga kura.
Wanacheza ngoma ya watawala. Wamekuwa ni kikundi cha kusubiri ccm kafanya nini na ndiyo watoke kusema.
Wapiga kura wanataka kusikia vitu tofauti kutoka kwa wapinzani.
Nakubaliana na wewe ruaharuaha.Tanzania inahitaji chama kipya. Chenye maslahi ya dhati, mikakati na dhamira thabiti kwa Watanzania wote.
Chama kitachowaunganisha Watanzania wote wa vyama vyote, makabila, dini, kanda, maskini, matajiri wafanyakazi, wafanyabiashara, wakulima na wamachinga, mama ntilie nyuma ya maslahi ya wengi, maslahi ya Taifa.
Kwa sasa hatuna chama kama hicho. Vyama vyote kwa sasa vipo kwa ajili ya maslahi yao, (Narrow interest) na sio kuipigania Tanzania na Watanzania kwa ujumla wao.
Mbona hueleweki. Kwa hiyo unapenda pale jpm kaiba kura zote na kuwapa ccm na kuwatangaza kwa nguvu? Mbona kipindi Cha jpm ndo ccm iliporomoka ikabaki Ni ubabe tu kwamba umchague usimchague atatangazwa tu.Ni Suala la muda mfupi ujao, haya niyasemayo yatadhihirika huko site.
CCM ya wanyonge imepigwa kitu kizito na CCM ya mtandao. Hili sio la kuogopa kusema,labda Moderators wanifanyie yao kwa kuuondoa uzi huu.
Ila ukweli utabaki kuwa ukweli.
Kwa hii safu yenu mpya,
mmeingizwa chaka na walewale walioshindwa kulivua gamba.
Walewale walioiacha hadi ikaingia ICU.
Hakuna kipindi CCM itaishi kwa unafiki baina ya wanachama wenyewe kwa wenyewe kama sasa.
Ni vigumu kusema CCM haitagawanyika kuelekea 2025.
Mnaweza kubaki na raisi asiye dhibiti bunge la jamhuri.
Maana wabunge 75% ni ngumu kurudi bungeni.
Wapinzani mngekuwa makini,hiki ndio kipindi muhimu mrudi site kujijenga.
Tokeni huko mijini mje kuongea lugha ya wapiga kura na kero zao.
CCM hii ya mama na Kinana kwa mtindo huu wa majibu ya jazba kwa wananchi.
Kama tume itasimamia haki...CCM 2025 ni ngumu sana kutoboa.
View attachment 2170598View attachment 2170601
Mkuu Magufuli na kundi lake walilewa madaraka mpaka wakawa hawaoni mbele zaidi ya futi moja. Nakuapia Magufuli inaonekana alishajipachika umungu mtu na akadhani hakuna kitakachogusa tena. Ilikuwa siyi siri kuwa Magufuli alikuwa hapendwi kabisa na kina Kinana na mpaka mama alikuwa upande wao. Hata habari nyingi zilizokuwa zinavuja mama alikuwa anahusika kwa asilimia kubwa. Unaona yule mama kichaa Mange anavyotamba sasa? Wanalipa fadhila za kumtumia kum-attack Magufuli. Wakati wa uchaguzi ''uchafuzi'' wa 2020 nilikuwa nazungumza na rafiki yangu nikamwambia hili suala la Magufuli kuendelea kumfanya Samia awe makamu wake litakakuja kumgharimu sana. Hii ni kwa sababu nilikuwa najua ushirika wao ulikuwa na paka na panya na hawakuendana kabisa kimtazamo.Hapo ndio kuna yule mzee wa goli la mkono, yule wa kuchakachua matokeo kule Masaki, na wazazi wao.
Hao wakikutana na msaada wa tume feki ya uchaguzi, na polisi, ndio wanarudi madarakani kila siku, wale kina crimea na idugunde ni wapiga soga tu mitandaoni.
Halafu sikujua kumbe hilo kundi lina member wanawake Samia na wengine, ila yeye alikuwa kimya sana, hapa ndipo mtego uliposetiwa ukawanasa wale jamaa zangu kina Bashiru na Polepole.
Hatimaye chama kimerudi kwa 'wenyewe', wale walugaluga kwishnei.Ni Suala la muda mfupi ujao, haya niyasemayo yatadhihirika huko site.
CCM ya wanyonge imepigwa kitu kizito na CCM ya mtandao. Hili sio la kuogopa kusema,labda Moderators wanifanyie yao kwa kuuondoa uzi huu.
Ila ukweli utabaki kuwa ukweli.
Kwa hii safu yenu mpya,
mmeingizwa chaka na walewale walioshindwa kulivua gamba.
Walewale walioiacha hadi ikaingia ICU.
Hakuna kipindi CCM itaishi kwa unafiki baina ya wanachama wenyewe kwa wenyewe kama sasa.
Ni vigumu kusema CCM haitagawanyika kuelekea 2025.
Mnaweza kubaki na raisi asiye dhibiti bunge la jamhuri.
Maana wabunge 75% ni ngumu kurudi bungeni.
Wapinzani mngekuwa makini,hiki ndio kipindi muhimu mrudi site kujijenga.
Tokeni huko mijini mje kuongea lugha ya wapiga kura na kero zao.
CCM hii ya mama na Kinana kwa mtindo huu wa majibu ya jazba kwa wananchi.
Kama tume itasimamia haki...CCM 2025 ni ngumu sana kutoboa.
View attachment 2170598View attachment 2170601
Upinzani Tanzania hauna shida yoyote. Tatizo hasa la Tanzania ni watu kama wewe wanaosubiri washawishiwe na upinzani! Kama shida zote zilizo Tanzania kama ukosefu wa ajira, maisha magumu, kunyimwa haki nk hakujakushawishi kutaka mabadiliko hata hao wapinzani wafanye nini utashawishika? Wewe subiri ukidhani kuna siku utafanyiwa kila kitu uende mezani tu kula uone hasara itakuwa ya nani. Ule ''uchafuzi'' wa 2020 ulivyofanywa kibabe na watu wakawa kama makondoo unadhani mabadiliko yangekuja yenyewe!Nakubaliana na wewe kwamba walioifanya CCM kwenda ICU ndiyo wameeudi Chini ya upole wa mama SSH.
Ccm inaenda kuwa dhaifu lakini si dhaifu kufikia udhaifu wa upinzani.
Wapinzani bado hawajaweza kushawishi wapiga kura.
Wanacheza ngoma ya watawala. Wamekuwa ni kikundi cha kusubiri ccm kafanya nini na ndiyo watoke kusema.
Wapiga kura wanataka kusikia vitu tofauti kutoka kwa wapinzani.
Mbona vya vipo vingi, mbona chadema tu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..... Ni bora mimi nilio serious kuliko wewe, ambae hujui unachokitaka na chama chako... Uwe Sisiem au chadema...Wakuu oneni hili jinga. Ndo nini hiki sasa limeandika? Eti lenyewe ndo lipo serious