CCM imepata adhabu mkoa wa Kilimanjaro!

CCM imepata adhabu mkoa wa Kilimanjaro!

Kilimanjaro na Arusha si ndiyo ukabila wenyewe? CCM haijapendwa Kilimanjaro tangu vyama vingi vilipoanza. Tangu Mrema. Kama ni upinzani tuambie CUF ina nguvu gani Kilimanjaro? La muhimu ni ukabila. Hata Mramba akianzisha chama chake atachukua mkoa. CCM haijsadhibiwa Kilimanjaro, Kilimanjaro ndiyo imeadhibiwa na Watanzania imebaki isolated in a corner kama mwana yatima. WM

...hivi hakuna wachaga ccm?!
 
Chama cha mapinduzi kimeshindwa vibaya sana katika mkoa wa Kilimanjaro katika majimbo 9 ya uchaguzi Ccm imeshinda majimbo mawili yaliyoko same ! Ukawa wameshinda majimbo 7 moshi mjini cdm,hai cdm,rombo cdm,moshi vijijini Cdm, same magaribi cdm, vunjo Nccr, siha cdm.
Mbona ilikuwa tanzania yote ila wamelazimisha kwa kuingilia mtandao wa uchaguzi na kutumia masanduku ya wizi ajabu na aibu sana mtu kushindwa halafu kung'ang'ania uowaongoze wasiokutaka,
 
Nikusahihishe: Majimbo ya ccm ni Mwanga na Same magharibi yako wilaya ya same na Mwanga
 
kwani davis mosha na anna kilango malecela ni kabila gani?

Ishu hapo ilikuwa kuikomoa CCM na kumbeba mtu wao Lowasa.Lakini mimi ninasema ndugu zangu Wachaga ndo wanufaika namba moja ya mfumo mbovu wa CCM kuliko kabila lingne lolote.Nashangaa bado hawajarıdhika na upendeleo wanaonufaika na badala wanataka chama ambacho purely ni chao na mgombea ambaye ana-traits km zao na yupo karibu nao.Shame on you friends.
 
Same East,Same West na Mwanga wamekataa.Wamempigia Magufuli kwa wingi.Hawataki mambo ya UKANDA

Chama cha mapinduzi kimeshindwa vibaya sana katika mkoa wa Kilimanjaro katika majimbo 9 ya uchaguzi Ccm imeshinda majimbo mawili yaliyoko same ! Ukawa wameshinda majimbo 7 moshi mjini cdm,hai cdm,rombo cdm,moshi vijijini Cdm, same magaribi cdm, vunjo Nccr, siha cdm.
 
Chama cha mapinduzi kimeshindwa vibaya sana katika mkoa wa Kilimanjaro katika majimbo 9 ya uchaguzi Ccm imeshinda majimbo mawili yaliyoko same ! Ukawa wameshinda majimbo 7 moshi mjini cdm,hai cdm,rombo cdm,moshi vijijini Cdm, same magaribi cdm, vunjo Nccr, siha cdm.

same ni jimbo 1, lingine ni mwanga pitia jiografia ya kilimanjaro tena.

kumbe ukipoteza jimbo ni aibu basi ukawa watakuwa na aibu hadi wajifiche uvunguni maana majimbo mengi yamechukuliwa na cvm, dodoma hyo aibu si itakuwa majanga mmmhh
 
Hata DAR UKAWA HAINA CHOCHOTE.PAMOJA NA SARAKASI NYINGI NA VITU VILIVYOOGOPESHA WATU ASILIMIA 48 Wamempigia Magufuli
 
Ccm Imechoka Tuitoe By Magufuli.
Kilimanjaro Na Arusha
Wamekuwa Wawazi Kuondoa Ccm
 
Kilimanjaro na Arusha ni Wabaguzi, Wakabila na Wana ukanda sana. Ndo maana hata CHADEMA kimejengwa kwa misingi ya ukabila/ukanda. Hili limewashitua wenye akili zao wameona utaifa wetu utatetereka kama Watanzania ndo maana sehemu zingine wameamua kumpigia Magufuli kulinda utaifa wetu. Huu ndo ukweli japo unauma kwa watu wa kaskazini. Mnataka kutufanya kama Waunguja na Wapemba. Tumestukia
 
sio K'njaro pekee, hata na Arusha hali imekuwa ni hiyohiyo, lakini nahofia kusema kuwa watu wameiadhibu ccm, definetely watu walihama na Lowasa maana ccm ilikuwa ni chama pendwa kwa mikoa hiyo miwili hadi July 2015. sidhani kuwa kulikuwa na dhambi kubwa ya kiutawala between July na October iliyohamisha wafuasi wote wa ccm!
kuna samba beyond utawala bora

Hata Mwanza ni hivyo hivyo, Geita ndio usiseme
 
Back
Top Bottom