CCM imepata adhabu mkoa wa Kilimanjaro!

CCM imepata adhabu mkoa wa Kilimanjaro!

Chama cha mapinduzi kimeshindwa vibaya sana katika mkoa wa Kilimanjaro katika majimbo 9 ya uchaguzi Ccm imeshinda majimbo mawili yaliyoko same ! Ukawa wameshinda majimbo 7 moshi mjini cdm,hai cdm,rombo cdm,moshi vijijini Cdm, same magaribi cdm, vunjo Nccr, siha cdm.

Kilimanjaro wanajitambua.

Ndio maana watu wake wana maendeleo.
 
Ukabila tu, wachaga wamekuwa kama wapemba! Wasiwasi wangu watanzania watakuja kukisusia chadema kibaki arusha na kilimanjaro tu, sio dalili nzuri ya kushangilia hiyo!

Na Dar es salaam nao wakabila kweli!?
Wanaudhi
 
Ukabila tu, wachaga wamekuwa kama wapemba! Wasiwasi wangu watanzania watakuja kukisusia chadema kibaki arusha na kilimanjaro tu, sio dalili nzuri ya kushangilia hiyo!

Tusidanganyane, ukabila na ukanda umetawala hata kwa ccm, ndio maana mikoa ya wasukuma, hawajachagua mbunge asiye wa ccm. Ukabila umeshatuneza wa Tz
 
Ukabila tu, wachaga wamekuwa kama wapemba! Wasiwasi wangu watanzania watakuja kukisusia chadema kibaki arusha na kilimanjaro tu, sio dalili nzuri ya kushangilia hiyo!
Aende akamuulize Mzee Momose Cheyo na UDP yake wako wapi. Vyama vya kikabila na kikanda haviwezi kufurukuta...
 
Ukabila tu, wachaga wamekuwa kama wapemba! Wasiwasi wangu watanzania watakuja kukisusia chadema kibaki arusha na kilimanjaro tu, sio dalili nzuri ya kushangilia hiyo!

Kwa hiyo waliomng'oa Anna Kilango ni wachaga? Kasome tena Jiografia.
 
Chama cha mapinduzi kimeshindwa vibaya sana katika mkoa wa Kilimanjaro katika majimbo 9 ya uchaguzi Ccm imeshinda majimbo mawili yaliyoko same ! Ukawa wameshinda majimbo 7 moshi mjini cdm,hai cdm,rombo cdm,moshi vijijini Cdm, same magaribi cdm, vunjo Nccr, siha cdm.

Kuna yule aliyejisifu kuwa ccm imekufa kabisa kilimanjaro na arusha.
Na aje hapa apewe za uso kwa kuendekeza mahaba na kuupa nakahi ukweli
 
Wachaga wanajitambua, hawataki utani kwenye maendeleo na mabadiliko.
I wish ningekuwa hilo kabila.
 
Kwa hiyo wangeshinda wa CCM ingekuwa ni kabila gani?

Ukabila tu, wachaga wamekuwa kama wapemba! Wasiwasi wangu watanzania watakuja kukisusia chadema kibaki arusha na kilimanjaro tu, sio dalili nzuri ya kushangilia hiyo!
 
Wachaga wanajitambua, hawataki utani kwenye maendeleo na mabadiliko.
I wish ningekuwa hilo kabila.

Ni kweli kabisa, huko kijitambua baadhi ya mikoa pia wameenza kujitambua vizuri kutokana na uelewa wenu mkubwa na kwa mafunzo mazuri kwao.
 
Hapana si kweli. CCM iliachwa kupendwa KLM miaka kumi iliyopita. Watu wa KLM wa naamini kwenye ule usemi unasema: fool me once...fool me twice....Kifupi hawataki longolongo. Arusha ndio wengi wamehama na Lowassa hasa baada ya usemi wa raisi hawezi kutoka Kaskazini.

ukabila bwanaa,ndomana wasukuma na wanyamwez wamewapga chini,waliwapa kura 2010,viti maalum mkapeana wakaskazini,hadi 2020 ifike,sumu ya ukabila itaenea kanda ya ziwa,sidhan kama chama chenu kitakua hai
 
Chama cha mapinduzi kimeshindwa vibaya sana katika mkoa wa Kilimanjaro katika majimbo 9 ya uchaguzi Ccm imeshinda majimbo mawili yaliyoko same ! Ukawa wameshinda majimbo 7 moshi mjini cdm,hai cdm,rombo cdm,moshi vijijini Cdm, same magaribi cdm, vunjo Nccr, siha cdm.
WANALEA ukabila
 
Hahahah ....kama adhabu nadhan ukawa ishazizoea...asante makelele yamepungua
 
ukabila bwanaa,ndomana wasukuma na wanyamwez wamewapga chini,waliwapa kura 2010,viti maalum mkapeana wakaskazini,hadi 2020 ifike,sumu ya ukabila itaenea kanda ya ziwa,sidhan kama chama chenu kitakua hai
Kumbuka Chami,Augustin Mrema na David Mosha pia wachaga. Sasa sijui kwanini wameshindwa kama ni ukabila. Tuache porojo tujiangalie tulipokosea tujisahihishe.Kuendeleza propaganda hakusaidii.
 
Afadhali chama tawala kimepata viti 2 toka majimbo ya mikoa ya arusha na kilimanjaro
Sasa ona hi kufuru mikoa hi hakuna jimbo hata mojalililoenda upinzani
1.katavi
2.shinyanga
3.geita
4.tabora
5.dodoma
6.njombe
7.ruvuma
8.rukwa
9.simiyu
Katika mikoa hii upinzan wamechukua kiti kimoja tuuu
10 mwanza
11.kagera
Nini maana yake kiongozi anae taka kutuongoza apendwe na makabila yote
Siyo tu apendwe na ukanda ule tu anakotokea.
 
Back
Top Bottom