CCM imepata adhabu mkoa wa Kilimanjaro!

CCM imepata adhabu mkoa wa Kilimanjaro!

dodoma ni ngumu kupata jimbo ukawa kwa sababu watu wa pale dodoma hawawezi kupata ugumu wa maisha milele kwani ajira zao ni za kudumu na hazihitaji ubunifu
 
Kamanda kua mkweli adhabu au ukabila ndiyo umetumika hamna cha zaidi.

Wewe ukishasambaza chuki za kipumbavu kwamba rais hatoki kaskazini unategemea watu walio smart kama wa kaskazin wasikuadhibu?.....
Nyie mtaendelea kutawala wasiojielewa tuu...na kuna cku mtafunga office kabisa kaskazin mkicheza na sisi..
Sisi tulishasoma zaman toka enzi za ukoloni,tunajielewaa na tupo vizur kimaisha hata kama sio kwa wote but wengi ni ma fighter na tunajiweza....kueni makin sana na kauli zenu..mbafuuu
 
Afadhali chama tawala kimepata viti 2 toka majimbo ya mikoa ya arusha na kilimanjaro
Sasa ona hi kufuru mikoa hi hakuna jimbo hata mojalililoenda upinzani
1.katavi
2.shinyanga
3.geita
4.tabora
5.dodoma
6.njombe
7.ruvuma
8.rukwa
9.simiyu
Katika mikoa hii upinzan wamechukua kiti kimoja tuuu
10 mwanza
11.kagera
Nini maana yake kiongozi anae taka kutuongoza apendwe na makabila yote
Siyo tu apendwe na ukanda ule tu anakotokea.

Mbona hujasema na wapemba nao ni wakabila?
 
Chami na Mwanei na Mosha ni watu wazuri sana, Watanzania makini. Kosa lao hawataki Ukabila wanataka Utanzania. Hata Binti wa Sokoine naye kaangushwa je mnamwadhibu nini? Mtu mzima hajivunii kilema, ukabila ni kilema siyo sifa. WM
Mkuu Namelo ni mtu mzuri lakini kama unawaelewa wamasai vizuri haiwezekani mwanamke kuongoza Boma. Isingewezekana kabisa kupata kura kwenye mfumo dume uliopo umasaini. Angepigania mtoto wa Sokoine mwanaume naamini ushindani ingekuwepo.Kila mahali Tanzania kuna ukabila lakini huu mtazamo wako napingana nao. David Mosha anaishi Dar, na wala hakuwa anakubalika na UVCCM Kilimanjaro. Yaani waliokuwa wamekifanyia chama kazi miaka yote walikatwa, David Mosha akapitishwa kwa vile anajuana na wakubwa. Tusiangalie tu ukabila tuangalie other factors pia. Kwanini chama kinarudia makosa Yale yale? Kama sio udini ni ukabila yaani kweli hatuoni nje ya hapo?
 
Kamanda kua mkweli adhabu au ukabila ndiyo umetumika hamna cha zaidi.

Mkuu ukabila uliofanyika Mwanza huuoni? Mmeanza taratibu kupanda mbegu yaukabila, sasa wenye akiri tunaona hii mbegu simbegu tena bali nimmea tayari. Mnajiona wajaaanja Ccm kugawa watu kikabila, kidini, kikanda nk. Ila mjue tu kwamba ikitokea lakutokea sote hakuna atakayebaki salama.

Endeleeni tu ila mjue mwishowake mtauona.
 
Hao waoza minjino ukabila tu na kutukana watu ndo wanaweza.

Na Dar es salaam pia kuna ukabila. CCM mtashinda huko huko kwa wajinga lakini watu wanaojitambua hawawezi kuipa kura huko Chama cha wezi na madalali wa rasilimali zetu
 
Michagga akili zao zimeoza kama meno yao.Ukabila kuanzia TRA mpaka chaggadema
 
Chami na Mwanei na Mosha ni watu wazuri sana, Watanzania makini. Kosa lao hawataki Ukabila wanataka Utanzania. Hata Binti wa Sokoine naye kaangushwa je mnamwadhibu nini? Mtu mzima hajivunii kilema, ukabila ni kilema siyo sifa. WM

Hahaha Mrema sio mkabila??? Nakumbuka term ya kwanza kabisa Mrema kuingia kwenye mbio za ubunge alikuwa a napigania na meja jenerali ambaye hakuwa amekaa sana Kilimanjaro. Mrema alikampeni kichagga na kuelezea jinsi jenerali alivyo-mkuja haelewi mila na matatizo ya wachaga. Siasa ni ngumu sana unaposhindwa lakini kipindi hicho it worked on his favor, he had a good record on the system too.Mwenzie alikuwa hana accomplishments as reference zaidi ya cheo chake cha ujenerali . Mrema apumzike Mungu ampe afya njema- he has nothing more to offer. Amejichanganya sana hapo katikati akaziacha principles zake za mwanzo.
 
Nyie wa kaskazini kwanza hata kwenye kudai uhuru wa tanganyika mlijitenga,mnataka mpewe kuongoza taifa lipi wkt hamkulitolea jasho?kenge nyie
 
Afadhali chama tawala kimepata viti 2 toka majimbo ya mikoa ya arusha na kilimanjaro
Sasa ona hi kufuru mikoa hi hakuna jimbo hata mojalililoenda upinzani
1.katavi
2.shinyanga
3.geita
4.tabora
5.dodoma
6.njombe
7.ruvuma
8.rukwa
9.simiyu
Katika mikoa hii upinzan wamechukua kiti kimoja tuuu
10 mwanza
11.kagera
Nini maana yake kiongozi anae taka kutuongoza apendwe na makabila yote
Siyo tu apendwe na ukanda ule tu anakotokea.


Tatizo la Watanzania wengi ni Elimu, Mikoa yote waliyoongoza upinzani wako mbele kielimu.
Niliwahi kusema hapa ukiuzoea umaskini hatinaye utaupenda utaishi kwa huo umaskini na hatinae kufikir kua umaskini hi haki yako!!
Dodom makao makuu ya nchi ila ni aibu kwa umaskini walionao!!
 
Kweli nimeamini ile ripoti ya Twaweza iliyodai wafuasi wa Ccm niwale wasiojua ni nini kinaendelea Duniani. Eti mtu kweli anadai Ccm kufail Kilimanjaro na Arusha niukabila. Akishasema hivo basi kamaliza. Wala ubongo haushugulishi tena kutafakari alichoongea, yeye kwake tayari akiri ndo imegota hapoo.

Hata akiri ndogo tu ya mwanangu wamwisho inaweza kufanya tafakur yahuo utumbo. Hivi unaposema wametumia ukabila, unataka kuaminisha watu kwamba Kilango, Mwanri, Chami nk walioshindwa wameshindwa kwasababu ya uhaya wao, usukuma wao au ungoni wao?

Lakusikitisha zaidi kutokana na Ccm waliyozoea kubebana, sikwa uwezo wamtu bali Kwa ukada wake katika chama, Ccm yaleo utashangaa mtu mwenye akiri finyu kahuyo kesho nimkuu wako wa wilaya.

Acheni nchi zawenzetu wapige hatua tu hamna jinsi. Tutakuja kumbuka shuka wakati watu washahamka zamani.
 
Back
Top Bottom