CCM imepata adhabu mkoa wa Kilimanjaro!

CCM imepata adhabu mkoa wa Kilimanjaro!

Chama cha mapinduzi kimeshindwa vibaya sana katika mkoa wa Kilimanjaro katika majimbo 9 ya uchaguzi Ccm imeshinda majimbo mawili yaliyoko same ! Ukawa wameshinda majimbo 7 moshi mjini cdm,hai cdm,rombo cdm,moshi vijijini Cdm, same magaribi cdm, vunjo Nccr, siha cdm.

Badala ya kufurahia ungeona aibu. Iweje Kilimanjaro pekee iiadhibu CCM? Au ni ukabila? Nchi nzima hakuna UKAWA zaidu ya Kilimanjaro. Hawo wa Lindi na Geita na Iringa na Tanga na Kigoma na Rukwa ba Mwanza wanajisikiaje ukicheka kuiadhibu CCM wao wanasema wamwadhibu UKABILA. Mtu mzima hajivunii majanga, rudini kundini. WM
 
sio K'njaro pekee, hata na Arusha hali imekuwa ni hiyohiyo, lakini nahofia kusema kuwa watu wameiadhibu ccm, definetely watu walihama na Lowasa maana ccm ilikuwa ni chama pendwa kwa mikoa hiyo miwili hadi July 2015. sidhani kuwa kulikuwa na dhambi kubwa ya kiutawala between July na October iliyohamisha wafuasi wote wa ccm!
kuna samba beyond utawala bora


Kilimanjaro na Arusha si ndiyo ukabila wenyewe? CCM haijapendwa Kilimanjaro tangu vyama vingi vilipoanza. Tangu Mrema. Kama ni upinzani tuambie CUF ina nguvu gani Kilimanjaro? La muhimu ni ukabila. Hata Mramba akianzisha chama chake atachukua mkoa. CCM haijsadhibiwa Kilimanjaro, Kilimanjaro ndiyo imeadhibiwa na Watanzania imebaki isolated in a corner kama mwana yatima. WM
 
Hakuna chama cha siasa kinachonadi ukabila kama ccm,ndio sababu magufuli alomba kura kisukuma mwanza!
 
Kumbuka Chami,Augustin Mrema na David Mosha pia wachaga. Sasa sijui kwanini wameshindwa kama ni ukabila. Tuache porojo tujiangalie tulipokosea tujisahihishe.Kuendeleza propaganda hakusaidii.

Chami na Mwanei na Mosha ni watu wazuri sana, Watanzania makini. Kosa lao hawataki Ukabila wanataka Utanzania. Hata Binti wa Sokoine naye kaangushwa je mnamwadhibu nini? Mtu mzima hajivunii kilema, ukabila ni kilema siyo sifa. WM
 
Chami na Mwanei na Mosha ni watu wazuri sana, Watanzania makini. Kosa lao hawataki Ukabila wanataka Utanzania. Hata Binti wa Sokoine naye kaangushwa je mnamwadhibu nini? Mtu mzima hajivunii kilema, ukabila ni kilema siyo sifa. WM
Si bure unasumbuliwa na kipindupindu kwasababu umekula kinyesi
 
Nyie hamuoni chopa zote za ccm, bongo movies na bongo flava walielekezwa kanda ya ziwa, kwa kuwapa kanga na kumtukana na kumkashifu enl kwa sana,.wamefanikiwa kwa hilo,kanda ya ziwa wakerewe nao wameamua, sasa na hiyo meli msilete tutavuka kwa mitumbwi ka mwanzo,.lakini ccm no, ishatutandika sana,
 
Hakuna cha adhabu,mchawi wetu ni lowasa..nalichukia sana hlo lizee.
 
Hao waoza minjino ukabila tu na kutukana watu ndo wanaweza.
 
Kumbuka Chami,Augustin Mrema na David Mosha pia wachaga. Sasa sijui kwanini wameshindwa kama ni ukabila. Tuache porojo tujiangalie tulipokosea tujisahihishe.Kuendeleza propaganda hakusaidii.

Wameadhibiwa kwa kutoungana na Chagadema
 
Back
Top Bottom