Nzelu za bwino
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 376
- 450
No room for tribalism,ongea bila kuhusisha kabila la mtu utaeleweka tu kaka.Mbowe kama asingelikuwa Mchaga, watu wangelikuwa wanafikiria kumpa nchi kwa namna wanavyompigia promo.
CHADEMA wangelikuwa makini, wangekaa waondoe rangi mbofu mbofu katika muundo wao ili akitoka waunganishe hadi Magogoni.
Lakini wakiendelea kushikilia kwamba wako sahihi, wataishia kutetewa, kupewa pole na kuombwa ushauri tu, kwa serikali makini itakayokuwepo.