Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 2,206
- 3,011
Mkuu walimdharau Sana na kudhani wakishampa kesi kubwa Basi watapumua, ndo maana Kingai alimwambia Mbowe kuwa 'safari hii hutoki' Ila kwa Hali ilivyo wameshajuta Sana ila ndo hivyo wanashindwa watamchomoaje.Hilo lipo kila mahali. Nilikuwa naenda Mwanza, kupitia Bariadi, nikiwa Bariadi, tena siyo Bariadi mjini, eneo moja linaitwa Dutwa, watu ambao sikutarajia, nikawasikia watu wanakijiji wanaongelea suala la Mbowe...
Kwa mkoa wa Arusha juzi nilikuwa kule nilikutana na wamama Wana hasira na Samia hatari