Ellyson
JF-Expert Member
- Nov 13, 2010
- 1,714
- 405
Tehetehetehe. Haww jamaa wameliwa. Miaka yote walikuwa wanapiga porojo ilhali CCM ilikuwa inaongeza wanachama. Mpaka sasa CCM ina zaidi ya wanachama milioni 12 na ushee.
mbona Nnape na Kikwete wanasema Milioni nane wewe unasema mil 12. Hivi kweli unathubutu kuidanganya nafsi yako kwa malipo ya buku saba kwa siku? Pole sana kijana