CCM imekufa kabisa

CCM imekufa kabisa

Watanzania wanataka of : (a) subsistence allowance; (b) disturbance allowance; (c) entertainment allowance; (d) acting allowance; (e) special duty allowance; (f) outfit allowance; (i) overtime and extra duty allowance (g) kilometre Allowance (h) sitting allowance; (i) housing allowance; (j) uniform allowance; (n) police Force and Prisons, Fire and Rescue Services Allowance (o) luggage allowance; - Section J (p) maintenance allowance; - Section G (q) training allowances; and –
SIO LAPTOP
 
Mbona umetumia lugha ya kiungwana sana? Sema hahami fisadi tu bali wanahama na wale wanufaika wa ufisadi

na hata nyie msio hama ni wanufaika wa ufisadi. na tumeshaanza kuona mnapeana pesa mlizozibeba kwenye masandarusi... haya kachukue 7500 yako pale lumumba...wakat huo mwenzio anatumia milion 10 kununulia mboga...
 
Kumbuka hao wanao hama ni viongozi ambao wao pia wanawafuasi wao..mfano hao laki moja kila mmoja akiwa na wafuasi kumi tu tayari watu milioni moja wametoka kwenye hiyo milioni 6
 
Tehetehetehe. Haww jamaa wameliwa. Miaka yote walikuwa wanapiga porojo ilhali CCM ilikuwa inaongeza wanachama. Mpaka sasa CCM ina zaidi ya wanachama milioni 12 na ushee.

Acha kujidanganya dada angu CCM kwa sasa imepasuka katikati just face the reality
 
Unae sema CCM itatawala milele imekuwa MUNGU? Najua kujifariji sio vibaya ila kujifariji kupita kiasi ni hatari kama lile unalojifariji nalo lisipo fanikiwa
 
amen na ifeee

Ujue watu ni wanafiki,kama wamekaa siku zote wasione umuhimu wa kubadili sera na kanuni,picha linaisha tena baada ya kumwagwa kwenye uchaguzi ndo maneno yanaanza,waliohama wote ni punguani wamefuata mzoga wao na wao ni kama nzi" quoted".
 
Mtwara tuna yetu ya moyoni maccm yameshikwa pabaya huku tandahimba wapo ICU na mtama nape anapumulia machine wanamtama wamekula yamini kutowachagua teena chama cha mafisi yaani kwa Lindi na mtwara hakuna ccm kabisa
 
Hivi kuhama watu 100,000 wanaweza kubadili matokeo ya uchaguzi katika watu 6,000,000/= kama wataweza basi hatari... Hesabu zimepata mwanafunzj makini sana.

Mmmh. Kwani watanzania waliojiandikisha kupiga kura ni 6,100,000. Mi najua kulingana na takwimu za tume watu waliojiandikisha ni zaidi ya mil 20, so kwa hesabu makini, ccm mtabaki na kura zenu 6,000,000. Huku ukawa wakichukua mil 14,000,000. #tukutane october.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom