CCM imekufa kabisa

CCM imekufa kabisa

Huyo lizaboni anaboa sana kwani lazima ujibu siuache wenye ukawa yao au ilimradi tu badilika au anzisha ya kwako
 
Itakapofika tarehe 1 November 2015, halafu CCM bado ikawa ipo madarakani na watu wanaendelea na shughuli zao za ujenzi wa Taifa kama kawaida sijui hawa UKAWA watajificha wapi, sidhani kama kuna mmoja wao atathubutu hata kuchungulia hili jukwaa

hiyo habar haipo maana ccm imeshakufa
 
Kura ndo za muhimu October af Lowassa anajua jinc wanavoibaga kwahyo tuendelee KUOMBA tuu,, MABADILIKO lazima
 
Tehetehetehe. Haww jamaa wameliwa. Miaka yote walikuwa wanapiga porojo ilhali CCM ilikuwa inaongeza wanachama. Mpaka sasa CCM ina zaidi ya wanachama milioni 12 na ushee.

Mi kura za maoni zimenifungua macho. Accuracy and completeness of the party's register is questionable. Hence >12 mln members cannot be ascertained its just romantic statistics for political consumption.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom