CCM imekufa kabisa

CCM imekufa kabisa

JET SALLI

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2014
Posts
2,993
Reaction score
2,034
1.Arusha hapakamatiki
2.Monduli ccm watakwenda kwa passport.
3.Dar es salaam wameamua kuizika CCM
4.Sikonge balaa
5.Mbeya mmejionea jana
6.Shinyanga ccm imevunjwa miguu.
7.Rukwa ndio balaa kabisa ambako hata watanzania wengi hawakudhania.
8.Mwanza ccm inapumulia mipila muda huu.
9.Vikao vya Kamati kuu CCM kuanza na idadi ndogo kabisa ya wajumbe haijawah tokea na ukweli ndio huo anayebishi haitakii ccm mema.
10.Kila mwanaccm analalamikia rushwa na utaratibu mbovu wa uteuz ndani ya chama kumbuka milioni 700 nani kakamatwa na hyo ni pesa ya nani?

Ushauri tusiwahadae watu kwamba CCM bado inapendwa CCM imekufa kabisa na inahitaji uwe na akili za mwendawazimu kuipigia kura CCM. Nchi nzima watanzania wenye akili timamu wameamua.

Habari ya UKAWA ya 50% na CCM 50% haipo kabisa, hapa ni UKAWA 80% na CCM 20%.

CCM pumzikeni kwa amani mkituachia nchi yenye amani watanzania wameamua.
 
Haiwezi kutawala milele we huoni watu walivyobadilika?!!! kuna wakati inabidi uwe mpole siyo mambo ya kizamani ati Urais upinzani badoo hizo ndoto na ukale angalia mambo yalivyo mnapingana na ukweli unajua mnajifunza ktk nini....... ajali mbele kwa mbele>
 
Hivi kuhama watu 100,000 wanaweza kubadili matokeo ya uchaguzi katika watu 6,000,000/= kama wataweza basi hatari... Hesabu zimepata mwanafunzj makini sana.
 
Hivi kuhama watu 100,000 wanaweza kubadili matokeo ya uchaguzi katika watu 6,000,000/= kama wataweza basi hatari... Hesabu zimepata mwanafunzj makini sana.
Tehetehetehe. Haww jamaa wameliwa. Miaka yote walikuwa wanapiga porojo ilhali CCM ilikuwa inaongeza wanachama. Mpaka sasa CCM ina zaidi ya wanachama milioni 12 na ushee.
 
Hivi kuhama watu 100,000 wanaweza kubadili matokeo ya uchaguzi katika watu 6,000,000/= kama wataweza basi hatari... Hesabu zimepata mwanafunzj makini sana.[/QUOT

roho znawauma maccm, yan mmeshikwa pabaya alaf hamtak kuamini
 
Hivi kuhama watu 100,000 wanaweza kubadili matokeo ya uchaguzi katika watu 6,000,000/= kama wataweza basi hatari... Hesabu zimepata mwanafunzj makini sana.

CCM mnajidanganya sana na hao wanachama milioni 6 utafikiri mmewalisha yamini. Kura ni siri ya mtu
 
Hivi kuhama watu 100,000 wanaweza kubadili matokeo ya uchaguzi katika watu 6,000,000/= kama wataweza basi hatari... Hesabu zimepata mwanafunzj makini sana.

hao ni waliojitangaza hadharani bado wale wa kimyakimya ndio balaa zaidi, stuka wewe, ata wewe usikute utaipigia UKAWA kura. Ni wakati sasa wa kuanza kuishi kwenye uhalisia
 
Tehetehetehe. Haww jamaa wameliwa. Miaka yote walikuwa wanapiga porojo ilhali CCM ilikuwa inaongeza wanachama. Mpaka sasa CCM ina zaidi ya wanachama milioni 12 na ushee.

....ingekuwa hivyo jk asingeingia madarakani kwa kura milioni 4 changanya na za uchakachuzi...
 
Wamepagawa wanatamani kukimbia nchi.....TUTAWASHUGHULIKIA
 
Itakapofika tarehe 1 November 2015, halafu CCM bado ikawa ipo madarakani na watu wanaendelea na shughuli zao za ujenzi wa Taifa kama kawaida sijui hawa UKAWA watajificha wapi, sidhani kama kuna mmoja wao atathubutu hata kuchungulia hili jukwaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom