CCM Imejimaliza Rasmi na IPTL-ESCROW

CCM Imejimaliza Rasmi na IPTL-ESCROW

Drug-Czar

Member
Joined
Oct 27, 2014
Posts
16
Reaction score
39
Rais Jakaya Kikwete amekuiwa rasmi Chama Cha CCM kutokana na tabia yake ya kukumbatia wezi kama wakina Muhongo Mrema na Maswi. Hii kashfa imeiacha CCM uchi.

Hakuna mwananchi mwenye akili timamu atakeyeipigia tena kura CCM. Vyombo vya usalma navyo vimechoka. Wazalendo ndani ya hizi taasisi wameanza vita rasmi dhidi ya watawala. 2015 CCM inakuwa historia.

Kukinusuru chama, Rais Kikwete na uongozi wa CCM inabidi iwatose hawa wezi, vinginevyo CCM imekuwa raski November 2014. Hakuna sehemu hawa viongozi watapita kueleweka au kukubaliki. Watazomewa na kudhalilisha vibaya. Rais asiposikia, basi R.I.P CCM.
 
Porojo hizo, mlitaka umeme wa bure?

Wakati mwingine jitahidi kuficha upu.mbavu wako, hivi ni kweli kutoka moyoni swala hili uko na amani nalo na unapata faida gani kupotosha? Najua unaelewa fika kwamba fedha za akaunti ya dhamana hazikuwa za kununulia umeme bali ni capacity charges, licha ya kulielewa hili umekuwa ukipotosha kila unapopost.

Basi tuashumu sio pesa za serikali, vipi kuhusu kodi? Vipi kuhusu ukiukwahi mkubwa wa sheria za nchi BOT na taratibu juu ya transactions za pesa hizo? Hata haya nayo unayatetea?
 
Wabunge wa ccm ni tatizo kubwa sana ndani ya hii nchi. Wapo kwa ajili ya kuitetea serikali na si wananchi, bado wana imani kwamba ukishapita kwenye kura za maoni za chama chao basi tayari wewe ni mbunge.

Wanautetea serikali halafu wakikaa peke yao wanailalamika kama sio upumbu ni nini? Ila haiana shida, tutakutana kwenye sanduku la kupigia kura na safari hii kura tutazilinda mwanzo mwisho, majambazi wakubwa!
 
Porojo hizo, mlitaka umeme wa bure?

Issue sio umeme wa bure, ni vipi uwe wa gharama kubwa namna hiii, watanzania ni maskini sana iweje leo B 321 zigawanywe kienyeji namna hii.
Tujaribu kuwa makini, tusifuate ushabiki
 
Kama wapinzani wataweza kuchukua hiyo turufu na kuifanyia kazi!!!!
 
Rais Jakaya Kikwete amekuiwa rasmi Chama Cha CCM kutokana na tabia yake ya kukumbatia wezi kama wakina Muhongo Mrema na Maswi. Hii kashfa imeiacha CCM uchi. Hakuna mwananchi mwenye akili timamu atakeyeipigia tena kura CCM. Vyombo vya usalma navyo vimechoka. Wazalendo ndani ya hizi taasisi wameanza vita rasmi dhidi ya watawala. 2015 CCM inakuwa historia.

Kukinusuru chama, Rais Kikwete na uongozi wa CCM inabidi iwatose hawa wezi, vinginevyo CCM imekuwa raski November 2014. Hakuna sehemu hawa viongozi watapita kueleweka au kukubaliki. Watazomewa na kudhalilisha vibaya. Rais asiposikia, basi R.I.P CCM !
Viroba mixer Safari Lager @ work
 
Hapa kama ukimsikia vema Proff Muhongo zile ni real facts na inabidi tuzikubali hapana porojo na maneno hapa kuna vita na majungu haya tulia.
1.Wafanya biashara wenye chuki na uongozi bora wa nishati na madini hasa oil and gas.
2.wagombea urais chuki na PM wetu.wanahaha twiter nk
3.wanasheria waliokosa tenda za ufisadi kina Mkono
4 Mabenki uchwara
5.waliokosa huo mgao....
Hayo ndio CCM ife hakuna issue hapo....tutukie nchi yetu iishe kwa amani...na upendo.
 
Issue sio umeme wa bure, ni vipi uwe wa gharama kubwa namna hiii, watanzania ni maskini sana iweje leo B 321 zigawanywe kienyeji namna hii.
Tujaribu kuwa makini, tusifuate ushabiki

Kumbuka fedha za escrow ni malimbikizo ya fedha za miaka 10, sasa miaka 10 fedha zote za malipo ziwe zinapelekwa benki kuhifadhiwa unafikiri zitakuwa ndogo?

Lakini kumbuka kuwa, moja katika maafikiano yaliyopo ni ku re invest hizo fedha na kuibadili hiyo mitambo na kuongeza mingine inayotumia Gas kwa gharama nafuu ili bei zishuke. Na hilo tayari wamekubaliana na lipo kwenye harakati la kufanyika na PAP wameshatangaza kulianza.
 
Unasikitisha sana.Bora ungekaa kimya tu.

Mnasikitsha nyinyi mliotiwa mkenge mkaona escrow ndio pa kutokea, wapi?

Onesheni wizi uko wapi? CAG hakuonesha, PCCB hawakuonesha.

Hoja za Zitto, ambae kwa sasa mnamuona si msaliti, zimesambaratishwa na zimeonekana kuwa zilikuwa ni uongo mtupu.
 
Mnasikitsha nyinyi mliotiwa mkenge mkaona escrow ndio pa kutokea, wapi?

Onesheni wizi uko wapi? CAG hakuonesha, PCCB hawakuonesha.

Hoja za Zitto, ambae kwa sasa mnamuona si msaliti, zimesambaratishwa na zimeonekana kuwa zilikuwa ni uongo mtupu.

Mipasho ya Lusinde na Mariam Kiziga(Kichwa maji) ndiyo zimesambaratisha hoja za PAC?
 
Back
Top Bottom