CCM Imejimaliza Rasmi na IPTL-ESCROW

CCM Imejimaliza Rasmi na IPTL-ESCROW

Mnasikitsha nyinyi mliotiwa mkenge mkaona escrow ndio pa kutokea, wapi?

Onesheni wizi uko wapi? CAG hakuonesha, PCCB hawakuonesha.

Hoja za Zitto, ambae kwa sasa mnamuona si msaliti, zimesambaratishwa na zimeonekana kuwa zilikuwa ni uongo mtupu.

Kwani tunazungumzia hoja za PAC ambayo asilimia 75 ya wajumbe wake ni CCM au Zitto?
 
Kumbuka fedha za escrow ni malimbikizo ya fedha za miaka 10, sasa miaka 10 fedha zote za malipo ziwe zinapelekwa benki kuhifadhiwa unafikiri zitakuwa ndogo?

Lakini kumbuka kuwa, moja katika maafikiano yaliyopo ni ku re invest hizo fedha na kuibadili hiyo mitambo na kuongeza mingine inayotumia Gas kwa gharama nafuu ili bei zishuke. Na hilo tayari wamekubaliana na lipo kwenye harakati la kufanyika na PAP wameshatangaza kulianza.


Kwa capacity charge ya real invested capital au estimated??!!
Hayo makubaliano ya kukodi endelevu badala ya kukununua yetu ndio tusiyoyataka wenye uchungu na nchi yetu!!!

Wakati wenye nchi wakijenga mabwawa hakukuwa na alternative ya mitambo??!? Ilikuwepo ila watu walilenga kumiliki na sio kukodi kwenye sekta muhimu kama hii!!!
 
Kwa capacity charge ya real invested capital au estimated??!!
Hayo makubaliano ya kukodi endelevu badala ya kukununua yetu ndio tusiyoyataka wenye uchungu na nchi yetu!!!

Wakati wenye nchi wakijenga mabwawa hakukuwa na alternative ya mitambo??!? Ilikuwepo ila watu walilenga kumiliki na sio kukodi kwenye sekta muhimu kama hii!!!

Hilo lilishamuliwa na ICSID, rejea kumbukumbu za hukumu na mapendekezo ya ICSID, wala si issue hiyo.

Wewe unaona ni sawa ikokotolewe hesabu ya ya 50,000? si wazimu huo wa Zitto. Hata ICSID walitupilia mbali hilo.
 
Ccm wizi,chadema wizi, bora tuwaite isil waje kuendesha nchi
 
Viroba mixer Safari Lager @ work

Chezea hasira wewe, mtu akikasirikia na kuchoka na maisha anaweza fanya kitu chochote bila kuja matokeo yake. Hayo ndo umeyashuhudia kwa huyo mwanzisha mada.
 
Rais Jakaya Kikwete amekuiwa rasmi Chama Cha CCM kutokana na tabia yake ya kukumbatia wezi kama wakina Muhongo Mrema na Maswi. Hii kashfa imeiacha CCM uchi. Hakuna mwananchi mwenye akili timamu atakeyeipigia tena kura CCM. Vyombo vya usalma navyo vimechoka. Wazalendo ndani ya hizi taasisi wameanza vita rasmi dhidi ya watawala. 2015 CCM inakuwa historia.

Kukinusuru chama, Rais Kikwete na uongozi wa CCM inabidi iwatose hawa wezi, vinginevyo CCM imekuwa raski November 2014. Hakuna sehemu hawa viongozi watapita kueleweka au kukubaliki. Watazomewa na kudhalilisha vibaya. Rais asiposikia, basi R.I.P CCM !

Mimi ni mkristo ambaye Mungu amenijalia kuwa na maarifa ya rohoni. Naomba nifanye maombi haya;

Katika jina la Yesu wa Nazareti nawaamuru mashetani wote waliopewa damu ya watu 11 kwa ajali ya gari kule Tanga kwa kusudi lolote lile, la kisiasa, au namna yoyote, nawaamuru malaika wa vita wa Mungu Jehova wawafunge na wasiweze kuyatimiza makusudi yoyote katika taifa letu.

Nateka nyara anga lote, nchi yote na makusanyiko ya maji katika ulimwengu wa roho ambapo mashetani wamejipanga ili kuliangamiza taifa langu, na ninawafunga wote kwa jina la Yesu wa Nazarethi. Kila wanachokipanga kinyume na mafanikio ya taifa langu ninakitengua katika jina la Yesu.

Mwanadamu yoyote anayewatumainia mashetani hayo ili kuendeleza makusudi yake ya kuliangamiza taifa langu ninamfunga na hataweza kufanikiwa katika kusudi la kuliangamiza taifa langu katika jina la Yesu.

Mashetani wote waliovaa sura za wanadamu ambao kwa muda mrefu wamekaa kati yetu na kulitendea taifa letu uovu wa kutisha naamuru warudi kuzimu walikotoka katika jina la Yesu.

Haya ndio maombi yangu yenye maarifa ya rohoni.
 
Wakati mwingine jitahidi kuficha upu.mbavu wako, hivi ni kweli kutoka moyoni swala hili uko na amani nalo na unapata faida gani kupotosha? Najua unaelewa fika kwamba fedha za akaunti ya dhamana hazikuwa za kununulia umeme bali ni capacity charges, licha ya kulielewa hili umekuwa ukipotosha kila unapopost.

Basi tuashumu sio pesa za serikali, vipi kuhusu kodi? Vipi kuhusu ukiukwahi mkubwa wa sheria za nchi BOT na taratibu juu ya transactions za pesa hizo? Hata haya nayo unayatetea?

Kwani huyu huwa ana akili?yeye si ana ubongo tu kichwani. Kusoma anacho andika humu hawa unapoteza muda wako.
 
Hao watang'oka tu ushenzi wapi mwisho hali walipofikia tutwatoa hata kwa mtu tu kudadadeki wastuletee filamu
 
Hapa kama ukimsikia vema Proff Muhongo zile ni real facts na inabidi tuzikubali hapana porojo na maneno hapa kuna vita na majungu haya tulia.
1.Wafanya biashara wenye chuki na uongozi bora wa nishati na madini hasa oil and gas.
2.wagombea urais chuki na PM wetu.wanahaha twiter nk
3.wanasheria waliokosa tenda za ufisadi kina Mkono
4 Mabenki uchwara
5.waliokosa huo mgao....
Hayo ndio CCM ife hakuna issue hapo....tutukie nchi yetu iishe kwa amani...na upendo.
Mkuu usiipotoshe kwa sababu za uongo.
Sasa kwa mtaji huo, ni kwa mantiki ipi Muhongo kupewa 1.6bn?
 
“Nothing in the world is more dangerous than sincere ignorance and conscientious stupidity.” (Martin Luther King Jr.)

Tutahangaika kubishana na kupigizana kelele lakini moyo wa yote uko katika aliyoyasema Martin Luther King. Bila hili kubadilika kamwe hatutoka hapa. Ifike muda hata kama kujifunza katika njia ngumu za zenye kuumiza hatuna budi kwani ili mmea uweze kuota ni lazima mbegu ife.
 
nna wasiwasi wendawazimu wote aka majambazi yaliyofisadi escrow wana access na ID hii,kujibizana na mjinga unaonekana mjinga vilevile,yooote yaliyozungumzwa hujayasikia tu na kuelewa???Hivi nyerere angeruhusu ufisadi wa kiwango hiki hata hiyo elimu uliyonayo na afya yako vingekuwaje??ONA HAYA WEWE!!!!
Porojo hizo, mlitaka umeme wa bure?
 
nna wasiwasi wendawazimu wote aka majambazi yaliyofisadi escrow wana access na ID hii,kujibizana na mjinga unaonekana mjinga vilevile,yooote yaliyozungumzwa hujayasikia tu na kuelewa???Hivi nyerere angeruhusu ufisadi wa kiwango hiki hata hiyo elimu uliyonayo na afya yako vingekuwaje??ONA HAYA WEWE!!!!

Onesha ushahidi wa wizi uko wapi? usilete drama za upinzani. Mlitaka umeme wa bure?
 
Mhongo.

Lusinde ndio kamaliza kabisaaaa ki aina yake.

Kama hata uharo uliomtoka lusinde nao unausifia hakika kichwa chako kimeharibiwa ama umekosa uelekeo na pengine yale matusi ndiyo mlengo/itikadi yako
 
Kwa Watz hawa hawa ccm ,itadunda tu,subiri matokeo szm
 
Mleta mada unashangaza sana.

kama CCM inaanguka si ndio ufurahi sasa?

Huna haja ya kulia lia, wakati.majibu yote kuhusu escrow yameshawekwa wazi na Prof. Muhongo.

na ni dhahiri kuwa hakuna wizi wowote.
 
Back
Top Bottom