Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,957
- 8,005
- Thread starter
- #21
Kikubwa ni Ukabila ,nadhani tume inapaswa kuonesha uwepo wake na haki. Kama una umri mdog yupo mgombea alinukuliwa akisalimia kilugha mama monica mbega na alionywa sasa mgombea urais na ukabila si jambo dogo. Magufuli si mwadilifu,