CCM imebakiwa na wanachama 2,500,000

CCM imebakiwa na wanachama 2,500,000

Kuna tetesi kuwa magamba tangia yaanze kuvuliwa yametoka kwa wingi zaidi katika vugu vugu la M4C na kupunguza mtaji wa ccm mpaka kufikia wanachama milioni mbili na laki tano hii ni kutokana na wanaccm ambao wamekuwa wakirudisha kadi pasipo mikutano na kuchukua za chadema pamoja na wale wanaorudisha katika mikutano mbali mbali inayoendelea.....

Mytake
M4C to the infinity...,....

Mkuu mbona Dr ajarudisha kadi yake ya CCM.
 
Mkuu uko sawa kabisa! mfano mzuri hata hapa jamvini hawazidi kumi.haahaaahaaaahaaaaaaaaaaaa.............

Ohoo!! Hapa jamvini ni mabigwa wa kushare ID moja,unakuta ID moja wanatumia watu 20 Nape,ritz,pembe za ndovu,duduwasha,tumbotumbo na wengine.,................
 
Nikweli mkuu Lukolo tufanyeje sasa ili kushinda?
Hapo kwenye tufanyeje ndiyo kasheshe nyingine mkuu. Maana hawa watanzania kwenye mikutano wanafundishwa na wanaelewa sana tu. Na kwenye mikutano yetu wanajaa sana. Lakini wakiitwa mmoja mmoja na kupewa wali, aah, anasahau kabisa alichosikia kwenye mkutano wa CHADEMA. Kadri wajinga watakavyoendelea kupungua ndivyo CCM itakavyozidi kupoteza kura. Kama unavyoona hivi sasa sehemu za mijini CHADEMA inateka hivi sasa kwa kuwa ujinga upo kwa kiwango kidogo, lakini huko vijijini ndiyo kasheshe.
 
Milioni Tano

waongo wakubwa chama kinawanachama m.5 ? Halafu waombe pesa za kusaidia chama kwa wafanyabiashara wakubwa? Haiwezekani
kunahaja ya kumpima Nape JR akili maana ndie alietoa data hizi!
Vipi kuhusu wale viongozi waliokutwa na kadi bunda kwa bunda waliziesabia?
 
Back
Top Bottom