CCM imebakiwa na wanachama 2,500,000

chadema ni janga la kitaifa!wanachama wake wengi ni wahuni tu,wapo wachache wenye kujenga hoja,hekima na busara,wengi wenu humu jf hamna hoja!weka vithibitisho kuwa ccm imebakia na wanachama 250000,pumba tu ndo mnajaza humu,,we sangarara ukiulizwa utaje sera hata moja ya cdm hujui

Sasa Mkuu nani mhuni kati ya CDM wanaotangaza sera za kuwakomboa watanzania wanyonge, na CCM inayowachinja wanyonge walioamua kukata shauri kuelekea Tanzania ya Wastaarabu? Nani Mhuni kati ya CDM wanaowajenga na kuwaelimisha vijana wa kitanzania siasa za kistaarabu na CCM wanaowafundisha vijana kujiunga kwenye vikundi vya kigaidi vya bokoharam?
 
Mkuu BMT mtaongea kila lugha ya kujitetea ili ccm haikubaliki !kuna uzi hapa nape aliambiwa hana kadi ya chama hajathibitisha hadi leo,hata wewe unapiga tu domo hapa.
 
Subirini 2014 uchaguzi serekali za mitaa,alafu 2015 tunafunga kazi.
 
sasa ungo ni upi? kwamba wana ccm wanarudisha kadi na kukimbilia CHADEMA au idadi ya wana CCM kubaki 2500000?
Uongo kabisa kusema eti wanachama wapo 2,500,000! mimi najua hawafiki 100,000 (laki moja)
Labda idadi yenu iwe inahusisha hata waliokufa tangu 77 kilipozaliwa!
 
Kuna tetesi kuwa magamba tangia yaanze kuvuliwa yametoka kwa wingi zaidi katika vugu vugu la M4C na kupunguza mtaji wa ccm mpaka kufikia wanachama milioni mbili na laki tano hii ni kutokana na wanaccm ambao wamekuwa wakirudisha kadi pasipo mikutano na kuchukua za chadema pamoja na wale wanaorudisha katika mikutano mbali mbali inayoendelea.....

Mytake
M4C to the infinity...,....

tuache kupelekana mjini. CCM hawana hizo takwimu, wewe umezipata wapi?
 
Mkuu nadhani wewe inaipendelea sana CCM, umenihesabia humo humo na mimi wakati lilishasepa siku nyingi, ila kadi nilichoma moto kimyakimya! Pengine imebakiwa nao 2,000,001 tu!
 
Mkuu nadhani wewe inaipendelea sana CCM, umenihesabia humo humo na mimi wakati lilishasepa siku nyingi, ila kadi nilichoma moto kimyakimya! Pengine imebakiwa nao 2,000,001 tu!

CCM kama kweli wana wanachama wanaofika 2,000,000 lazima wafanye sherehe.
 
Kabla ya huko kuhama walikuwa wangapi? Ni vizuri ukasema CCM ilikuwa na wanachama wangapi mwaka 1995, 2000, 2005, 2010 na sasa, ili tupate ulinganisho. Haitoshi tu kusema wamebaki hao wakati hatujajua originally walikuwa wangapi.
 
hii ni kazi ya vuvuzela nape.yeye anawajua wanaccm wote ambao hawajarudisha kadi !
 
Kabla ya huko kuhama walikuwa wangapi? Ni vizuri ukasema CCM ilikuwa na wanachama wangapi mwaka 1995, 2000, 2005, 2010 na sasa, ili tupate ulinganisho. Haitoshi tu kusema wamebaki hao wakati hatujajua originally walikuwa wangapi.
Milioni Tano
 
Uongo kabisa kusema eti wanachama wapo 2,500,000! mimi najua hawafiki 100,000 (laki moja)
Labda idadi yenu iwe inahusisha hata waliokufa tangu 77 kilipozaliwa!

Mkuu uko sawa kabisa! mfano mzuri hata hapa jamvini hawazidi kumi.haahaaahaaaahaaaaaaaaaaaa.............
 
Mkuu nadhani wewe inaipendelea sana CCM, umenihesabia humo humo na mimi wakati lilishasepa siku nyingi, ila kadi nilichoma moto kimyakimya! Pengine imebakiwa nao 2,000,001 tu!

Mkuu bora wewe ulichoma moto,mimi ilipoibuka tuhuma ya EPA nilitumbukiza chooni kadi ya CCM.
 
Back
Top Bottom