CCM imebaki kuwa kapu la magenge hatari

CCM imebaki kuwa kapu la magenge hatari


 
 
 
 
CC: Lucas Mwashambwa

Mtahangaika sana Mwaka huu na kuunga unga sana.
 
Magenge ya vita vya madaraka
Magenge ya kazi chafu
Magenge ya kuteka
Magenge ya kuua
Magenge ya kutakatisha pesa
Magenge ya kuuza/kugawa rasilimali za Tanganyika
Magenge ya upigaji pesa kwenye miradi ya kubuni nknk

Hii sio tena ile ccm ya wakulima na wafanyakazi..
Hii sio tena ile ccm ya ujamaa na kujitegemea
Hii ni ccm mateka wa hayo makundi tajwa hapo juu

Makundi haya hayajaota kaka uyoga bali yana asili ya 2005 kuelekea 2010 .. Pale walipoanza kujitokeza watu waliounda mitandao ya kusimika watu wao ilk baadae waje wawafae kwenye nafasi za juu za uongozi
Vikundi hivyo viliendelea kuimarika kimtandao na baadae kuingia hatua nuhimu ya kujiimarisha kiuchumi kupitia pesa haramu za rushwa, 10% mauzo ya rasilimali nknk

Makundi haya hubadilika kama vinyonga kulingana na upepo wa madaraka ya kisiasa.. Mwaka 2015- 2020... Yalijificha kama kirusi cha ukimwi na kufanikiwa kujipenyeza na kumzunguka aliyeshika kijiti kipindi hicho...

Hapo walimfundisha mbinu za kujiimarisha kiuchumi... Kuwa na mtandao wa kutoa taarifa na kuwa na mtandao wa kuwamaliza wote waliinokena tishio
Baada ya mabadiliko kwa kudra za Mola, makundi hayo yakajivua gamba na kuanza kutenda kwa uwazi bila woga bila hofu bila fadhaa!
Hapa tulipo ccm imefikishwa kwenye kilele cha umafia.. Ni mwendo wa kuwindana na kutegeana... Anayenaswa/sa anagugumia kimya kisha wenzake wanajipanga upya kulipa kisasi
NimemalizaView attachment 3420301
Nakubaliana na wewe ccm ilishakufa siku nyingi baada ya mfuko wa vyama vingi.sasa hivi inaongozwa na hayo makundi unayosema.
 
Back
Top Bottom