CCM imebaki kuwa kapu la magenge hatari

CCM imebaki kuwa kapu la magenge hatari

Upo sahihi.CCM inapokosea ni pale inapopokea hata takataka halafu inashindwa kuzibadilisha hzo takataka kuwa lulu,, sisi tunaoishi huku mtaani tunaona chama kinachoongoza kujaza takataka ni CCM, ukiambiwa huyu ni katibu au mwenyekiti wa CCM kata unabaki kusikitika tu...yaani kichwani ni sifuri... ukifatilia hadi maisha yake ya nyumbani hafai kuwa kiongozi full unyanyasaji Uongozi unaanzia nyumbani..unakutana na kijana kapiga kombati la chama na kofia surualia inakaribia kudondoka huku anapiga bangi tu..ukweli nimefatilia sana CCM inachukua takataka zote halafu inashindwa kuwabadilisha matokeo yake wanaendeleza kirusi ndani ya chama wakikutana na takataka za mda mrefu ndo maana huo uozo unajitokeza...ushauri wangu kwa CCM jichunguzeni wenyewe halafu mtafute namna ya kujirekebisha wenyewe..Mbona kwenye kuwachunguza watumishi wa umma mpo vizuri? japo sahv mmeshuka kidogo....lakini pia kuna mazuri mengi mnafanya...Mtoa mada mshana natamani siku nyingine uje na makala ya CHADEMA nayo upande wa maovu tuijadili..
 
Yule jamaa Mweupe ambaye huitwa kitalu cha Nne ndo mratibu wa haya yote Kama hauamini waulize Diaspora achana na yule Diaspora anayeuza Scrapers kutoka nje hapana waulize Diaspora halisi wenye nia ya kuwekeza hapa.

Yaani familia moja ime hold uchumi wa pagala zima.

Asivyokuwa na akili watoto wake amewabadilisha majina ili asionekane Ana hold mali nyingi .

Na ni mwizi wa mawazo ukiwa na wazo la uwekezaji anakuibia then analifanya yeye.

Ndo maana Mimi niliumia Sana alivyofariki yule jamaa aliyekuwa anavaa cheni gold shingoni ambaye mpaka anakabidhiwa ukuu wa kaya alikuwa hana Nyumba maalumu.

Ila Baba yake na Andrew hakukosea kumpa hii Nyumba aiongoze

Unfortunately is no more na sasa tumebaki kushauria na mzee wa trip

Inafikirisha vision less
 
Mimi ni ccm tangu enzi za Mwalimu. Ila kwa hii ccm ya sasa, niseme tu ukweli imetekwa na wahuni, wauza madawa ya kukevya, majangili, majambazi, wapiga dili haramu, wabadhirifu, mafisadi, na kila aina ya waovu.

Sidhani kama wafanyakazi na wakulima wa nchi hii wanatambua kama hiyo ccm ilianzishwa kwa ajili kuwafunga kuwa mhimili wa chama, badala ya hilo genge la wahuni.
 
Magenge ya vita vya madaraka
Magenge ya kazi chafu
Magenge ya kuteka
Magenge ya kuua
Magenge ya kutakatisha pesa
Magenge ya kuuza/kugawa rasilimali za Tanganyika
Magenge ya upigaji pesa kwenye miradi ya kubuni nknk

Hii sio tena ile ccm ya wakulima na wafanyakazi..
Hii sio tena ile ccm ya ujamaa na kujitegemea
Hii ni ccm mateka wa hayo makundi tajwa hapo juu

Makundi haya hayajaota kaka uyoga bali yana asili ya 2005 kuelekea 2010 .. Pale walipoanza kujitokeza watu waliounda mitandao ya kusimika watu wao ilk baadae waje wawafae kwenye nafasi za juu za uongozi
Vikundi hivyo viliendelea kuimarika kimtandao na baadae kuingia hatua nuhimu ya kujiimarisha kiuchumi kupitia pesa haramu za rushwa, 10% mauzo ya rasilimali nknk

Makundi haya hubadilika kama vinyonga kulingana na upepo wa madaraka ya kisiasa.. Mwaka 2015- 2020... Yalijificha kama kirusi cha ukimwi na kufanikiwa kujipenyeza na kumzunguka aliyeshika kijiti kipindi hicho...

Hapo walimfundisha mbinu za kujiimarisha kiuchumi... Kuwa na mtandao wa kutoa taarifa na kuwa na mtandao wa kuwamaliza wote waliinokena tishio
Baada ya mabadiliko kwa kudra za Mola, makundi hayo yakajivua gamba na kuanza kutenda kwa uwazi bila woga bila hofu bila fadhaa!
Hapa tulipo ccm imefikishwa kwenye kilele cha umafia.. Ni mwendo wa kuwindana na kutegeana... Anayenaswa/sa anagugumia kimya kisha wenzake wanajipanga upya kulipa kisasi
NimemalizaView attachment 3420301
Kwisha habari yako umeshakata tamaa.
 
chui.jpg
 
KIONGOZI wa uovu wote huo Kikwete.
 
Kakama

Kama msajili anavyoteseka na mbo ya chadema huku akijivisha joho la ccm.???
Sipati picha kama mkutano wa ccm jana ungefanywa na chadema
Wala hukuwa na sababu ya kumjibu... Wapuuzi hawajibiwi
 
Mimi ni ccm tangu enzi za Mwalimu. Ila kwa hii ccm ya sasa, niseme tu ukweli imetekwa na wahuni, wauza madawa ya kukevya, majangili, majambazi, wapiga dili haramu, wabadhirifu, mafisadi, na kila aina ya waovu.

Sidhani kama wafanyakazi na wakulima wa nchi hii wanatambua kama hiyo ccm ilianzishwa kwa ajili kuwafunga kuwa mhimili wa chama, badala ya hilo genge la wahuni.
IMG-20250726-WA0027.jpg
 
Jana nimepigiwa simu nikachukue kitambulisho cha uanachana CCM, nikaenda. Cha ajabu ni kuwa picha waliyoiweka ni ya mwaka 2021 na niliyotumia kujaza form kwenye taasisi fulani. Na wamesaini wao wenyewe. Sahihi waliyoweka wameshindwa kuinakili kama ilivyo yangu.
Umeniumiza sana kuona taarifa zangu zinatumiwa bila bila idhini yangu na kwa ulazima.
 
CCM itatawala miaka mingi sana ijayo kwasababu badala ya kujenga vyama mbadala mnategemea mtu awasawazishie uwanja
 
Attachments

  • 20250725_152400.jpg
    20250725_152400.jpg
    220.2 KB · Views: 8
Jana nimepigiwa simu nikachukue kitambulisho cha uanachana CCM, nikaenda. Cha ajabu ni kuwa picha waliyoiweka ni ya mwaka 2021 na niliyotumia kujaza form kwenye taasisi fulani. Na wamesaini wao wenyewe. Sahihi waliyoweka wameshindwa kuinakili kama ilivyo yangu.
Umeniumiza sana kuona taarifa zangu zinatumiwa bila bila idhini yangu na kwa ulazima.
Duh🥺🥺🥺🥺
 
Back
Top Bottom