CCM imebaki kuwa kapu la magenge hatari

CCM imebaki kuwa kapu la magenge hatari

Magenge ya vita vya madaraka
Magenge ya kazi chafu
Magenge ya kuteka
Magenge ya kuua
Magenge ya kutakatisha pesa
Magenge ya kuuza/kugawa rasilimali za Tanganyika
Magenge ya upigaji pesa kwenye miradi ya kubuni nknk

Hii sio tena ile ccm ya wakulima na wafanyakazi..
Hii sio tena ile ccm ya ujamaa na kujitegemea
Hii ni ccm mateka wa hayo makundi tajwa hapo juu

Makundi haya hayajaota kaka uyoga bali yana asili ya 2005 kuelekea 2010 .. Pale walipoanza kujitokeza watu waliounda mitandao ya kusimika watu wao ilk baadae waje wawafae kwenye nafasi za juu za uongozi
Vikundi hivyo viliendelea kuimarika kimtandao na baadae kuingia hatua nuhimu ya kujiimarisha kiuchumi kupitia pesa haramu za rushwa, 10% mauzo ya rasilimali nknk

Makundi haya hubadilika kama vinyonga kulingana na upepo wa madaraka ya kisiasa.. Mwaka 2015- 2020... Yalijificha kama kirusi cha ukimwi na kufanikiwa kujipenyeza na kumzunguka aliyeshika kijiti kipindi hicho...

Hapo walimfundisha mbinu za kujiimarisha kiuchumi... Kuwa na mtandao wa kutoa taarifa na kuwa na mtandao wa kuwamaliza wote waliinokena tishio
Baada ya mabadiliko kwa kudra za Mola, makundi hayo yakajivua gamba na kuanza kutenda kwa uwazi bila woga bila hofu bila fadhaa!
Hapa tulipo ccm imefikishwa kwenye kilele cha umafia.. Ni mwendo wa kuwindana na kutegeana... Anayenaswa/sa anagugumia kimya kisha wenzake wanajipanga upya kulipa kisasi
NimemalizaView attachment 3420301
NO REFORMS, NO ELECTION.
 
Mwanachadema anateseka na mambo ya CCM 😂
Watu wote wanaipenda nchi yao, ni lazima wateseke na CCM kwa sababu CCM ndiye adui mkubwa wa Taifa na wananchi wa Tanzania.

CCM ndiyo inayowateka na kuwaua watanzania.

CCM ndiyo inayodhulumu haki za wananchi.

CCM ndiyo inayopora na kuzigawa rasilimali zao muhimu kwa waarabu.

CCM ndiyo iliyotengeneza mifumo ya watawala kuiba pesa za wananchi.

Kwa nini wananchi wasiteseke na adui yao mkubwa?
 
IMG-20250801-WA0090.jpg
 
Upo sahihi.CCM inapokosea ni pale inapopokea hata takataka halafu inashindwa kuzibadilisha hzo takataka kuwa lulu,, sisi tunaoishi huku mtaani tunaona chama kinachoongoza kujaza takataka ni CCM, ukiambiwa huyu ni katibu au mwenyekiti wa CCM kata unabaki kusikitika tu...yaani kichwani ni sifuri... ukifatilia hadi maisha yake ya nyumbani hafai kuwa kiongozi full unyanyasaji Uongozi unaanzia nyumbani..unakutana na kijana kapiga kombati la chama na kofia surualia inakaribia kudondoka huku anapiga bangi tu..ukweli nimefatilia sana CCM inachukua takataka zote halafu inashindwa kuwabadilisha matokeo yake wanaendeleza kirusi ndani ya chama wakikutana na takataka za mda mrefu ndo maana huo uozo unajitokeza...ushauri wangu kwa CCM jichunguzeni wenyewe halafu mtafute namna ya kujirekebisha wenyewe..Mbona kwenye kuwachunguza watumishi wa umma mpo vizuri? japo sahv mmeshuka kidogo....lakini pia kuna mazuri mengi mnafanya...Mtoa mada mshana natamani siku nyingine uje na makala ya CHADEMA nayo upande wa maovu tuijadili..
Kujichunguza na kujirekebisha ni kitu haiwezekani TENA. Hao ni marehemu tayari.
 
Back
Top Bottom