Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,261
- 98,288
CCM wamejimilikisha vitu vingi sana ilipaswa hivi vitu virudishwe serikalini mwaka 1992 then vyama vianze upya kwa usawa vyote
Mwaka huu mali zote zinarudishwa mikononi mwa serikali
CCM wamejimilikisha vitu vingi sana ilipaswa hivi vitu virudishwe serikalini mwaka 1992 then vyama vianze upya kwa usawa vyote
utafiti wa Twaweza unaonyesha kuwa 69% ya
watanzania ambao hawajasoma kabisa
(mburura) ndio wanamkubali Magufuli.
haha mi change kipo kabatini kimetulia tulii kinasubili kuwachinja mi ccm
CCM ina vitega uchumi vingi ambavyo vilijengwa enzi za mfumo wa Chama kimoja,kuna majengo ya CCM kila mkoa na wilaya,viwanja vya michezo nk.Kama ikitokea baada ya Uchaguzi chama kikafa hizo mali zitakuwa za nani?
Kwa hilo hatupaswi kusubiri ife. Bora mali hizo zikapelekwa kwenye halmashauri husika.
Nape atakushukia sasa hivi au jinga lao
Kila siku nakiangalia kichinjio Weee nakibusu halafu nakirudisha kabatini