CCM ikifa zile mali zitakuwa za nani?

CCM ikifa zile mali zitakuwa za nani?

Hizi ni mali za watanzania zilizoporwa/pokwa kwa hila na staili za ki ujanja ujanja wa CCM. Na hiyo ndio dhamira ya Mabadiliko. Hivyo kura yako Lowassa inatoa mwanga mpya wa matumaini ya Tanzania mpya itakayotoa fursa na haki sawa kwa wote bila kujali dini au daraja la mwananchi.
 
CCM ina vitega uchumi vingi ambavyo vilijengwa enzi za mfumo wa Chama kimoja,kuna majengo ya CCM kila mkoa na wilaya,viwanja vya michezo nk.Kama ikitokea baada ya Uchaguzi chama kikafa hizo mali zitakuwa za nani?

Mkuu unachekesha,nani alikwambia mali ni za CCM? Hizo mali zina wenyewe,CCM ni maficho tu.
 
Kila siku nakiangalia kichinjio Weee nakibusu halafu nakirudisha kabatini

hahahahahaaaaaa yaan niko katikati ya watuu halafu siwajui wala nini na nimejikuta nacheka kwa nguvuuuu
 
CCM out Mali zote za Umma including nyumba walizogawana zitarejea Serikalini ... hata wale walobinafsishiwa majengo yatarejeshwa .. wataruhusiwa kuendelea na biashara zao lakini majengo yatabaki kuwa ya Serikali ..
 
CCM ina vitega uchumi vingi ambavyo vilijengwa enzi za mfumo wa Chama kimoja,kuna majengo ya CCM kila mkoa na wilaya,viwanja vya michezo nk.Kama ikitokea baada ya Uchaguzi chama kikafa hizo mali zitakuwa za nani?

Watakupa wewe, au huzitaki ?:A S 101:
 
Iko siku ccm itakufa lakini sio mwaka huu wala si kwa sababu ya uchaguzi huu
 
Duhh itakuwa balaa zote zirejeshwe watabakia na nini maana kuna hadi ofisi za vijiji
 
CCM ina vitega uchumi vingi ambavyo vilijengwa enzi za mfumo wa Chama kimoja,kuna majengo ya CCM kila mkoa na wilaya,viwanja vya michezo nk.Kama ikitokea baada ya Uchaguzi chama kikafa hizo mali zitakuwa za nani?

Hizo ni mali za serikali lowasa atafanya kama kenya mali zoote za kanu zilirudishwa mikononi mwa serikali
 
Back
Top Bottom