CCM ikifa zile mali zitakuwa za nani?

CCM ikifa zile mali zitakuwa za nani?

Super Sub Steve

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Posts
17,715
Reaction score
11,324
CCM ina vitega uchumi vingi ambavyo vilijengwa enzi za mfumo wa Chama kimoja,kuna majengo ya CCM kila mkoa na wilaya,viwanja vya michezo nk.Kama ikitokea baada ya Uchaguzi chama kikafa hizo mali zitakuwa za nani?
 
Kwa nchi zinazojari utawala bora na utawala wa sheria ccm ilitakiwe iwe imefikishwa mahakamani kwa uporaji wa mali za umma ila kwa kuwa nchi yetu ndo hivyo tena basi CCM ikifa umma unajirudishia mali zake.
 
hakiwezi kufa,kwahiyo tusipotezeane mda
ni kweli mkuu maana ccm ni special political part huwezi ilinganisha na vyama vingine vilivyowahi kufa.Ushauri wangu tu ni kwamba ccm kama haihijaji kufa na kama october ikiserve magufuli aanza na kufutilia mbali shule zote za kata,udom na vyuo vyote nchi,ila mkiendelea kuwapa wadanganyika hata hiyo elimu ya magumashi basi mtakuwa mnajichimbia kaburi
 
zote hizo ni mali za umma,wajanja wachache ndo wananufaika kwa sasa,ngoja ole sokoni ole lowasa aingie
 
Kwa kujibinafsishia mali za watz ilikuwa ni sababu tosha ya kuwapumzisha lakni akili za Watz ccm inaweza kutwala milele
 
Mali nyingi za ccm mfano viwanja vya michezo ni vya wananchi kwani wote tulishiriki kuvijenga, ccm imepora mali nyingi ambazo kiuhalisia ni za serikali. Hili linaniongezea hasira dhidi ya ccm. Hizo mali lazima zirudi serikali kama vile Kanu ilivyofanywa huko kenya.
 
CCM hawana mali zao kama CCM ila wanamiliki mali walizopora kwa wananchi.
 
Atachukua makamu Mwenyekiti Mzee Mangula Na Mtikila kwa kuwasaidia CCM propaganda za kuwatukana ukawa
 
kwasasa ni magufuli kuingia ikulu kuhusu mali tutaongelea baadae
 
Kwa hilo hatupaswi kusubiri ife. Bora mali hizo zikapelekwa kwenye halmashauri husika.
 
utafiti wa Twaweza unaonyesha kuwa 69% ya
watanzania ambao hawajasoma kabisa
(mburura) ndio wanamkubali Magufuli.
 
CCM wamejimilikisha vitu vingi sana ilipaswa hivi vitu virudishwe serikalini mwaka 1992 then vyama vianze upya kwa usawa vyote
 
Back
Top Bottom