Mesut90
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 537
- 626
Sasa mkuu huko ndio kubatizwa kwa moto??Kwenye teuzi mbalimbali. Kwa mfano angalia baraza lake la mawaziri la mwisho.
Sasa mkuu huko ndio kubatizwa kwa moto??Kwenye teuzi mbalimbali. Kwa mfano angalia baraza lake la mawaziri la mwisho.
Kwa miaka 60,Bado unataka ccm waendelee kupewa nafasi ya kujirekebisha!?unataka wapewe muda gani Tena?kama wameshindwa kwa miaka 60,wataweza kwa miaka mingapi?Friends and Enemies,
From Monopartisim to Multipartism 1992 to 1995,nchi yetu imepitia chaguz kadhaa ambazo tunaweza sema nchi bado ilikua changa kwenye Siasa za vyama vingi,na wakati mwingine tunaweza sema kwamba tumepitia siasa ya aina yetu na ya kipekee kama Taifa ambayo hatuwez jifananisha na nchi yoyote ya kiafrika kwa ujumla,
Mfano mzur wa nchi ya kidemokrasia kwa Afrika ni Ghana,wengine tuna safar ndefu kidogo ila ni muhim kuzid kujenga vyama imara vya upinzan ambavyo vitakuwa tayar kuongoza nchi bila ya kuwa na chembe chembe za ubaraka kutoka nchi za magharibi,
Tuwe wakweli,kuongoza Taifa siyo jambo la kufanya Rehearsal ndug zangu,wapinzan tulionao bado wanatia shaka Sana kuwaamin na kuwapa Dola waongoze,labda kama watashirikishwa kwenye serikali ya mseto lakin kiukweli hawana misimamo yenye kueleweka kias Cha kufikia sisi kuwaamin na kuwapa ridhaa ya kuongoza Dola,
Wakati mwingine tuna piga Kura kuwapa upinzan siyo kwamba tuna amin Wana uwezo huo,Bali ni kukosa matumain na baadhi ya mienendo ya CCM,sasa CCM ikijirekebisha na kuwatumikia watanzania kwa haki na usawa,upinzan huu tulionao hautaweza fananishwa hata kidogo na uongoz wa ccm,
Wapinzani tunawahitaji kwa mustakabali wa Taifa letu lakini wana Kazi ya kufanya kwa miongo kadhaa kupata ukomavu huo wa kuongoza Dola.
Wapinzani hawa type ya akina Mbowe, Sugu, Lema na huyu kichaa aliyetoka jela jana, ni bora ccm iongoze mileleFriends and Enemies,
From Monopartisim to Multipartism 1992 to 1995,nchi yetu imepitia chaguz kadhaa ambazo tunaweza sema nchi bado ilikua changa kwenye Siasa za vyama vingi,na wakati mwingine tunaweza sema kwamba tumepitia siasa ya aina yetu na ya kipekee kama Taifa ambayo hatuwez jifananisha na nchi yoyote ya kiafrika kwa ujumla,
Mfano mzur wa nchi ya kidemokrasia kwa Afrika ni Ghana,wengine tuna safar ndefu kidogo ila ni muhim kuzid kujenga vyama imara vya upinzan ambavyo vitakuwa tayar kuongoza nchi bila ya kuwa na chembe chembe za ubaraka kutoka nchi za magharibi,
Tuwe wakweli,kuongoza Taifa siyo jambo la kufanya Rehearsal ndug zangu,wapinzan tulionao bado wanatia shaka Sana kuwaamin na kuwapa Dola waongoze,labda kama watashirikishwa kwenye serikali ya mseto lakin kiukweli hawana misimamo yenye kueleweka kias Cha kufikia sisi kuwaamin na kuwapa ridhaa ya kuongoza Dola,
Wakati mwingine tuna piga Kura kuwapa upinzan siyo kwamba tuna amin Wana uwezo huo,Bali ni kukosa matumain na baadhi ya mienendo ya CCM,sasa CCM ikijirekebisha na kuwatumikia watanzania kwa haki na usawa,upinzan huu tulionao hautaweza fananishwa hata kidogo na uongoz wa ccm,
Wapinzani tunawahitaji kwa mustakabali wa Taifa letu lakini wana Kazi ya kufanya kwa miongo kadhaa kupata ukomavu huo wa kuongoza Dola.
Umesahau kuwaorodhesha hapo akina MEMBE, MAKAMBA SR, NAPE na KINANA!Nini kiliwapata akina Selasini, Komu,Lwakatare na wengine baada ya kumkosoa Mwenyekiti wa kudumu?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkuuu umeandika kwa hisia sana ambae hatakuelewa basi .Tuna chama tawala kinachojitambua. Kipindi cha Kikwete porojo ilikuwa ni umeme wa gas kwani umeme wa maji tatizo ni mabadiliko ya tabia nchi. na hadithi ikawa gas ni muarobaini wa tatizo la nishati nchini. Kaingia Magufuli anasema umeme wa maji ni wa gharama nafuu, ccm wote wanashangilia lakini wamesahau chini ya miaka mitano walisema umeme wa maji tatizo ni mabadiliko ya tabia nchi!
Juzi wakati Magufuli yuko hai anasema hakuna corona kisha anaficha data, chama chake kinamsifia kwa kupambana na Corona, akaagiza mambo ya nyungu mpaka kibanda cha ushirikina kujengwe hospitali kubwa kabisa ya nchi. Viongozi wanaojifanya wasomi wakawa brainwashed akina Kabudi wanakunywa dawa za mitishamba hadharani, akina Jafo wanajifukiza na kujivunia tiba zetu. Chini ya siku 100 baada ya kifo cha Magufuli hakuna anayetaka nyungu, mwendo ni barakoa, kibanda cha ushirikina kikaondolewa hospital ya muhimbili kwa aibu. Hicho ndio chama tawala kinachoonekana kiko sawa! Acha wazungu waendelee kutuita manyani.
Hata hao sio wapinzani ni wachumia tumbo tu.Poleni sana,
Kwa hiyo mwataka 'upinzani' wenu tu akina TLP, CUF, PONA na NCCR ndio uendelee kuwapo. Ili iweje?
Two wrongs don't make a right. Kwa vile Nyerere alikaa madarakani miaka 24 ndio excuse ya kiongozi wa upinzani kukaa madarakani miaka 17? And why Nyerere na sio Mwinyi, Mkapa au Jk?
Wapinzani hawa type ya akina Mbowe, Sugu, Lema na huyu kichaa aliyetoka jela jana, ni bora ccm iongoze milele
Salaam Aleykum sheikh!Najua huipendi CCM ila kwa kuwa kiongozi aliyepo ni wa dini basi huna budi.Wapinzan wenyewe ndiyo hawa watu kama Vicent Mashinji, Mwita waitara, Joshua Nassari, Wibroad Slaa na wengine wengi,Peter lijualikali...
Waganga Njaa tuh,hawa unawapa nchi asbh tuh wanakusaliti kwa nchi za magharibi...
Hawana misimamo yenye kueleweka
Salaam Aleykum sheikh!Najua huipendi CCM ila kwa kuwa kiongozi aliyepo ni wa dini basi huna budi.
Bila shaka utabaki huko mpaka hapo mgalatia atakapopokea kijiti ndo urudi tena CUF ama ACT.
Udini ni sumu mbaya sana Dunia hii