Wachinjane kabisa
Nani amchinje nani? Je una maanisha kweli haya uliyoandika kuwa watu wachinjane kwa sababu ya siasa?
Wachinjane kabisa
<Chadema hao. Baada ya kuona hali ngumu igunga. Taifa kwishnei
CCM amchinje CCMNani amchinje nani? Je una maanisha kweli haya uliyoandika kuwa watu wachinjane kwa sababu ya siasa?
CCM amchinje CCM
Acha pumba wewe! Hivi utaacha lini kutumia makalio kufikiri?Chadema hao. Baada ya kuona hali ngumu igunga. Taifa kwishnei
Tena makalio yenyewe ni madogodogo na legelege kwa hiyo hata pumba zenyewe zinazotoka..........!Acha pumba wewe! Hivi utaacha lini kutumia makalio kufikiri?
Hata kama kitashinda chama gani ikiwa ushindi utapatikana kwa njia hizi basi hakuna sababu ya kusheherekea huo ushindi. Lengo la uchaguzi ni kupata mwakilishi bora wa igunga atakae tetea maslahi ya wana igunga na sio kuleta maafa igunga.
Yeyote anayehusika kati ya magamba,girlfriend wa magamba au magwanda....basi na alaaniwe