MBURE JASHA
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 200
- 46
SALAAM KWA WANAJF WOTE
Chama cha Mapinduzi mnabweteka na vitu vidogo sana ambavyo mwisho wa siku mtaingiza nchi kunako vita vya wenyewe kwa wenyewe au vita kali ya udini. Dalili zipo wazi. Lakini yote haya yanatokana na siasa za kitoto mnazofanya.
Kuna mambo ya misimamo ambayo mnapoamua kuisimamia inazidi kwabomoa siku hadi siku kwa Mfano:-
1. panatokea hoja nzito yenye maslahi kwa WATZ. Wabunge wenu wa CCM ambao wengi wao ni wanachama wa kawaida wa ccm. Wanaburuzwa na viongozi wa chama na maafisa wa Chama waliopo DODOMA (ambao kimsingi sio wabunge)kusimamia misimamo hasi kwa manufaa ya Chama na si Taifa kupitia kamati a wabunge wa CHAMA(kulinda watuhumiwa). Tofauti na wenzao CDM akisimama mbunge mmoja kuchangia anasimama badala ya Masalahi ya Nchi, na Chama chake. Kamati ya wabunge wa CDM ni Genuine kwani wao wanaongozwa na wabunge wenzao, wabunge wao ndio viongozi wao kitaifa kwa maana akisimama anaua ndege wawili wa jiwe moja.
2. Embu niambieni wenzangu kuna afisa mmoja pale mkao makuu ya CCM anaitwa CHIZII . Cheo chake cha Mwisho ninachokifahamu kabla ya kwenda Makao makuu alikuwa Katibu wa CCM wilaya ya Same. LAkini mtu huyu ndio akiona wabunge wa CCM na Serilkali yao imeng'ang'aniwa Bungeni yeye ndio anaandika memo kwenda kwa Spika kuwaita haraka kurekebisha mambo. Ndie anaemkoromea Spika na waziri mkuu kwamba kwanini mnaruhusu hili lijadiliwe! mtu ambaye uteuzi wake umetokana na sifa kubwa ya kuimba kwenye mikutano!