Anachokiongea huyu Muhsin Ussi ni upumbavu mtupu kwa wakati huu tuliopo. Hii haimsaidii Rais Samia zaidi ya kuongeza hasira kwa wananchi. Yeye Muhsin anavyosema atashughulika na watakaomkwamisha Rais ni kwa kutumia mamlaka yapi aliyo nayo? Yeye ni chombo cha dola? Muhsin ajue hata wanaCCM wengi wamepoteza maisha na wengine kupoteza wapendwa wao kupitia vurugu za 29th Dec. Ninakerwa sana na vijana kama huyu Muhsin. Na pia kwa sababu ni mzanzibari angeuchuna kwanza hadi huu upepo utulie.
View: https://www.instagram.com/reel/DRFqOy9DJcJ/?igsh=NHNxMWpvcG9remhk
View: https://www.instagram.com/reel/DRFqOy9DJcJ/?igsh=NHNxMWpvcG9remhk