CCM, hivi sisi mnatuonaje?

CCM, hivi sisi mnatuonaje?

Nakwambia wewe maana wewe ndo unalazimisha watu wawe upande fulani hata kama hawapo/hawachagua upane huo..
Unaona alivyo na hoja za kitoto mkuu!? Eti uniambie mimi, wakati wewe umemjibu yeye kwa hoja imemshinda uzito anakimbilia simanzi za misukule. Watanyooka tu hawa. Kutwa kutunga UONGO kutuhadaa Watanzania. TUMECHOKAAAAAAAA!
 
Huyu binamu yako unayemtetea ndiye aliyeanzisha kulazimisha watu kuwa wnachama wa chadema wakati siyo kweli. Mimi hufuatilia watu humu na siwezi kuwatetea kama salaryslip, Lizabon to name the few hao wanajulikana wana mahaba na vyama vyao maana sijawaona wakivisema ccm (lizabon) ama chadema (Salary slip
 
Wengi wapi huyo magufuli anatokana na chama na serikali hiyohiyo inayonyima MIKOPO wanafunzi wa elimu ya juu, kutopandisha watumishi madaraja na mishahara. We kwa akili zako za kibashite bashite unamsifia kwa kila jambo
Huyo atakuwa Baloz wa mtaa fulani a.k.a karai
 
Unaona alivyo na hoja za kitoto mkuu!? Eti uniambie mimi, wakati wewe umemjibu yeye kwa hoja imemshinda uzito anakimbilia simanzi za misukule. Watanyooka tu hawa. Kutwa kutunga UONGO kutuhadaa Watanzania. TUMECHOKAAAAAAAA!
Mmekutana vichwa maji tupu mpongezane jioni nendeni makachukue pesa za viroba vingine Lumumba
 
Ha ha ha ha mtani una mambo sana. Hakika,uanachama wa TLS unaniponza. Wapo wanaoamini kuwa sote humu JF ni ima CCM au CHADEMA.
Petro, not at all. Tunajua wapo hawana vyama, ila wanasimamia UKWELI, KUHOJI, KUSHAURI, KUKEMEA panapohitaji kufanya hivyo. Ukiuficha ukweli tunaanza kuwa na mashaka nawe, mtu kama wewe ambaye unaisaidia mahakama kutenda/kutoa/kuona haki.. a judicial officer. I will not care when controversial statements come from others!
 
Huyu binamu yako unayemtetea ndiye aliyeanzisha kulazimisha watu kuwa wnachama wa chadema wakati siyo kweli. Mimi hufuatilia watu humu na siwezi kuwatetea kama salaryslip, Lizabon to name the few hao wanajulikana wana mahaba na vyama vyao maana sijawaona wakivisema ccm (lizabon) ama chadema (Salary slip
Pathetic swine!
 
Huyu jamaa nadhani kaamuka nazo mkuu tutapoteza muda kubish@na naye. Jana sikumbuki kama hata nilipitisha jicho langu humu jf. Maanq nilikuq busy na kutafuta chakula cha kulisha wanangu na mimi mwenyewe.

Msamehe bure.UVCCM wamechanyikiwa kwa sasa.Maana ukiona Tawi lao Policcm linakimbizwa na Tshirt ujue kuna shida mahalai fulani
 
CCM imekuwa madarakani,kwa kuunda Serikali,kwa miaka yote tangu Tanzania ipate uhuru. Kama ni sheria na mikataba mibovu imesababishwa na CCM na mfumo wake. Wakosoaji wa tangu mwanzo sasa wanasemwa ni wasaliti. Hakika,mngekubali kukosolewa tangu wakati huo mambo yasingekuwa yalivyo sasa. Kwani mnatuonaje?

Rais Magufuli na Serikali yake wanafanya mapinduzi makubwa katika utawala wa nchi. Katika uchumi,siasa na utamaduni anafanya awezalo katika kuboresha na kuendeleza nchi yetu. Kwakuwa CCM ndiyo mzazi wa matatizo yote 'yanayoshughulikiwa' sasa na Serikali,mnapata wapi ujasiri wa kujivunia yanayotendwa sasa?

Siasa za ulaghai,utapeli na propaganda zimepitwa na wakati. Tanzania yahitaji maendeleo. Kutuambia na kututendea mazingaombwe si vyema. Kwani mnatuonaje? Acheni dhereu!

Wewe unataja kuwa mtumwa wa historia kuwa binadamu anatakiwa kubaki hivyo hivyo asibadilike for better.You are so funny!!!
 
Rais Magufuli na Serikali yake wanafanya mapinduzi makubwa katika utawala wa nchi. Katika uchumi,siasa na utamaduni anafanya awezalo katika kuboresha na kuendeleza nchi yetu.

.......Siasa za ulaghai,utapeli na propaganda zimepitwa na wakati. Tanzania yahitaji maendeleo.

Unachokisema ni kweli; Magufuli ambaye anatokana na ccm anafanya yale ambayo wengi wamekuwa wakiyatarajia kufanywa na serikali iliyopo madarakani. Hongera kwake.

Acha ungese Dogo!
 
Kuvua gamba nyoka hujivua mwenyewe. Lowassa, Sumaye, kingunge na vingunge wengine wamejivua wenyewe. Cha ajabu wamepokelewa CDM kama malaika. Hao watu ndo walikua watunga sera na watekelezaji wakuu katika nchi hii, na tuwaulizeni nyie kwa nini mmewakumbatia kwa mwembwe ilihali mkisema "alipo tupo"
Wasafi waliobaki CCM wanajulikana kwa usafi wao,
Migodi, Ubinafsishaji, Miradi duni, Vyeti feki na na na na....
 
Kumdharau mtu si lazima kumwambia maneno au kumfanyia matendo ya kejeli. Hata kumlaghai kwa utapeli,propaganda na uongo ni kumdharau. CCM,acheni kutudharau,kwani mnatuonaje?

Wakati ule mlitutangazia kuwavua gamba Lowassa,Chenge na Rostam. Lakini,hakukuwa na jambo hilo kwao wala kwa wanachama wengine. Kimsingi,hakukuwa na kuvuana gamba ndani ya CCM hadi Lowassa alipohamia CHADEMA. Kwani mnatuonaje?

CCM imekuwa madarakani,kwa kuunda Serikali,kwa miaka yote tangu Tanzania ipate uhuru. Kama ni sheria na mikataba mibovu imesababishwa na CCM na mfumo wake. Wakosoaji wa tangu mwanzo sasa wanasemwa ni wasaliti. Hakika,mngekubali kukosolewa tangu wakati huo mambo yasingekuwa yalivyo sasa. Kwani mnatuonaje?

Rais Magufuli na Serikali yake wanafanya mapinduzi makubwa katika utawala wa nchi. Katika uchumi,siasa na utamaduni anafanya awezalo katika kuboresha na kuendeleza nchi yetu. Kwakuwa CCM ndiyo mzazi wa matatizo yote 'yanayoshughulikiwa' sasa na Serikali,mnapata wapi ujasiri wa kujivunia yanayotendwa sasa?

Siasa za ulaghai,utapeli na propaganda zimepitwa na wakati. Tanzania yahitaji maendeleo. Kutuambia na kututendea mazingaombwe si vyema. Kwani mnatuonaje? Acheni dhereu!
Sasa mkuu Petro mbona unalikana andiko lako mwenyewe? Unawezaje kuishutumu CCM na kumsifia m-CCM Magufuli? Ni ileile na ni walewale. Nothing but heathens at their highest levels of heartbeats!
 
Kumdharau mtu si lazima kumwambia maneno au kumfanyia matendo ya kejeli. Hata kumlaghai kwa utapeli,propaganda na uongo ni kumdharau. CCM,acheni kutudharau,kwani mnatuonaje?

Wakati ule mlitutangazia kuwavua gamba Lowassa,Chenge na Rostam. Lakini,hakukuwa na jambo hilo kwao wala kwa wanachama wengine. Kimsingi,hakukuwa na kuvuana gamba ndani ya CCM hadi Lowassa alipohamia CHADEMA. Kwani mnatuonaje?

CCM imekuwa madarakani,kwa kuunda Serikali,kwa miaka yote tangu Tanzania ipate uhuru. Kama ni sheria na mikataba mibovu imesababishwa na CCM na mfumo wake. Wakosoaji wa tangu mwanzo sasa wanasemwa ni wasaliti. Hakika,mngekubali kukosolewa tangu wakati huo mambo yasingekuwa yalivyo sasa. Kwani mnatuonaje?

Rais Magufuli na Serikali yake wanafanya mapinduzi makubwa katika utawala wa nchi. Katika uchumi,siasa na utamaduni anafanya awezalo katika kuboresha na kuendeleza nchi yetu. Kwakuwa CCM ndiyo mzazi wa matatizo yote 'yanayoshughulikiwa' sasa na Serikali,mnapata wapi ujasiri wa kujivunia yanayotendwa sasa?

Siasa za ulaghai,utapeli na propaganda zimepitwa na wakati. Tanzania yahitaji maendeleo. Kutuambia na kututendea mazingaombwe si vyema. Kwani mnatuonaje? Acheni dhereu!
Tunawaona wote wasaliti hasa km upo chadema
 
Rais Magufuli na Serikali yake wanafanya mapinduzi makubwa katika utawala wa nchi. Katika uchumi,siasa na utamaduni anafanya awezalo katika kuboresha na kuendeleza nchi yetu. Kwakuwa CCM ndiyo mzazi wa matatizo yote 'yanayoshughulikiwa' sasa na Serikali,mnapata wapi ujasiri wa kujivunia yanayotendwa sasa?
hhahahahhahahah..hapa ndipo unapojidanganya..hakuna mapinduzi yoyota anayofanya huyu mtu.Time will tell
 
Hivi ina maana Hawa wote waliopo madarakani Sasa hawakua wajumbe wa CABINET zilizopita??

Na kama walikua wajumbe je inawezekanaje wasijue kilichokua kinaendelea?
 
Kuvua gamba nyoka hujivua mwenyewe. Lowassa, Sumaye, kingunge na vingunge wengine wamejivua wenyewe. Cha ajabu wamepokelewa CDM kama malaika. Hao watu ndo walikua watunga sera na watekelezaji wakuu katika nchi hii, na tuwaulizeni nyie kwa nini mmewakumbatia kwa mwembwe ilihali mkisema "alipo tupo"
Tatizo si watu. Tatizo ni Chama.
 
Back
Top Bottom