tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,894
- 19,788
Nasubiria uanze wewe na familia ykoWewe mbona hujajiweka katika orodha?
Nasubiria uanze wewe na familia ykoWewe mbona hujajiweka katika orodha?
Akili ya makinikia hiyo!Rais Magufuli na Serikali yake wanafanya mapinduzi makubwa katika utawala wa nchi. Katika uchumi,siasa na utamaduni anafanya awezalo katika kuboresha na kuendeleza nchi yetu.
.......Siasa za ulaghai,utapeli na propaganda zimepitwa na wakati. Tanzania yahitaji maendeleo.
Unachokisema ni kweli; Magufuli ambaye anatokana na ccm anafanya yale ambayo wengi wamekuwa wakiyatarajia kufanywa na serikali iliyopo madarakani. Hongera kwake.
Kuacha asili ni shida, washazoeaMambo yanazidi kunoga. Hivi dhereu zenu mtaziacha lini CCM?
Nawaomba waache siasa za kilaghaiKuacha asili ni shida, washazoea
Kuna uzi mwingine mpya wa huyuhuyu Mselewa akilalamika njaa iliyoletwa na Magufuli huyuhuyu aliyemsifia hapaRais Magufuli na Serikali yake wanafanya mapinduzi makubwa katika utawala wa nchi. Katika uchumi,siasa na utamaduni anafanya awezalo katika kuboresha na kuendeleza nchi yetu.
.......Siasa za ulaghai,utapeli na propaganda zimepitwa na wakati. Tanzania yahitaji maendeleo.
Unachokisema ni kweli; Magufuli ambaye anatokana na ccm anafanya yale ambayo wengi wamekuwa wakiyatarajia kufanywa na serikali iliyopo madarakani. Hongera kwake.
Mkuu, uzi ule unalenga kushauriKuna uzi mwingine mpya wa huyuhuyu Mselewa akilalamika njaa iliyoletwa na Magufuli huyuhuyu aliyemsifia hapa