Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,353
- 26,194
- Thread starter
- #21
Mkuu,kila uchao nahamishwa vyama kulingana na ninachoandika. Very pathetic!Pole Petro E Mselewa ni mwanachama wa TLS!Kuna lingine hapo??
Mkuu,kila uchao nahamishwa vyama kulingana na ninachoandika. Very pathetic!Pole Petro E Mselewa ni mwanachama wa TLS!Kuna lingine hapo??
Hizi ID zako zinafahamika humu. Jibu hoja kwa mada sio mahaba.Uzuri wa mtu kama Mselewa ana uhuru wa kusema chochote ali mradi havunji sheria maana yeye si mtumwa kama ninyi watu wa ccm na ukawa. Ndiyo maana mkiahidiwa pesa mnajitoa ufahamu kabisa. Mtadeki barabara na kuvaa mashati ya kijani mpaka msahahu kin ua nguo zenu
Mkuu,kila uchao nahamishwa vyama kulingana na ninachoandika. Very pathetic!
Mimi nakijua chama chako usikayae kama huna chama Mngoni. Kinaitwa TLS wengine wanadhani ni chama siasa.Wafiachama mna matatizo sana. Mnataka tuandike vinavyowapendeza tu. Kwahiyo mimi ni chama gani? Bure kabisa
Huyu mtu anajua matusi. Nimekutana naye a few moments ago. Naona amekuja kwako. Mwambie ajibu hoja, ataonekana shujaa?? wa JF at least for that particular postKwahiyo tusio na vyama tuzungumze nini? Bure kabisa!
Wewe ni MZANDIKI na MNAFIKI.Wafiachama mna matatizo sana. Mnataka tuandike vinavyowapendeza tu. Kwahiyo mimi ni chama gani? Bure kabisa
Duh sasa umehamia kwangu naomba u copy na upaste hapa nilichoandika jana.Hizi ID zako zinafahamika humu. Jibu hoja kwa mada sio mahaba.
Jana si mlimtukana na kumuita majina yote chini ya jua kwa sababu tu alikuwa na mtazamo tofauti na nyinyi misukule!? Leo hii kawa na uhuru wa kusema lolote kwa sababu kaisema CCM!? Maajabu hayataisha huko usukuleni.
Usilazimishe wote mfanane....Uzuri wa mtu kama Mselewa ana uhuru wa kusema chochote ali mradi havunji sheria maana yeye si mtumwa kama ninyi watu wa ccm na ukawa. Ndiyo maana mkiahidiwa pesa mnajitoa ufahamu kabisa. Mtadeki barabara na kuvaa mashati ya kijani mpaka msahahu kin ua nguo zenu
Niambie wewe ni chama gani ndugu yangu.Wewe ni MZANDIKI na MNAFIKI.
Hizi ID zako zinafahamika humu. Jibu hoja kwa mada sio mahaba.
Jana si mlimtukana na kumuita majina yote chini ya jua kwa sababu tu alikuwa na mtazamo tofauti na nyinyi misukule!? Leo hii kawa na uhuru wa kusema lolote kwa sababu kaisema CCM!? Maajabu hayataisha huko usukuleni.
Mwambie niliyemjibu mbona unaniambia mimiUsilazimishe wote mfanane....
Ha ha ha ha mtani una mambo sana. Hakika,uanachama wa TLS unaniponza. Wapo wanaoamini kuwa sote humu JF ni ima CCM au CHADEMA.Mimi nakijua chama chako usikayae kama huna chama Mngoni. Kinaitwa TLS wengine wanadhani ni chama siasa.
Haya ni majitu ya ajabu sana mkuu! Ukiwaambia ukweli wanakimbilia simanzi za watu na matusi Kama kawaida Yao. Ila watanyooka tu.Usilazimishe wote mfanane....
Huyu jamaa nadhani kaamuka nazo mkuu tutapoteza muda kubish@na naye. Jana sikumbuki kama hata nilipitisha jicho langu humu jf. Maanq nilikuq busy na kutafuta chakula cha kulisha wanangu na mimi mwenyewe.Haijalishi nani amesema nini as long as hajatumia lugha chafu basi anatoa mawazo mbadala
Wewe ni pang'ang'a.Wewe ni MZANDIKI na MNAFIKI.
Nakwambia wewe maana wewe ndo unalazimisha watu wawe upande fulani hata kama hawapo/hawachagua upane huo..Mwambie niliyemjibu mbona unaniambia mimi
Umethibitisha nilichomaanisha!Wewe ni pang'ang'a.
Wewe hujaandika la maana nina hakika mimi ama Petro tungekua wa kwanza kukupongeza. Tofauti yetu na wewe ni moja wewe una mahaba na ccm ama ukawa wakati sisi tutapongeza ccm ama ukawa pale wakifanya vizuri na tunawakandia pale wakiboronga. Wewe akili yako ni zidumu fikra za mwenyekiti.Haya ni majitu ya ajabu sana mkuu! Ukiwaambia ukweli wanakimbilia simanzi za watu na matusi Kama kawaida Yao. Ila watanyooka tu.