CCM hawajiheshimu

CCM hawajiheshimu

Kwa Tanzania, chama ni msimamizi wa serikali- maana ndio kilichowaweka hao madarakani. Lakioni bora hata Chama kinasema, hao tuliowchagua kama wawakilishi wetu (Bunge) ambao ndio wanaotakiwa kuisimamia serikali, pumba hovyo kabisa.
Wanakufanyia mazingaombwe na wewe unaamini? Hao wanajua wanachokifanya. Usiku hukaa pamoja na kigonga cheers
 
Back
Top Bottom